ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. J

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa CCM adai DED wa Kilwa anajifanya mungu-mtu. Ametukana madiwani, Mbunge hadi RC na anawadharau sana

    Mbunge wa Kilwa amesema mkurugenzi wa halmashauri ya Kilwa anajifanya mungumtu na anawadharau viongozi wote wa wilaya hadi mkoa. DED ametukana madiwani mbunge na mkuu wa mkoa tena anatamba kuwa yeye ni mteule wa Rais hivyo hawawezi kumfanya lolote kwahiyo mbunge huyo amemtaka waziri Ummy...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Hakuna Mbunge wa CCM kwa sasa viwango vya Filikunjombe

    Nimemkumbuka sana huyu bwana. Huyu ndiye alikuwa Mbunge bhana! Nilifikiri Gambo atakuwa hivyo lakini Gambo wa watu wapi bhana! Yaani bariiiiiiiidiiiii amebaki na agenda yake ile ile ya wageni kupewa vibali vya kazi Tanzania kwa sababu ya uwekezaji wao. Yaani hana jipya Gambo! Niliamini pengine...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Thobias Mwilapwa apewe Ukatibu Mkuu wa CCM kwa uwezo wa ziada alionao

    Napenda kutumia nafasi hii kukiri kwamba sijatumwa na mlengwa kuandika ninachoandika lakini nimeguswa na namna alivyo na uwezo wa ziada katika kujenga hoja, kuchambua mambo na kuongoza kwa kufuata sheria. Tunapoelekea mkutano mkuu wa CCM, naamini safu ya uongozi ndani ya CCM itajengwa mpya kwa...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Kesho najiunga CCM kwa sababu zifuatazo

    Ni miaka mingi imepita takribani 20 sikuwahi kuwa mwanachama wa chama chochote cha siasa hapa nchi japo nilikuwa upande wa wale wanaokandamizwa na kuonewa katika tafakuri ndani ya kichwa change nimeona ni jiunge rasmi na Chama tawala kwa awamu hii ya sita kwa sababu zifuatazo. 1. Awamu ya...
  5. kavulata

    JamiiForums Tanzania CCM imekufa, anakosekana wa kutangaza imekufa

    Awamu ya tano ilimalizia kuiua CCM iliyokuwa tayari imepigwa jembe la mgongoni na Edward Lowassa alipohamia Chadema. CCM ya kweli haiwezi kuwa na viongozi aina ya Mh. Polepole na Mh. Bashiru kama watendaji wakuu na kuwafungia nje wenye CCM yao. CCM halisi haiwezi kuwadhalilisha watu kama...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Sasa ni dhahiri Bungeni kuna kundi la Rais Samia na kundi la Hayati Magufuli. Spika Ndugai awataka wabunge wa CCM kuitisha kikao cha usuluhishi

    Mbunge wa viti Maalum Lucy Mayenga amedai leo Bungeni kuwa kuna kundi la wabunge wengi ambao wanamepanga kuhujumu legacy ya Magufuli na kutaka kutenganisha Urais wa Samia na Urais wa Magufuli Amedai wabunge hao wanamsifia Samia Suluhu kwa lengo la kuonyesha kuwa Maguuli alikuwa akifanya vibaya...
  7. MsemajiUkweli

    JamiiForums Tanzania Dkt. Bashiru Ally kuwa tena Katibu Mkuu wa CCM?

    Aliyewahi kuwa Waziri Mkuu wa Uingereza, Sir Harold Wilson aliwahi kusema, ''A week is a long time in politics''. Katika historia ya Tanzania, Dkt. Bashiru Ally kama inavyododoswa kwa sasa kurudi tena kuwa Katibu Mkuu wa CCM atakuwa ni mmoja wa watanzania ambao utumishi wao wa umma unaweza...
  8. S

    JamiiForums Tanzania CCM rudini shule mkasome Kiswahili. Rais Samia ni mwingi wa tafsida

    Maana ya neno tafsida ni utumiaji wa lugha ya adabu na heshima ili kuondoa ukali/ukakasi wa lugha na kuleta staha. Kundi fulani la wanaCCM limeshangilia sana mama Samia aliposema yeye na JPM ni kitu kimoja. Wanasahau kuwa huyu mama mtu wa Pwani ambako kiswahili ndiyo chimbuko. Angekuwa sawa...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu alitaka Bunge kujadili Bajeti badala ya kumfananisha yeye na Hayati Magufuli

    Rais Samia amesema siyo afya kwa bunge kuacha kujadili bajeti na kuanza kumlinganisha yeye na hayati Magufuli . --+ Inasikitisha sana kuona wanapiga ngoma mitandaoni lakini ngoma ile inachezwa Bungeni na mnademka vizuri sana. Mnafanya kazi ya kulinganisha watu badala ya kulinganisha ajenda za...
  10. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Hivi CCM bado chama cha wakulima na wafanyakazi? Polepole alikidhalilisha chama

    CCM ilipo asisiwa ni chama cha wakulima na wafanyakazi. Ndio maana nembo yake kwenye bendera kuna nyundo kwa wafanyakazi na jembe kwa wakulima. Filosofia ya CCM ni ya kiujamaa pamoja na kuukaribisha uchumi wa biashara huru. Siku hizi ndani ya CCM hakuna Political Theorists wa kuelezea mlengo...
  11. The Boss

    JamiiForums Tanzania Channel Ten ilikuwa Mali ya CCM kuanzia lini?

