ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. JamiiForums Tanzania Tatizo sio CCM na wala tatizo sio mchakato wa uchaguzi yaani upigaji kura, tatizo ni wapiga kura wa vyama hivyo vya upinzani

    Unapozungumzia Demokrasia ni ile hali ya mtu kuchagua au kuchagulia, fairness, ulingo sawa wa kufanya shughuli za kisiasa, vyama kuwa na mchakato wa ndani wa kutafuta wawakilishi wao katika nafasi mbali mbali za uwakilishi katika levo tofauti tofauti za chaguzi. Demokrasia ni uwanja mpana na...
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Arusha mjini CCM twende na nani kwenye ubunge 2025?

    2025 iko pale kwenye kona je, wapiga kura wa Arusha mjini tumeshatafakari wa kwenda naye kwenye uchaguzi dhidi ya Godbless Lema. Huko CHADEMA inajulikana kuwa ni mgombea wao wa Ubunge ni Lema. Mchakato wao wa kumpata mgombea Ubunge huwa ni kiini macho tu. Tayari mgombea wao ni Lema na hata yeye...
  3. JamiiForums Tanzania Tetesi: CCM Kilimanjaro imepasuka, Mkoa unazidi kurudi nyuma

    WAsalaam,Kwa wajumbe wa halmashauri kuu ya wilaya, hebu jadilini pale old CCM. Mji wa Moshi ni mchafu na haukui sababu kubwa ni CCM kukamata, kushikilia na kuhodhi maeneo muhimu ya mji ambapo ni kwaajili ya ukuaji wa mji. Sehemu zote huwa wanweka vibanda vsivyo elewekw, kuzungushia ma-fremu...
  4. JamiiForums Tanzania Vyama vya upinzani vinaoneana wivu, ni nani mwenye urafiki na upinzani kwa CCM?

    Vyama vya upinzani vya Tanzania ni kama wapo kwenye league ya kuoneana wivu. Ni chama gani chenye urafiki na ushindani kwa chama tawala CCM, hii ni toka utawala wa Samia uanze. Hali hii inanishangaza sana.
  5. JamiiForums Tanzania Dr Nkwasi: CCM hawana jipya, wanatafuta kiki kwa kutumia umbumbumbu wa wananchi

    Siku hizi wanasiasa na chawa wa CCM wakipanda majukwaani wanatumia muda mwingi sana kumsifia Rais Samia hata kwa mambo yasiyokuwepo hadi wanatia kichefuchefu. Utasikia "Rais katoa pesa kujenga bwawa la umeme la mwalimu Nyerere, kajenga SGR na mirai mingi sana na anawalipa wafanyakazi mishahara"...
  6. JamiiForums Tanzania Vyama aina ya CCM huwa havitoki madarakani kwa sanduku la kura

    Wengi wanaweza wasipende lakini ukweli halisia ni kuwa vyama aina ya CCM au watawala mmoja mmoja aina ya CCM huwa hawatoki madarakani kwa sanduku la kura. Hivi vyama vya namna hii vina mtindo wake wa kutolewa madarakani.
  7. R

    JamiiForums Tanzania Yaliyotokea kwa ACT Wazalendo kwenye chaguzi Ujiji kwa Polisi kuilinda CCM kuiba kura, 2024/25 yanawasubiri CHADEMA, mtafanya nini yakitokea?

    Kama CHADEMA mmeamua kushiriki chaguzi zijazo, 2024/25, mjue for sure yale yale yaliyotokea 2020 yatatokea tena maana jana yametokea Ujiji Kigoma kwa ACT Wazalendo (ingawa ACT ni tawi la CCM ie (CCM vs ccm) kwa kukamata kura za wizi na polisi kuwakingia kifua CCM kwa kuwakamata viongozi wa...
  8. JamiiForums Tanzania CCM yashinda Udiwani Kata ya Kasingirima, ACT Wazalendo wadai kulikuwa na Kura Feki

    Msimamizi wa uchaguzi mdogo wa Kata ya Kasingirima, Halmashauri ya Manispaa ya Kigoma Ujiji, Mwantumu Mgonja amemtangaza Mlekwa Kigeni wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kuwa mshindi katika uchaguzi huo kwa kupata kura 437 dhidi ya mshindani wake wa ACT-Wazalendo, Alumbula Khalidi aliyepata kura 233...
  9. JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo wakamata Kura Feki uchaguzi Mdogo Kata ya Kasingirima Kigoma zikiwa zimepigwa kwa Mgombea wa CCM

    Kwenye Official Account yao ya X (Zamani twitter) ACT Wazalendo wamethibitisha kukamata kura hizo, na Kusema bado wanaendelea kuchukua Hatua stahiki ikiwa wao ni Moja ya vyama Shiriki kwenye Uchaguzi huo.. "Kura fake zimekamatwa zikiwa zinaingizwa kwenye vituo vya kupigia kura Katika Kata ya...
  10. JamiiForums Tanzania Mzee Kikwete: Sina hofu ya CCM kushindwa na Upinzani Uchaguzi Mkuu labda kutokee mambo ya ajabu

    Mzee kikwete akiulizwa kuhusu Mtazamo wake wa Uchaguzi wa Mwaka huu na nafasi ya CCM amesema: "Mimi naamini chama kipo kwenye mazingira mazuri, lakini watu wanasema Politics is local, kuelekea Uchaguzi huu wa Serikali za Mitaa na uchaguzi wa Mkuu mwakani sina hofu na CCM, itaendelea kushinda na...
  11. K

    JamiiForums Tanzania CCM imewapa ladha zote za uongozi watanzania, kazi kwetu kuchagua radha tuipendayo.

