ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. utukufu mwanjisi

    JamiiForums Tanzania MATAGA kuweni watulivu mitandaoni, sasa ni zamu ya Asilia

    Habari ndugu zanguni, Nimeona mijadala mingi sana mitandaoni ambayo ukiangalia kwa wingi ni wale ndugu zetu ambao wamekuwa wakikosoa mienendo ya Rais wetu Mama Samia katika ziara yake nchini Kenya. Lakini sisi watu wa kufikiria mbali tumeona kumbe watu wa mwendazake wamekuwa wanapinga mengi ya...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Katibu Mwenezi na Itikadi (CCM), Ndugu Shaka tumekuelewa

    Dakika 5 tu za salaam pale kwenye uzinduzi wa kampeni jimbo la Mhambwe umetuthibitishia kuwa Mwenyekiti wetu wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan hakufanya makosa kukupendekeza na hatimaye kuthibitishwa kwenye nafasi hiyo na wajumbe wa halmashauri kuu ya CCM...
  3. J

    JamiiForums Tanzania CCM ujana ni sifa ya ziada lakini CHADEMA ujana ni maisha yao. Sijajua UVCCM wanafeli wapi?

    Ni kawaida sana kumuona diwani, mbunge au Waziri wa CCM akitamba kwamba sasa kazi itafanyika kwa sababu yeye ni kijana. Na unaweza kukuta hata Kigwangalla au Shinza akijinasibu kwamba yeye ni kijana. Lakini Chadema vijana hawanaga hizo swaga wao utawatambua kwa matendo yao tu kuwa ni vijana na...
  4. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Hii ya CCM kuwa inawafagia watendaji wake wote bila kujali mafanikio yao inaweza kuwa Taasisi ya kwanza kwa ubora Duniani

    CCM Ina mfumo imara yeyote aingiapo hapo huheshimiwa kwa uwezo wa Chama Mafanikio haya ya CCM yamejidhihirisha kwenye changamoto kubwa iliyoikuta nchi yetu baada ya kuondewa na JPM nchi imeendelea kubaki salama hili limesababishwa na mfumo wa Chama kuwa imara CCM inaamini kwenye mfumo...
  5. Matope

    JamiiForums Tanzania CCM kuzindua rasmi kampeni jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma - Twende na Dkt. Florence Samizi

    Haya haya kumekucha Jimbo la Muhambwe Kigoma Kampeni rasmi kuzinduliwa za CCM kesho na Mlezi wa Mkoa Mh Kassim Majaliwa mambo ni moto. Mji wa kibondo umependeza kwa rangi ya kijani kila mtaa. Wana Tot kutoka makao makuu wameshafika wakiwa na Loli kubwaaaa kama treni. Kiufupi kesho ccm...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu Chongolo, rithi vyote kutoka kwa Dkt. Bashiru lakini siyo wabunge 19 waliofukuzwa CHADEMA

    Ndugu Chongolo Katibu mkuu wa CCM, ninakueleza haya kama mwanaCCM mwenzangu lakini zaidi kama mwana usharika mwenzangu, binadamu tunarithi baraka na kamwe haturithi dhambi na laana. Kuna hao wabunge 19 yaani Halima James Mdee na wenzake, tafadhali usijishughulishe nao kwa sababu hiyo dhambi...
  7. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Kwa sasa wapinzani hasa CHADEMA hawana hoja mujarabu kuisurubu CCM

    Mimi nawajua hawa jamaa vizuri wao wanayo namna ya kutafuta kiki za kisiasa kwa kutumia udhaifu na makosa ya CCM. CCM ikijisahau na kufanya makosa kwa kuruhusu ufisadi basi hapo ndipo hukomaa na kusimamisha misuri ya shingo. CCM isipotekeleza sera na ilani ya uchaguzi vizuri. Wao hushupaza...
  8. Toosweet

    JamiiForums Tanzania Once CCM,Always CCM

    Kwenu, Nimekuwa nikifuatilia sana tabia za wanasiasa wa Tanzania hasa wanaCCM. Toka enzi za akina Mrema wa NCCR-Mageuzi,kisha TLP lakini akionesha bayana kuwa moyo wake uko CCM,Nsanzugwako,Wasira na wengineo waliokuwa moto wakiwa NCCR-MAGEUZI,kisha wabunge waliokosa ubunge CCM wakakimbilia...
  9. The Mongolian Savage

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Aliyekuwa katibu mkuu CCM alivyosimamisha Msafara wake kusoma mabango

    Yeereeeeeh! Maisha yanaenda kasi sana na kubadilika ghafla. Video hapo chini aliyekuwa katibu mkuu CCM alivyosimamisha Msafara wake kusoma mabango.
  10. B

    JamiiForums Tanzania Minyukano CCM: Ushauri wa bure kwa Bashiru na wenzako kokote kule mliko

