ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. R

    JamiiForums Tanzania Nakubaliana na CCM kwamba bodaboda na vicoba ndiyo njia pekee iliyobaki kuwakomoa Watanzani wajifunze kujitegemea

    Mtoto akililia wembe mwache umkate. Mtu yeyote anayesema bodaboda na vikoba siyo njia sahihi yakumkomoa Mtanzania akapimwe akili. Ukiona MTU amekubali kuwa bodaboda na ukamwambia ukuletwa Duniani kuja kuendesha bodaboda then huyo MTU akakupinga nakutamani urudi ukimbizini basi usiumize kichwa...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa mkubwa yupi anaendesha bodaboda? CCM acheni hadaa

    Viongozi wa CCM acheni kuwadanganya vijana wetu kuwa kuendesha bodaboda ni kazi kama kazi nyingine. Mbona watoto wenu haweendeshi bodaboda? Kiongozi yupi ambaye mwanaye ni dereva bodaboda? Kama hakuna basi mfahamu kuwa hiyo siyo kazi ya heshima. Ni laana.
  3. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Mtaturu - Ikungi yatekeleza agizo la Katibu mkuu wa CCM, Daniel Chongolo kwa 100%

    Maji ni Uhai hatimaye Wananchi wa kitongoji cha Songoloji wapata huduma ya Maji baada ya maagizo ya Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Daniel Chongolo alipofanya ziara yake tarehe Februari 28, 2023 na wananchi wa Shina namba 13 walimwelezea kero ya ukosefu wa huduma ya maji ambapo...
  4. F

    JamiiForums Tanzania Bodaboda msilie wala kuumia, CHADEMA haioni umuhimu wenu lakini CCM inawajali na kuwaheshimisha

    Sio rahisi kukielewa alichosema Lema kama hutotumia mlango wa sita wa fahamu au jicho la tatu kukitafakari kwa makini lakini yote kwa yote bodaboda wamefedheshwa sana. Mwenye kulaani na kubariki ni Mungu pekee na mafundisho ya kiimani yanafundisha juu ya kuongezewa kwa kile ulichonacho...
  5. R

    JamiiForums Tanzania WanaCCM wana mengi kuhusu Hayati Magufuli, tutasikia mengi tuwe na akiba ya maneno

    Habari JF, Ni wazi kuwa Rais Samia atashinda uchaguzi wa 2025 kwa namna yoyote ile. Hili liko wazi hata kwa wapinzani ambao tayari wamelielewa. Na hii sifia sifia ina ahadi nzuri ndani yake. Hivyo, 2025 goli liko wazi kwa nafasi za ubunge na udiwani. Kitakachotokea ni kwamba wabunge wataingia...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini CCM hawahangaiki kabisa na Katiba Mpya?

    Nauliza tu kama Uchaguzi wa 2025 tutakuwa na Katiba Mpya na Tume huru ya Uchaguzi mbona CCM hawatoi hamasa yoyote kwa wanachama Wao! Je, Katiba Mpya siyo kipaumbele cha CCM? Jumaa kareem!
  7. R

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa kisiasa na watumishi wa umma tafuteni amani na wanasiasa wa CCM walioumizwa na awamu ya Tano

    Naomba radhi kwenye uzi, nitatumia majina ya viongozi ambao naamini wamefutwa kwenye ramani ya siasa si kwa kushindwa hoja, bali kwa matumizi makubwa ya mfumo uliokuwa imejichimbia kwenye shimo la uzalendo. Tuliambiwa matajiri wataishi kama masikini, tukashangilia; huku mataifa yaliyoendelea...
  8. U

    JamiiForums Tanzania Jinsi CCM walivyojimilikisha sehemu ya Barabara ktk Makao makuu

    Hii nchi Chama ndio tunasema Dola, lakini katika jambo la kustaajabisha ni pale ambapo CCM imeamua kufanya ubabe na kujimilikisha sehemu ya Barabara yaani mtaa na kufanya ni njia ya kuingia katika jengo lao la makao makuu na kupaki magari. Yaani sehemu ya Barabara ya Mtaa wa Mwangaza hapo...
  9. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Siku Freeman Mbowe alipotumia ofisi za CCM kuwakwepa polisi

    Nitakuwa naleta mfululizo wa story za madhila ambazo viongozi wa upinzani walikuwa wanapitia enzi za Awamu ya 5. Story hizi zinasimuliwa na aliyekuwa Meya wa Ubungo kwa tiketi ya CHADEMA, Boniface Jacob. Je, wajua katika maandamano ya CHADEMA kutoka Mwananyamala kwenda kwa Mkurugenzi wa...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Hashim Rungwe: CCM ni Majizi