    Mpaka sasa CCM imewapitia Radha tofauti tofauti za uongozi watanzania kutoka Kwa viongozi wake. Kutoka radha ya viongozi wenye maamuzi magumu, Radha ya viongozi wakali sana, Radha ya viongozi wapole na Radha nyingine tofauti tofauti. Ni jukumu letu watanzania kuchagua Radha tuipendayo maana...
  12. JamiiForums Tanzania CCM imefanikiwa kuwashinda wapinzani kwa hoja mtandaoni

    Hello JF Members. Tangu kuasisiwa kwa siasa za mitandaoni mwanzoni mwa miaka ya 2010 hakika ni ukweli usiopingika kuwa vyama vya upinzani hasa wachaga na chama Chao,kwakweli walitukaba koo kisawasawa na ukuzingatia chama chetu kilipitia mnyukano wa ndani. Chama tawala tulikuwa na kashfa nyingi...
  13. A

    JamiiForums Tanzania Serikali na CCM wameadhimisha wapi Kifo cha Magufuli?

    Jana 17/03/2024 ilikuwa ni siku ya kumbukizi ya Kifo cha Raisi wa Awamu ya Tano, tena akiwa Kazini lakini sijasikia kauli yeyote ya Serikali au CCM kuenzi au kuyaendeleza mazuri ya Kiongozi huyo. Naona shughuli zilizofanyika imekuwa kama ya kifamilia zaidi na sio ya MTU aliyewahi kuwa Kiongozi...
  14. JamiiForums Tanzania Waliotaka kuizunguka katiba wasilaumiwe, ilaumiwe CCM

    Mahojiano aliyoyafanya mkuu wa majeshi mstaafu yametufungulia kaupenyo kwenye dirisha la kilichokuwa kinaendelea kwenye siku za mwisho za uhai wa Rais Magufuli. Kitendo cha mkuu wa majeshi na wenzake waliokuwepo wakati Rais Magufuli anavuta pumzi yake ya mwisho na ‘sintofahamu’ iliyojitokeza...
  15. JamiiForums Tanzania Waziri Mhagama Ateta na Viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Ruvuma

    Waziri Mhagama Ateta na Viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Ruvuma Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Jenista Mhagama (Mb) Peramiho ametembelea Ofisi za Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Ruvuma na kukutana na Katibu wa Chama Mkoa Ndg. Mohamed ally. Waziri...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Chama chetu CCM kichukue hatua za haraka

    Jana tulikuwa na Mkutano Mkuu wa Mtaa ulioitishwa na CCM kuelezea wananchi wa Mtaa ilani ya Chama Cha Ma;induzi yaani utekelezaji wa shughuli za maendeleo tangu Awamu ya sita iingie madarakani na tangu Awamu ya Tano na Sita hawajaitisha mkutano mkuu wa mtaa. Mtaa wetu una takriban watu wazima...
  17. JamiiForums Tanzania Mchele wa msaada haukuja kwa bahati mbaya, ni baada ya Benki ya Dunia kuitahadharisha Tanzania kupunguza kuzaliana, CCM mnapunguziwa wapiga kura

    Sikushangaa kuona mchele wenye virutubisho. Huo haukuja kwa bahati ni baada ya siku mbili tu kupita baada world bank kuitahadharisha tanzania juu ya wananchi wake kuendelea kuzaliana kwa wingi bila kikomo kama walivyoambiwa na shujaa Magufuli wazaliane mpaka mayai yaishe. Wakaenda mbali kwa...
  18. JamiiForums Tanzania Hizi ni dalili kuwa CCM hawamtaki Rais Samia?

    Ukisikiliza kwa umakini jinsi Samia Hassan Suluhu Mwenyekiti wa CCM Taifa anavyoongea kuhusu masuala mbalimbali ya kisiasa, unagundua ndani ya CCM Kuna kutokutakiwa kwake. Siku hizi huoni Samia akiongea zaidi kama kiongozi mwenye mamlaka ndani ya CCM, bali ni kama kiongozi anayetegemea hatima...
  19. JamiiForums Tanzania Lissu ni mwanasiasa mzuri, nitahama CCM kumfuata akitua ACT-Wazalendo

    Tundu lissu anaeleka ACT wazalendo kujiandaa kuchukua nchi 2025, ninaamini kabisa kama Mungu akituruzuku uhai Lissu akiungana na akina Ismail Jussa, Lema, Babu Duni, Othman na vijana kama Nondo bila shaka CCM mkambarani kama mwanamikakati nitaachana na ccm na kuifuata ACT Ninayasema haya baada...
  20. JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole ni miongoni mwa Viongozi wa awamu ya 5 walioua Demokrasia ndani na Nje ya CCM

    Katika mwendelezo wa nyuzi zetu kwenye mwezi huu wa 3 , ambao unaitwa Mwezi wa Mungu , Hatimaye tumemfikia Ndugu Humphrey Polepole , Mjumbe wa kamati ya kuratibu Maoni ya Wananchi ya Mchakato wa katiba mpya au katiba ya Warioba , DC wa zamani wa Ubungo , Katibu wa uenezi na Itikadi wa ccm ...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…