ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. Ng'wamapalala

    JamiiForums Tanzania Je, Rais Magufuli alikuwa na Pacemaker au Defibrillator? Ilidukuliwa?

    Nimejiuliza na kufikiria sana sana kuhusu kifo cha Rais Magufuli kilichosababishwa na mfumo wa umeme wa moyo uliokuwa unaratibiwa na pacemaker/defibrillator. Kujiuliza na kufikilia kwangu kumetokana onyo la Wizara ya Mambo ya Ndani ya Marekani (Department of Homeland Security-DHS) lililotolewa...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Nini na siri ya vyama vingine vya siasa kuwa dhaifu sana huku vingine vikiwa imara sana?

    Naomba wajuvi wa mambo wanisaidie kuelewa kwani kila nikitafakari kwa kina sipata jibu linaloniridhisha. Hivi tofauti kubwa sana ya vyama vya siasa iko kwenye Nini? 1.Wanachama na viongozi kwa maana ya hulka za wanaokiunda chama!? 2.Muundo wa chama kwa maana ya jinsi chama...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Siku CCM itakapotenganisha nafasi ya Rais wa JMT na Mwenyekiti basi itakufa hapohapo, Nyerere alijaribu akafeli!

    Siku ambayo CCM watakubaliana kutenganisha nafasi ya Rais wa JMT na mwenyekiti wa CCM basi watakuwa wanajichimbia kaburi na watadumbukia mara baada ya kufunga mkutano kitakachobaki ni wananchi kufukia tu kwa mchanga. Nyerere alijaribu hii wakati Rais Mwinyi alipoingia madarakani mwaka 1985 na...
  4. Idugunde

    JamiiForums Tanzania CCM Dodoma: Hakuna haja ya Katiba Mpya Tanzania kwa sasa, Katiba ya Mwaka 1977 bado inafaa

    Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dodoma, Godwin Mkanwa HALMASHAURI Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dodoma, imesema hakuna haja ya kuwa na Katiba Mpya kwa sasa kwa kuwa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya Mwaka 1977 bado inafaa. Kimesema katiba hiyo imewezesha kufanyika kwa...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anaingia kwenye kamati kuu ya CCM kama nani?

    Wadau nijulisheni, Samia Suluhu Hassan alikuwa anaingia kwenye Kamati Kuu ya CCM kama makamu wa rais enzi za John Magufuli. Sasa hana umakamu wa rais uliokuwa unamuingiza humo. Nasema hivyo kwa sababu CCM Rais ni moja kwa moja ni mwenyekiti. Hivyo Rais anapohudhuria vikao vya CCM haingii kwa...
  6. Ileje

    JamiiForums Tanzania Kutenganisha kofia ya Urais wa nchi na Uenyekiti kutaisambaratisha CCM

    Uimara na kuendelea kudumu kwa CCM kunatokana na nguvu za dola, nje ya hapo CCM ni chama dhaifu sana. Ndani ya CCM kuna wanachama waganga njaa wengi sana ambao maisha yao nje ya chama hayawezekani. Hivyo ili wanachama hawa waishi maisha ya heshima watafanya kila hila ili mwenyekiti wao awe Rais...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Tusisahau: Ili uwe mwenyekiti wa CCM ni lazima kwanza uwe ni Rais wa JMT!

    Hata kama haijaandikwa popote huo ndio ukweli wenyewe kwamba Rais wa JMT ndiye anakuwa mwenyekiti wa CCM. Na Rais wa Zanzibar anakuwa makamu wa mwenyekiti. Ramadhan kareem!
  8. K

    JamiiForums Tanzania Magufuli alikosea sehemu moja tu: Kuipenda CCM kuliko Taifa

    Tatizo moja tu ambalo Hayati Magufuli alikuwa nalo ni kupenda chama chake cha siasa CCM kuliko nchi ya Tanzania. Hii ilisababisha sana yeye kuangalia maslahi ya chama bila kujali maafa yake kwa taifa na nitatoa mifano michache 1. Kitendo cha kutumia usalama wa taifa kuchunguza wanasiasa wa...
  9. May Day

    JamiiForums Tanzania Mzee Makasi na Muungano, CCM imuenzi Mzee wetu angali hai

    Moja ya nyimbo kali zilizovuma zinazoongelea Muungano ni Wimbo maarufu wa Nguli wa Muziki Mzee Makasi. Wimbo huu unakumbusha vizuri sana tarehe ya Muungano hivyo ningetamani kuona CCM wanakuwa na utamaduni wa kuwakumbuka japo kwa kuwatambua tu haswa ifikapo maadhimisho ya siku ya Muungano, kwani...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Baada ya Mabadiliko ya Uongozi CCM, nani anafaa kuwa Katibu Mkuu wa CCM Taifa?

    Naamini kwamba ndani ya CCM kuna wengi wenye sifa za kuwa watendaji wa CCM kutokana na uwezo wao, uzoefu wao wa kisiasa na utendaji. Kwa kuwa Rais wetu anapenda kufanya kazi na wenye sifa zifuatazo; a) Wachapa kazi b) Wabunifu c) wasikilzaji ( sio wababe) d)wenye sifa stahiki kwa nafasi e)...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Midahalo ya kisiasa ya makatibu wakuu wa vyama itafanikisha kuongeza mshikamo wa kisiasa.

