Utawaona baadhi wanatokwa povu, wanatokwa jasho, wanawaka hasa kukemea ubadhirifu uliobainishwa na CAG. Wakimaliza mjadala maisha yanaendelea kama kawaida.
Wanasubiri tena mwaka ujao. Napo watawaka sana na kutokwa jasho, kisha maisha yanataendelea mpaka mwaka ujao. Haya ni maigizo tu yasiyo na...