    Wakati wa Magufuli ..siku moja alienda kutembelea Mali za chama akaenda kutembelea kituo maarufu cha TV cha Channel ten. Ndo tukatangaziwa kuwa na chenyewe ni Mali ya Chama Cha Mapinduzi... Wanaojua historia ya channel ten na kampuni iliyokuwa inamiliki hiyo channel ya African Media...
  12. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Fukuto jipya ndani ya CCM: Kuna zaidi ya tujuayo

    Minyukano huwa haiishi kwenye hiki chama chakavu sana... Lakini mwisho wa siku unafique uliofichama huwaokoa huku wakisikilizia ladha ya mvinyo mpya.. Kisha ngebe huanza tena...! Huwa kunakuwa na seasons kwenye hii minyukano yao na kila series mpya ina season zake, zisizopungua kadhaa..!! Hapo...
  13. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania CCM wanawekana sawa kwa kuparurana, ninyi je mnajipangaje?

    Upinzani wa Tanzania una kasoro moja, haupendi kukosolewa hata kama una makosa wanayafanya, akitokea mtu akakosoa ataitwa msaliti. Sasa hivi CCM wanaparuana huko Bungeni ni jambo jema kwa afya ya chama chao, maana kama kuna watu walitaka kwenda nje ya mstari lazima wapewe ukweli. Sasa ninyi...
  14. Keynez

    JamiiForums Tanzania CCM acheni kutumia Bunge kuzungumzia matatizo yenu ya ndani ya chama

    Wakuu, nimekuwa nafuatilia mijadala inayoendelea huko Bungeni. Ukisikiliza kwa makini utagundua ni mijadala ambayo ingetakiwa kufanyika ndani ya Chama. Bungeni ni sehemu ya kuongelea mambo yaliyo ya maslahi mapana ya taifa hususani utungaji wa sheria, kurekebisha sheria mbalimbali na kuisimamia...
  15. J

    JamiiForums Tanzania CCM tunaenda mbele au tunarudi nyuma? Hii ya Kibajaji kuwa mchangiaji wa kwanza Bajeti nyeti ya Waziri mkuu ni kama " babeli"

    Mchangiaji wa kwanza wa hotuba muhimu ya ofisi ya waziri mkuu mh Lusinde aliyepewa dakika za kipekee (15) kutumia muda mwingi kuwasimanga wasomi na wapinzani hasa CHADEMA halina afya kabisa kwa sasa. Ofisi ya Waziri Mkuu ndio mlezi wa vyama vya siasa sasa kuipandikiza mbegu za chuki na husuda...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Ndege 3 kwa mpigo, wapinzani ina maana hamjui kuwa CCM ni ile ile au tuseme nini?

    Siasa za kujipendekeza kwa CCM na siasa nyepesi nyepesi ni vizuri mkazifanyie Ufipa, haya mawazo ya kutaka kuokota dodo katika mti wa mfenesi mwisho mtajikuta mmedharaurika mpaka na kuku. Niwaambie ukweli vijana wa Lumumba wanakosa dili kisa mmekuwa wepesi mmno, mpaka vijana na wana CCM...
  17. vulcan

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania CCM after Magufuli

  18. beth

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Mbogwe amtaka Naibu Waziri wa Maji kuacha majibu ya kwenye makaratasi, ahoji vilipo visima 26 alivyotaja

    Mbunge wa Mbogwe, Nicodemus Maganga amemtaka Naibu Waziri wa Maji, Mhandisi Maryprisca Mahundi kutofuata mambo ya kwenye makaratasi, na kufuatana naye ili akamuoneshe visima 26 ambavyo amesema vipo. Katika swali lake, Mbunge huyo alihoji Serikali ina mpango gani wa kupeleka maji ya Ziwa...
  19. funaku

    JamiiForums Tanzania Plain and Clear: Wabunge wa CCM watakaomnanga Magufuli wajiandae kuukosa ubunge 2025

    Ni muhimu tuelezane ukweli kwani msema kweli ni mpenzi wa Mungu. Wabunge wote na WanaCCM wote watakaomnanga Magufuli wajiandae kupoteza ubunge na nafasi zao ndani ya Chama. Hayati baba John Pombe Magufuli amewafanyia mengi sana na kamwe hakuna mtanzania atakayemuelewa mnafiki atakayemkashifu...
  20. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Ujinga na kukosa exposure ni tatizo kubwa sana kwa wana CCM wengi

    Amani iwe kwenu wadau! Watanzania wote ni mashuhuda kwa jinsi gani Magufuli alivyoliharibu Taifa hili kwa miaka yake 5 na miezi 4 aliyokaa madarakani Alama kuu ya uchumi kuwa vizuri kwenye nchi ni kwa jinsi gani hali ya maisha ya watu wa nchi iyo inavyoboreka na kuwa Nzuri siku hadi siku. Alama...
Back
Top Bottom