Tumeruhusiwa kuandamana ila CCM hawana amani, tahadhari iwepo! Soma hapa

Elli

Platinum Member
Mar 17, 2008
55,519
86,072
Asante Kamanda Muliro, asante kwa kupevuka kiakili na kimtazamo. Tutaandamana kwa Amani, Tanzania ni yetu sote.

Wito Wangu kwa CHADEMA, mjue kabisa CCM hawana radhi na hili na hivyo basi, tahadhari zichukuliwe, wasije wakapandikizwa Watu wabaya, wakafanya Mambo Mabaya, zigo likadondoshewa CHADEMA.

IKIWEZEKANA tuwe na Drones na ziwe linked na online devices kwa ajili ya storage, hujuma huenda zikatokea baada ya maandamano ili wasiweze kudhibitiwa. Ni Hilo Tu MUNGU ibariki CHADEMA, MUNGU ibariki Tanzania
 
Asante Kamanda Muliro, asante kwa kupevuka kiakili na kimtazamo. Tutaandamana kwa Amani, Tanzania ni yetu sote...
mlosema wakati wa ban ya mikutano ya hadhara mnarudia tena kuhusu maandamano.....

friends,
siasa ni sayansi songa mbele ukipata fursa,

geuka yenu nyuma itawaangamiza kisiasa,

na kujistukia kwenu kunawachelewesha sana kupiga hatua. be focused, bold, committed and not confused....
 
Asante Kamanda Muliro, asante kwa kupevuka kiakili na kimtazamo. Tutaandamana kwa Amani, Tanzania ni yetu sote...
Katiba iheshimiwe kuto kufuwata katiba hakuna masilahi kwa yoyote zaidi ya hao viogozi wasio juwa wajibu wao. Kuto kufuwata katiba Kuna madhara makubwa kwa watanzania wote. Kuto heshimu katiba ndio kunako msababisha elimu mbovu, uchumi mbovu, afya mbovu, mishahara mbovu kwa polisi na watumishi wote.
 
Maandamano ni haki ya msingi ya kikatiba.

Cha msingi ni Chadema kufuata maelekezo ya polisi na polisi nao kufuata sheria kulinda watu na mali zao.

Huu ni mtihani wa kwanza kwa waandamanaji na polisi wa Tanzania na waenda kuweka historia.

Na pia ni “political gamble” kwa serikali ya Tanzania na CCM.
 
Mlitaka mikutano mkakubaliwa , meomba mandamano mmekubaliwa sasa tunasubiliaa muombe kwende ziara na mama ulaya
Ziara za mama wataenda wale walamba asali tuu ila wanachama wa kawaida wataendelea kuangalia ndege kwa juu na kusema ndege ya baba ileeeeeeeee
 
Maandamano ni haki ya msingi ya kikatiba.

Cha msingi ni Chadema kufuata maelekezo ya polisi na polisi nao kufuata sheria kulinda watu na mali zao.

Huu ni mtihani wa kwanza kwa waandamanaji na polisi wa Tanzania na waenda kuweka historia.

Na pia ni “political gamble” kwa serikali ya Tanzania na CCM.
Wacha pakuche
 
Tuna taarifa za CCM kuandaa Mabango ya kumpongeza Samia huku wakivalishana Fulana za CHADEMA. Kijana usikubali njaaa itawale akili, tutakutia njaa vizuri. This is serious business
 
Mjitahidi kuwa online kwa ajili ya real time updates maana hakuna media za Serikali ya CCM zitakazo report
 
Asante Kamanda Muliro, asante kwa kupevuka kiakili na kimtazamo. Tutaandamana kwa Amani, Tanzania ni yetu sote.

Wito Wangu kwa CHADEMA, mjue kabisa CCM hawana radhi na hili na hivyo basi, tahadhari zichukuliwe, wasije wakapandikizwa Watu wabaya, wakafanya Mambo Mabaya, zigo likadondoshewa CHADEMA.

IKIWEZEKANA tuwe na Drones na ziwe linked na online devices kwa ajili ya storage, hujuma huenda zikatokea baada ya maandamano ili wasiweze kudhibitiwa. Ni Hilo Tu MUNGU ibariki CHADEMA, MUNGU ibariki Tanzania
Keshaona nyumbu hakuna waandamanaji, sasa unarukaruka mtandaoni tuu
 
wabongo walivyo mamwinyi sijui kama kunamtu atajitokeza zaidi ya viongozi wachadema tuu.

watu watajaza mabando tuu washuhudie online 😁😁😁😁😁
 
Asante Kamanda Muliro, asante kwa kupevuka kiakili na kimtazamo. Tutaandamana kwa Amani, Tanzania ni yetu sote.

Wito Wangu kwa CHADEMA, mjue kabisa CCM hawana radhi na hili na hivyo basi, tahadhari zichukuliwe, wasije wakapandikizwa Watu wabaya, wakafanya Mambo Mabaya, zigo likadondoshewa CHADEMA.

IKIWEZEKANA tuwe na Drones na ziwe linked na online devices kwa ajili ya storage, hujuma huenda zikatokea baada ya maandamano ili wasiweze kudhibitiwa. Ni Hilo Tu MUNGU ibariki CHADEMA, MUNGU ibariki Tanzania
mipango yote imekamilika
 
Back
Top Bottom