    Mabibi na mabwana kwa yanayotokea huko CCM kwa wengine kina sisi, hayo ni mambo ya Ngoswe. Hata hivyo kama binadamu ambapo wengine huwa hawana huruma, wengine tumeumbiwa na roho za huruma. Ashukuriwe mola muweza wa yote. Ni ukweli ulio wazi kuwa mh. Dr. Bashiru, Pole pole na vigogo wengine...
  11. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Mnyika: Nyalandu na mwenzake ni wasaliti, wameshindwa kuvumilia baada ya mateso ya kuporwa ushindi wa ubunge mwaka 2020

    Katibu Mkuu wa Chadema, John Mnyika amesema chama hicho kilifahamu kuwa Lazaro Nyalandu na Seleman Mathew, ambao wote walikuwa wajumbe wa kamati kuu ya chama hicho, wangeondoka kutokana na mienendo yao waliyokuwa wakiionyesha kwa hivi karibuni. “Hawa ni wasaliti, wamejiongeza wameshindwa...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Cheo ni dhamana: DC amekuwa Katibu mkuu CCM na RC amekuwa Naibu Katibu mkuu, siasani siyo jeshini!

    Ni katika kuwatia moyo tu watendaji wa serikali kwamba wachape kazi bila ya kujali ukubwa wala udogo wa vyeo vyao kwani CCM fursa ni nyingi mno. Nawatakia Dominica yenye baraka. Kazi Iendelee!
  13. S

    JamiiForums Tanzania Kuiondoa CCM madarakani ni rahisi kuliko wakati wowote ule, tuanze kujipanga

    Chawa wa Taifa hili CCM 2025 kama wakitaka wasitake wanaondoka na tutawabanja kikwelikweli, na wito wanaoikataa CCM waikatae kuanzia sasa,kama upo CCM basi huko hakukufai hama na mapema,mambo ya kudandia mmeyaona,Nyarandu kawekwa pembeni,Membe kamembuka eti leo ndio wamejua kama nyimbo...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Shaka Hamdu Shaka ni janga ndani ya CCM

    Hapa Mwenyekiti Samia amekwenda mchomo na ni vizuri akambadilisha haraka sana. Ataivuruga CCM kwani jamaa hamna kitu zaidi ya kuwa mtu wa mipasho na ufedhuli. Chama Chetu atakiua kama alivyokiua Zanzibar. Na akimaliza miti hukuja mwilini.
  15. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Makosa katika historia ya TAA yanayohitaji kurekebishwa haraka

    Historia ya TAA kama ilivyoelezwa na CCM hapo juu inahitaji kusahihishwa. Naweka hapo chini kipande kutoka makala niliyoandika mwaka wa 2019 kusahihisha makala ya Mzee Pius Msekwa kuhusu historia ya TAA: "Katika gazeti la Tazama la leo tarehe 14 Oktoba 2019 kuna makala iliyoandikwa na Pius...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Kama CCM ilishamiri, kwanini watendaji wake wametoswa?

    Mabibi na mabwana kwa takwimu zilizopo na yale tuliyopata kuyasikia tokea kwa watendaji wake wakuu, CCM 2015 - 2021 ndicho kipindi chama hicho kilikuwa na mafanikio makubwa zaidi katika historia yake. Ilisemekana kuwa katika kipindi hicho, chama hiki kilishamiri vilivyo. Ya kuwa katika kipindi...
  17. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania TUCTA: Kima cha chini cha mshahara kiwe 970,000

    Kaimu Katibu Mkuu wa TUCTA amesema wamefanya tafiti kubaini kiwango cha mshahara ambacho kinaweza kumtosha mtumishi kuendesha maisha yake. Kutokana na Tafiti yao wamependekeza kiwango cha chini mshahara kiwe Tsh. 970,000 kutokana na gharama za maisha za sasa. Hayo yamesemwa siku ya maadhimisho...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Maajabu: Furaha ya CCM ni kwa Nyalandu kuondoka CHADEMA na si kujiunga na CCM?

    Mabibi na mabwana kumekuwa na shamra shamra nyingi hasa kutokea kwa wale makada nguli wa chama mboga mboga kuwa bwana Nyalandu katoka Chadema. Ajabu ni kuwa furaha zimeelekezwa kwenye kuwa bwana huyu asiyekuwa na jina ndani ya Chadema, ametoka Chadema wala si kuwa kajiunga na CCM! Maajabu...
  19. MPUNGA MMOJA

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu CCM, Chongolo urafiki wake na Mzee Kikwete

    Udugu hazina kubwa. Ni kijana mwaminifu kazi maalum zote alizotumwa alizifanya kwa weledi na Umakini. Uteuzi huu ni furaha kubwa kwa Nape na Ridhiwani.
  20. B

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Katibu Mkuu Wa CCM

    Katibu Mkuu Wa CCM nakupongeza kwa kuteuliwa kwako. Naomba nichukue fursa hii kukushauri mambo yafuatayo. 1. Pambana na kinachoitwa JK, Sukuma Gan nk ndani ya chama. Walete pamoja wanaccm kwani utulivu ndani ya CCM ni utulivu wa dola na ni utulivu wa serikali. 2. Epuka kutumia approach za...
Back
Top Bottom