Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
Ukiona mkoa wa Mara unafanya jambo hili ujuwe wewe ni kidume kwelikweli. Kule hakunaga chawa.
Ngoja tuone mwisho wa Makonda.
Akabidhiwa kifimbo cha Nyerere.
======
MAKONDA AAGIZA BODABODA ZIACHILIWE
"Ninafahamu ya kwamba zipo bodaboda zilizotumia fursa ya mpaka kufanya biashara za magendo...
Kumekuwepo na taarifa kuhusiana na mabadiliko ya uongozi ndani ya CCM hasa katika nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara na Katibu Mkuu.kuna fununu kuwa Mzee Kinana ameshaandika barua ya kuomba kupumzika na kwa upande wa Katibu Mkuu inasemekana Mama haridhishwi na utendaji wa katibu mkuu wa...
Salaam, Shalom!
Tamaduni zetu za kiafrika, huwa hatuna utaratibu wa kudai maiti. Mtu akishaaga Dunia huwa tunasamehe.
Bwana bwana, juzi tena TABIA hii isiyofaa imeibuka tena mkutanoni Furahisha Mwanza katika ziara ya Katibu wa Itikadi na Uenezi CCCM,
Kada mmoja wa chama tawala akanyosha mkono...
Tulizani itachukua muda mrefu kuona mgawanyiko wa kisiasa ndani ya CCM ila sasa hali si shwari.
Wazee walipoambiwa wakae kimya wameamua kukaa kimya kuanzia juu hadi kwenye mikoa. Vijana walipoambiwa chama ni mali ya familia fulani flani nao wameelewa wameamua kuendelea na maisha mengine...
1. Dharau
2. Uonevu
3. Ubabe
4. Uwizi/ Ufisadi
5. Dhuluma
6. Rushwa
7. Uwongo/ Kudanganya
Haya GENTAMYCINE niwatakieni tu Kila la Kheri wale wote wenye Ubongo mfupi na hafifu wanaomuamini na kumsifu sasa wakati kwa Rekodi zake za kimatukio Kipindi chake yuko Madarakani/ Serikalini angekuwa...
Wakati wa awamu ya kwanza enzi za Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere,na awamu ya pili iliyoongozwa na Rais Ali Hassan Mwinyi,katibu wa CCM Mkoa ndiye alikuwa Mkuu wa Mkoa,katika mfumo wa vyama vingi Mwenyekiti wa CCM hawezi kushika nafasi ya Mkuu wa Mkoa au Mkuu wa Wilaya,hivyo basi nani...
Ndiyo hivyo. Kiongozi makini na mstaarabu kamwe abadani hawezi mpa nafasi Makonda. Lakini kwa CCM hii imetokea kwa sababu Hayati Magufuli alishawazoesha siasa chafu.
Hapo katikati walijaribu kurudi lakini hoja za siasa toka upande wa pili zinawashinda majukwaani.
Wameamua kurudisha warusha...
MAKONDA ANAWADISTURB WASAKA URAIS NDANI YA CCM NA HILI NI JAMBO JEMA
Watu wengi huwa hawajui kwanini huwa tunawachapa wasaka urais.Pale tunapobaini pasi na shaka kuwa kiongozi fulani ndani ya serikali na Chama anatengeneza mtandao wa kusaka urais huwa hatumuachi salama.
Wasaka urais ni watu...
Wanabodi
Huu ni wito kwa Katibu Mwenezi mpya wa CCM, Comred Paul Makonda, kwanza kwa kumpongeza kwa kuifufua hamasa ya CCM kupendwa upya na kukubalika sana kupitia amsha amsha zake za Magufuli type (populist na populism) kila anapopita, tatizo lake ni moja tuu, anaipiga hii ngoma kwa nguvu...
Mkurugenzi Ilemela amhakikishia Mwenezi Makonda ndani ya wiki mbili kukarabati eneo linalotuama maji katika stendi hiyo
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kupitia Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM, Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndg. Paul Makonda kimetoa muda wa siku 4 hadi kufikia tarehe 17 Novemba, 2023...
Katibu Mwenezi, Bwana Makonda anafanya ziara huku na kule na kusikiliza kero za wananchi (sijui ni wana-CCM tu au la) na kuwa-task watendaji wa serikali ya CCM na watu kumshangilia.
Ingawaje sijui kama analofanya ni sehemu ya job description ya kazi aliopewa. Swali, kwa mendo huu sio...
Siyo siri ujio wa Makonda ndani ya CCM umekuwa na matokeo chanya.
Hapa mama Samia alilamba dume ka karata.
Tatizo ni Chongolo, anaonekana kutokomea into oblivion.
Makonda anapiga chenga hata za mwili kisiasa.
Katibu Mkuu changamka!
====
Pia soma: Katibu Mkuu wa CCM, Ndg. Daniel Chongolo...
📌📌 MAKONDA AKIHOTUBIA MKUTANO WA HADHARA - MWANZA
"CCM ni Chama bora kwa sababu kinao uwezo wa kujikosoa, kujisahihisha na sifa ya kubadilika kutokana na mazingira. Chama kimepita katika nyakati tofauti na kinakuja na mbinu mpya, ndio maana kitaendelea kuwa madarakani."
Ndugu Paul Makonda...
Bila shaka sasa Badala ya kukiaibisha chama chao Pekee, Wameamua kudhalilisha Taifa lote.
Lakini je, Wananchi hata kama ni wajinga watakubali kudanganywa kibwege namna hii?
Yaani utumie V8 kwa maelfu ya KM halafu ushuke uendeshe baiskeli Mita 2 ili wananchi wanaoonekana Mbumbumbu wakuone uko...
Mara pap Bashiru kateuliwa awe Katibu Mkuu wa Chama cha CCM.
Alafu Lukuvi arejeshwe Wizara ya Ardhi akakomeshe uporaji wa viwanja uliokithiri.
Polepole aende Tamisemi kisha Mchengerwa awe Nishati na Kabudi Katiba na Sheria.
Mpina Waziri Mkuu
Alaf Bashe Kilimo hapo hapo alipo.
GAME OVER.
Wasukuma ni wengi zaidi Tanzania, ni wachapakazi kwa asili. Wasukuma na wanyamwezi idadi Yao ni kubwa inakaribia theluthi ya Watanzania wote. Pamoja na wingi wao, uchapakazi wao mkubwa na wingi wa rasilimali zilizoko kwenye mikoa Yao, wasukuma walikuwa sio chochote Wala lolote huko nyuma kwenye...
Kabla ya majira kutimia 2024 Paul Makonda ndiye atakuwa KM wa CCM.
KM wa sasa, atakuwa Balozi wetu katika nchi mojawapo ya Zimbabwe, Namibia ama Zambia.
Fikiria suala dogo kama kupeleka maji kwenye mji mdogo wa Katoro ambao upo jirani na ziwa Victoria nalo linahitaji waziri wa maji kupigiwa simu. Huu ni uzembe wa serikali ilyopo madarakani wala sio sifa kwa Makonda kupiga simu.
Suala dogo la dhuluma kwa wananchi ambalo kwa serikali makini hata...
Habari wataalamu, binafsi sio mtaalamu Sana wa siasa, hata hivyo nakiri kwamba tangu nimeanza kufuatilia fuatilia politics ninashawishika kwamba CCM imeanza kurudisha uhai wake kupitia MWENEZI P. MAKONDA.
Kwa ujumla Kama Kuna washauri wa Rais humu, wamjulishe kuwa wamefanikiwa Sana kuifanya...