Fukuto jipya ndani ya CCM: Kuna zaidi ya tujuayo

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
269,633
697,782
Minyukano huwa haiishi kwenye hiki chama chakavu sana... Lakini mwisho wa siku unafique uliofichama huwaokoa huku wakisikilizia ladha ya mvinyo mpya.. Kisha ngebe huanza tena...!

Huwa kunakuwa na seasons kwenye hii minyukano yao na kila series mpya ina season zake, zisizopungua kadhaa..!!
Hapo kabla mama Samia hajapewa tunu ya kuwa rais wa jamhuri ya Muunganiko, panya zote ziliufyata , mbwa nazo zikabweka sana mpaka mapori yakakosa mawindo ya kuwindwa..mwindani mkuu akafanya zaidi ya nusu na robo wanyama wote kama si kutoroka na kutoweka mwituni basi wengine walinyamaa kimya kabisa

Series mpya ya bimkubwa ilianza na season zake, yalianza mataga, baadae yale yaliyobatiswa sukuma wiki gang halafu hivi karibuni kikaibuka hiki kituko kilichofemea mbaya mangofulism..Hawa wote ni kinyonga yuleyule kinachobadilika ni rangi tuu
Sasa mtifuano mpya ni juu ya Bi mkubwa kushika hatamu za chama hapo baadae mwezi huu..Juhudi za kumkwamisha toka kwenye kundi lilelile ni kubwa, lakini kwasasa huyu ndio kashikilia mpini wakati wao wameshikilia makali..KIKIZIDI KUUMANA WATATOKA DAMU WAO...!!!

Kitu kingine kinachowaumiza sana ni hiki kifuniko cha mama dhidi ya hayati mwendazake.. Kinafunika na kukaza vibaya na kadiri kinavyofunika ire kitu inaitwa regasi inazidi kudidimizwa chini ardhini kwenye shimo la tewa..!!!

...Lakini zaidi ya hiyo regasi kitisho kikubwa zaidi ni uchaguzi wa 2025.. Bi mkubwa walau kwasasa haoneshi uchu wa madaraka na si ajabu 2025 akawa 'very linient'

Huyu mama ni muungwana sana, mpenda amani na anayetaka taifa liwe kitu kimoja katika uhalisia wake...Anajaribu kujenga jina lake kwa kuliponya taifa kutokana na madhila lililopia kipindi cha miaka mitano..anajaribu kufuta makovu mengi...huyu ni mshika dini kwa vitendo.. Hapendi mawaa kwenye mtima wake japo alihusika kwa kiasi chake kuvuruga uchaguzi uliopita lakini KESHASAMEHEWA!

Wazee wa majisifu mataga n the like hawapendi kuliona hili likitokea wanajua kwa hakika matokeo yake ni ccm kupelekwa ghalani kwenye makabrasha ya sahau.

Hawa ni waidikaji wa mfumo uliowapa maisha ya kujidai kila kona..wanakwambia ccm chama dola, ccm chama dume..!! Hawa wana vitega uchumi na mirija ya ulaji mikongwe kabisa..ccm ikipelekwa ghalani..hawana maisha tena...na pengine watabadilishana vyumba vya mahabusu na Akina Mdude!!

HAWAKO TAYARI KUSHUHUDIA HAYA YANATOKEA... Hivyo fukuto wanalompa Bi mkubwa lina mengi ndani yake

Nimemaliza! NO OFFENSE!
View attachment 1754517
 
Mku sisi ccm asili hatuna makuu huwa tunashirikiana na vyama vyote hata hivi Leo chama kikienda jalalani hatuwezi kuteseka kwani ss hatutawali kwa uadui zaidi ya kuuliunganisha taifa
 
Mshana we;

CCM-A
CCM-B

maaana naona chama Ni kimoja tu,mnatofautiana jinsi ya kushauri na kupanga Safi tu,Kila mtu anataka lake kwenye serikali ya CCM.
Mkiambiwa hakuna upinzani wa kweli zaidi nyote CCM mnakataa
Mimi sio A au B mimi ni ccm mfu na nilizikwa rasmi mnamo mwaka 1984 baada ya vita ile ya magendo ya uhujumu uchumi iliyotumiwa vibaya na watendaji...labda useme mzimu wangu ambao hata hivyo nitakubishia kwa sauti hadi ufe..
 