    Rais Samia Suluhu ameonesha nia ya dhati ya kutaka kufanya kazi na upinzani. Tunaamini Mhe.Rais atakapokutana na viongozi wa vya upinzani watajadiliana mengi hususani mambo yatakayokuza na kuimarisha ushirikiano na demokrasia. Kwa tathmini fupi niliyofanya nimegundua Rais wetu anapenda muafaka...
  12. S

    JamiiForums Tanzania CCM hakijawanufaisha Watanzania, Viongozi wa Chama ndio wanaofaidi

    Hiki chama kipokipo tu mitaani, wilayani na hata serikalini lakini tuseme ukweli hakina faida kwa Wananchi wa Taifa hili la Tanzania kwa ujumla. Viongozi wa Chama hiki ndio wanaofaidi, kazi yao ni kutumbuana tu, kutumbuana kwao ni kama kifo haijulikani nani atakufa mwanzo au atatumbuliwa mwanzo...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Wazee wa CCM wanasema, Mhe Rais tunakupa chama ila tambua ukiangaika na walioaribu utawala uliopita utaleta matabaka, wasamehe.

    Nikijadiliana na wazee wa chama Tawala wenye ushawishi ndani ya chama na serikali kuhusu hatma ya chama nadhtushwa na mawazo yao japo yapo sahihi. Wanasema kisiasa endapo Rais na Mwenyekiti wa Chama ataamua kwa dhati kuisafisha serikali atambue atakuwa ameamua kuiua ccm. Wazee Hawa wanasema...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Nape ndiye Rais ajaye 2025, akikatwa CCM ataenda upinzani watampitisha

    Kwa kuwa siasa ni mchezo usiotabirika, kadhalika anaeweza kuimudu ni yule mwenye uwezo mkubwa wa kusoma alama za nyakati. Alifanya kosa kidogo kwa kuchelewa kumsoma bosi wake wa awali ila amecheza karata vizuri ambapo kwa sasa ameanza kuteka mioyo ya makundi mbalimbali ndani na nje ya chama...
  15. rosemarie

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe kauli za Nape-katibu mwenezi CCM

    Kuna rumors zinaendelea,Nape ana mpango wa kujiunga na Chadema, naomba sana viongozi wangu wa chama mkae chini na kutafakari sio kila mtu ni wa kupokelewa kwenye chama Nape na kundi lake,Makamba,Rizwan na wengine wamepiga hesabu zimekataa kabisa,nia na madhumuni yao ilikuwa waharibu legacy ya...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Je, Bernard Membe atarejea CCM tarehe 30/04/2021?

    Kuna taarifa zisizo rasmi kwamba aliyekuwa mgombea urais wa ACT Wazalendo mh Bernard Membe atarejea CCM wakati wa mkutano mkuu maalum wa chama hicho mwishoni mwa mwezi huu. Ngoja tuone.
  17. T

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CCM mtarajiwa, Mhe. Samia Suluh naomba utumie mamlaka yako ya uenyekiti utakaochaguliwa kuwadhibiti Nape na January

    Hayati Rais Magufuli alikuwa anapenda kutumia kauli"msema kweli ni mpenzi wa Mungu..." akimaanisha vitendo viovu vilivyokuwa vinaendelea na waliopewa madaraka kukaa kimya bila kusema ukweli. Ukiachana na ukweli kwamba kila binadamu ana madhaifu yake ambayo yanamfanya kutokuwa mkamilifu lakini...
  18. kmbwembwe

    JamiiForums Tanzania Rais Samia asije ruhusu mikutano na maandamano vitupotezee mwelekeo

    Ni matumaini yangu tofauti na matarajio ya vyama vya upinzani Samia akikutana nao atatupilia mbali wazo la maridhiano ya kitaifa ya wapinzani. Wao kwa niaba ya mabwana zao wanataka kusimamisha agenda za CCM. CCM ina ridhaa kubwa ya wananchi isije laghaiwa kwa kisingizio cha maridhiano kuacha...
  19. VUTA-NKUVUTE

    JamiiForums Tanzania Nakwenda Dodoma kuhakikisha kuwa Mama Samia anaukwaa Uenyekiti wa CCM bila tatizo lolote. Mama anaweza

    Nimekatisha safari yangu ya kwenda nyumbani Songea, Ruvuma. Nimegeuzia Masasi, Mtwara. Nimeamua kuingia mstari wa mbele bila kelele kuhakikisha kuwa Mama Samia anaukwaa Uenyekiti wa CCM bila vikwazo vyovyote. Nikiwa Masasi, nilipokea taarifa za kiintelijensia kuwa kuna baadhi ya makada wabobezi...
  20. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Wapinzani wanacheza ngoma ya CCM

    - kiufupi niseme tu kama kuna chama chenye mbinu za siasa hii nchi basi ni CCM peke yake. CCM walimtumia Lowasa 2015 kufanya mission yao (nikiri kwamba hapa ndipo nlipo hama upinzani rasmi kwa sababu hazikua akili za chama kimoja bali kulikua na ukawa so its safe to say akili za upinzani zko...
Back
Top Bottom