    Haipo tena haja ya kumung'unya maneno: Ukweli ni mchungu lakini inabidi usemwe. Wizi wao ni wapi usikoonekana? Ni NHIF, LATRA, TRA, Polisi, Immigration? Wapi penye unafuu?
  11. Mtu Asiyejulikana

    JamiiForums Tanzania Hakuna aliyetaka Kumuua Godbless Lema. Tuambiane Ukweli tu

    Godbless Lema anapenda kujipa ukubwa au umuhimu ambao hana. Lissu ilikuwa auawe ni kweli na sababu ni pale alipoanza kutoa siri za ndani kwa wageni. Halikuwa jambo sahihi hata hivyo. So siungi mkono kumuua. Lema hakukuwa na kusudio hilo hata wazo halikuwepo. Sema Lema anapenda sana ku trend na...
  12. Murashani GALACTICO

    JamiiForums Tanzania Je, ni utaratibu Wakuu wa Mikoa kwenda kukagua miradi ya ujenzi au majengo saa za usiku?

    SWALI tajwa lahusika. Tupo hapa masaa machache RC anamaliza kukagua mradi wa MAJENGO usiku wa saa 2 kasoro usiku. Je, kama zipo kasoro katika MIRADI hiyo au MAJENGO. Je, zitabainika kweli au ndio utaratibu wa ilani na sera ya chama?
  13. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wanafurahia sana misururu ya watu wanapopita mijini. CCM wao wanajijenga mashinani na hawana mbwembwe

    Hiyo ndio hali halisi niliyoiona kwa CHADEMA, misafara yao wanapoingia mijini hupokelewa na mapikipiki na kila aina ya mikwara wenzao CCM wanajijenga vijijini huko kuna vikosi vinapita! Ninyi jidanganyeni na hizo nyomi!
  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Sasa kama kumbe Kutokukoma kwa Teuzi ni Agenda ya Siri ya CCM kuwa kila mwana CCM lazima ale Keki ya nchi kwanini msiseme tu?

    Nasikia umeshauriwa na Mtu unayemuamini na kumsikiliza mno kuwa ili mwaka 2025 upate Uungwaji mkono na wana CCM wote hakikisha kila mara unawapa Ulaji ili Waibe na Wajitosheleze kisha unawapa na Fursa hiyo hiyo na Wengine ili wapige na hadi hiyo 2025 wasije Kukulaumu. Nimedokezwa kuwa kati ya...
  15. Sir robby

    JamiiForums Tanzania CCM jifunzeni Kenya upatikanaji na utendaji wa Tume Huru ya Uchaguzi, msione aibu

    Wakati umefika kwa chama kikongwe Afrika kubadilika. Ni miaka 61 TANU/CCM kipo madarakani huku ikitumia mifumo ya chama kimoja cha siasa wakati nchi ipo kwenye Mfumo wa Vyama Vingi. CCM na Serikali yake imekuwa ikiendesha nchi kwa kutumia Katiba ya Chama Kimoja kwa Vyama Vingu vya Upinzani na...
  16. J

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo wataka Zanzibar ipewe mamlaka kamili

    Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar Masoud Othman amesema Chama chake cha ACT Wazalendo kinataka Muungano utakaoitambua Zanzibar yenye Mamlaka kamili Masoud amesema hayo kwenye mkutano wa Chama chake huko Nungwi Chanzo: ITV habari
  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania CHADEMA hatutaki mjisifie kujaza watu mikutanoni, bali kuwatoa Kimkakati CCM Madarakani

    Kila nikimsikia mwana CHADEMA simsikii akinipa mikakati yenu ya kuitoa (kuing'oa) CCM madarakani bali nasikia tu wakijisifia kujaza watu (nyomi) katika mikutano yao huko mkoani/mikoani. Nilishawahi kuwashaurini huko nyuma kuwa jiimarisheni sana katika kujijenga ngazi za chini ila nasikitika...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya watoto wa shule kufariki wakivuka ndio Serikali ya CCM inafikiria kujenga daraja

    Mabilioni ya pesa za umma mnatafuna. Mnajenga madarasa hewa kwa tril 1.3 Watoto wanafariki wakivuka mto kwa mtumbwi kwenda shule. Mnakula pesa. Hamjali maisha ya wananchi mpaka wafe. ======== Serikali kujenga daraja mto uliouwa wanafunzi Kigoma Kigoma. Wakati miili ya wanafunzi wawili kati...
  19. M

    JamiiForums Tanzania CCM inatumia pesa za umma kuwalipa Chadema ili kuonesha kuwa kuna demorasia nchini ili kuwalidhisha Mabeberu.

    Tozo za Watanzania zinatumika kwa mambo ya ajabu Kuwaridhisha mabeberu ili waone kuna demokrasia wakati ufisadi umetamaraki Huu ni uzandiki wa kisiasa. Hizi pesa wanazopewa Chadema na CCM bora zingejenga mashule.
Back
Top Bottom