Mku sisi ccm asili hatuna makuu huwa tunashirikiana na vyama vyote hata hivi Leo chama kikienda jalalani hatuwezi kuteseka kwani ss hatutawali kwa uadui zaidi ya kuuliunganisha taifa
Amina tatizo mnazidiwa sana na ccm maslahi na ccm makinikia
 
Minyukano huwa haiishi kwenye hiki chama chakavu sana... Lakini mwisho wa siku unafique uliofichama huwaokoa huku wakisikilizia ladha ya mvinyo mpya.. Kisha ngebe huanza tena...!

Huwa kunakuwa na seasons kwenye hii minyukano yao na kila series mpya ina season zake, zisizopungua kadhaa..!!
Hapo kabla mama Samia hajapewa tunu ya kuwa rais wa jamhuri ya Muunganiko, panya zote ziliufyata , mbwa nazo zikabweka sana mpaka mapori yakakosa mawindo ya kuwindwa..mwindani mkuu akafanya zaidi ya nusu na robo wanyama wote kama si kutoroka na kutoweka mwituni basi wengine walinyamaa kimya kabisa
Series mpya ya bimkubwa ilianza na season zake, yalianza mataga, baadae yale yaliyobatiswa sukuma wiki gang halafu hivi karibuni kikaibuka hiki kituko kilichofemea mbaya mangofulism..Hawa wote ni kinyonga yuleyule kinachobadilika ni rangi tuu
Sasa mtifuano mpya ni juu ya Bi mkubwa kushika hatamu za chama hapo baadae mwezi huu..Juhudi za kumkwamisha toka kwenye kundi lilelile ni kubwa, lakini kwasasa huyu ndio kashikilia mpini wakati wao wameshikilia makali..KIKIZIDI KUUMANA WATATOKA DAMU WAO...!!!

Kitu kingine kinachowaumiza sana ni hiki kifuniko cha mama dhidi ya hayati mwendazake.. Kinafunika na kukaza vibaya na kadiri kinavyofunika ire kitu inaitwa regasi inazidi kudidimizwa chini ardhini kwenye shimo la tewa..!!!
...Lakini zaidi ya hiyo regasi kitisho kikubwa zaidi ni uchaguzi wa 2025.. Bi mkubwa walau kwasasa haoneshi uchu wa madaraka na si ajabu 2025 akawa 'very linient'
Huyu mama ni muungwana sana, mpenda amani na anayetaka taifa liwe kitu kimoja katika uhalisia wake...Anajaribu kujenga jina lake kwa kuliponya taifa kutokana na madhila lililopia kipindi cha miaka mitano..anajaribu kufuta makovu mengi...huyu ni mshika dini kwa vitendo.. Hapendi mawaa kwenye mtima wake japo alihusika kwa kiasi chake kuvuruga uchaguzi uliopita lakini KESHASAMEHEWA!

Wazee wa majisifu mataga n the like hawapendi kuliona hili likitokea wanajua kwa hakika matokeo yake ni ccm kupelekwa ghalani kwenye makabrasha ya sahau
Hawa ni waidikaji wa mfumo uliowapa maisha ya kujidai kila kona..wanakwambia ccm chama dola, ccm chama dume..!! Hawa wana vitega uchumi na mirija ya ulaji mikongwe kabisa..ccm ikipelekwa ghalani..hawana maisha tena...na pengine watabadilishana vyumba vya mahabusu na Akina Mdude!!
HAWAKO TAYARI KUSHUHUDIA HAYA YANATOKEA... Hivyo fukuto wanalompa Bi mkubwa lina mengi ndani yake

Nimemaliza! NO OFFENSE!
View attachment 1754517
Yangu macho, maana hao viumbe linapokuja swala la madaraka hawa viumbe ni wa kuogopa zaidi ya uviko-19
 
Ujuaji ukiwa mwingi ni ugonjwa!
 
"Ji Dude" Kubwa kama CCM ni vigumu sana

kutikisa MIZIZI yake, labda kitakacho weza

kutikisika tena kwa mbaaali ni matawi tu,

ambayo kimsingi haina athari kwa SHINA.

Lakini inafahamika kuwa kwenye "msafara wa mamba" kenge nao huwa sambamba.

Kazi kubwa ya kenge kwenye msafara huwa ni kutoboa Jahazi ili lizame, na huwa hawajali hata kama wao pia watazama!!!,
Furaha yao ni kuzama tu basi.

kwenye msafara, Kenge wanapaswa kutoswa baharini kabla ya msafara haujaanza ili safari iwe salama na uhakika wa kufika.
 
Kazi kubwa ya kenge kwenye msafara huwa ni kutoboa Jahazi ili lizame, na huwa hawajali hata kama wao pia watazama, Furaha yao ni kuzama tu basi.
giphy.gif
 
Minyukano huwa haiishi kwenye hiki chama chakavu sana... Lakini mwisho wa siku unafique uliofichama huwaokoa huku wakisikilizia ladha ya mvinyo mpya.. Kisha ngebe huanza tena...!

Huwa kunakuwa na seasons kwenye hii minyukano yao na kila series mpya ina season zake, zisizopungua kadhaa..!!
Hapo kabla mama Samia hajapewa tunu ya kuwa rais wa jamhuri ya Muunganiko, panya zote ziliufyata , mbwa nazo zikabweka sana mpaka mapori yakakosa mawindo ya kuwindwa..mwindani mkuu akafanya zaidi ya nusu na robo wanyama wote kama si kutoroka na kutoweka mwituni basi wengine walinyamaa kimya kabisa
Series mpya ya bimkubwa ilianza na season zake, yalianza mataga, baadae yale yaliyobatiswa sukuma wiki gang halafu hivi karibuni kikaibuka hiki kituko kilichofemea mbaya mangofulism..Hawa wote ni kinyonga yuleyule kinachobadilika ni rangi tuu
Sasa mtifuano mpya ni juu ya Bi mkubwa kushika hatamu za chama hapo baadae mwezi huu..Juhudi za kumkwamisha toka kwenye kundi lilelile ni kubwa, lakini kwasasa huyu ndio kashikilia mpini wakati wao wameshikilia makali..KIKIZIDI KUUMANA WATATOKA DAMU WAO...!!!

Kitu kingine kinachowaumiza sana ni hiki kifuniko cha mama dhidi ya hayati mwendazake.. Kinafunika na kukaza vibaya na kadiri kinavyofunika ire kitu inaitwa regasi inazidi kudidimizwa chini ardhini kwenye shimo la tewa..!!!
...Lakini zaidi ya hiyo regasi kitisho kikubwa zaidi ni uchaguzi wa 2025.. Bi mkubwa walau kwasasa haoneshi uchu wa madaraka na si ajabu 2025 akawa 'very linient'
Huyu mama ni muungwana sana, mpenda amani na anayetaka taifa liwe kitu kimoja katika uhalisia wake...Anajaribu kujenga jina lake kwa kuliponya taifa kutokana na madhila lililopia kipindi cha miaka mitano..anajaribu kufuta makovu mengi...huyu ni mshika dini kwa vitendo.. Hapendi mawaa kwenye mtima wake japo alihusika kwa kiasi chake kuvuruga uchaguzi uliopita lakini KESHASAMEHEWA!

Wazee wa majisifu mataga n the like hawapendi kuliona hili likitokea wanajua kwa hakika matokeo yake ni ccm kupelekwa ghalani kwenye makabrasha ya sahau
Hawa ni waidikaji wa mfumo uliowapa maisha ya kujidai kila kona..wanakwambia ccm chama dola, ccm chama dume..!! Hawa wana vitega uchumi na mirija ya ulaji mikongwe kabisa..ccm ikipelekwa ghalani..hawana maisha tena...na pengine watabadilishana vyumba vya mahabusu na Akina Mdude!!
HAWAKO TAYARI KUSHUHUDIA HAYA YANATOKEA... Hivyo fukuto wanalompa Bi mkubwa lina mengi ndani yake

Nimemaliza! NO OFFENSE!
View attachment 1754517

Mkuu collection ya hizi thread za aina hii inaweza kutoa fiction books kadhaa. Seriously angalia kuziunganisha ili uuze vitabu vya hadithi
 
Back
Top Bottom