ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. H

    JamiiForums Tanzania Kuondoa kabisa mijadala ya Haki za wafanyakazi. MEI MOSI CCM wakaamua tu kuja na Lissu Mahakamani

    CCM inauwezo sana wa kufanya propaganda. Baada ya kumsimika Mbowe CHADEMA sasa wametuletea Heche. Kwa kuongea tu ni kama helo. Kwa kipindi ambacho CHADEMA ilikuwa na nafasi ya kuunganisha wafanyakazi wa sekta ya umma na bimafsi kutetea maslahi na kuunganisha wafanyakazi. Ccm wakampeleka Lissu...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Changamoto ya Maji kwa wakazi wa Kivule (Dar)

    Habari. Kùna changamoto ya maji kata ya Kivule mtaa CCM hapa, wiki sasa imeisha maji hayatoki. Hakuna taarifa yoyote iliyotolewa. DAWASA hawashughulikii kabisa. Watu walichangishwa hela buku buku kutengeneza Bomba lakini bado hatuoni jitihada zozote za Maji kurudi na hata viongozi wa mtaa...
  3. Kiranga

    JamiiForums Tanzania The Economist: Is Samia Suluhu Hassan Africa’s most disappointing president?

    From The Economist April 30 2026 Is Samia Suluhu Hassan Africa’s most disappointing president? Photograph: Xinhua News Agency/Eyevine Apr 30th 2026 | 3 min read Tanzania has had dramatic ups and downs. In the 1970s the government of this east African country forced farmers into collective...
  4. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Wasira: CCM tumepewa ridhaa ya Wananchi kuongoza dola

    Makamu Mwenyekiti wa CCM - Bara, Stephen Wasira amekanusha chama hicho kutumia vyombo vya Dola kujinufaisha kisiasa. Ameyasema hayo katika mahojiano maalum na UTV.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Somo kwa CCM: Unaweza kulazimisha kupata madaraka lakini sio kupata watu

    Somo kwa CCM: Unaweza kulazimisha kupata madaraka lakini sio kupata watu. kuajiri kwa kuhonga ajira, undugu, rushwa na wizi wa kura una mwisho wake. Tuna serikali na chama cha CCM ambacho hakiendani na hali halisi ya nchi ilivyo. wakati wizi, rushwa, undugu, utekaji unaendelea ndiyo hivyo hivyo...
  6. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Mnaounga mkono CCM huwa mnatumia VPN?

    Mnaoiunga mkono CCM mnapotaka kutumia mitandao ya kijamii JF ikiwemo, huwa mnatumia VPN? Mnawezaje kukiunga mkono chama kinachofanya matendo ya kuzuia wafuasi wake kuwa huru kwenye kutoa maoni na kupata taarifa?
  7. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Emanuel Nchimbi Vs Tundu Antipas Lissu. Nitaondoka na Tundu Lissu japokua Emanuel ni mwana CCM mwenzangu atanisamehe

    CCM wakimsimamisha Emanuel na Lissu nafasi ya urais nitaondoka na Lissu sio Emma japokua mwana ccm mwenzangu nina sababu za msingi kama tatu. Emanuel ni mtu mwenye misimamo Ila ni mtu muoga hawezi kutoka kusimamia anachokiamini mpaka mwisho. Walivyomkata Lowasaa 2015 yeye na sophia simba ndo...
  8. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Hakuna Chama Cha Siasa mbadala wa CCM Tanzania mpaka sasa, hakijaanzishwa bado na hakuna dalili za kuanzishwa kwake Tanzania

    Kwanza kabisa, kama wadau wa siasa za Tanzania, sina shaka yoyote kwamba sote tunakubaliana kwamba, Tanzania hakuna vibrant opposition, wala hakuna united opposition kuchallenge the ruling party, na kwa hali ilivyo sasa, hakuna dalili ya kitu kama hicho kuanzishwa au kuwapo Tanzania. Utamaduni...
  9. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Naisubiri kwa hamu Siku CHADEMA ikiingia Madarakani then CCM wawe wanaikosoa Kwa nguvu zote nione hali itakavyokuwa

    Hamjambo wakuu! 1. Sio mbali wala Siku sip nyingi nchi hii itaongozwa na Upinzani kabla ya 2040. 2. Tuombe uzima. Hapa ninachojaribu kufanya projection hali itakavyokuwa. 3. CCM sasa imegeuka kambi rasmi ya upinzani. Hapa kuna mambo kadhaa yatatokea; a) Viti vya ubunge bungeni kutakuwa na...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania CCM yafanya uteuzi wa Wagombea 9 kujaza nafasi 3 za Bunge la Afrika Mashariki

    Leo tarehe 29.04.2026 Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi, ilifanya kikao chake cha kawaida jijini Dar es Salaam chini ya Mwenyekiti wake, Dr. Samia Suluhu Hassan. Pamoja na mambo mengine, Kamati Kuu imefanya uteuzi wa wagombea tisa (9) wa CCM kujaza nafasi tatu (3) katika Bunge...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Salum Mwalimu: Siwezi kupingana na uhalisia ikitokea CHADEMA ikawa namba 2 CCM ikiongoza

    Katibu Mkuu wa Chaumma na aliyekuwa mgombea wa Urais wa chama hicho katika uchaguzi mkuu wa 2025 Salum Mwalim akifanya mahojiano na Wasafi FM Aprili 28, 2026,
  12. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Hivi Jaji Chande Othman hana kadi ya CCM?

    Ni maelezo ya kuwalinda watawala wa CCM wala sio ripoti ya uchuguzi. Jinsi watu walivyokuwa wanamiminiwa mijegejo kama Rambo yupo Vietnam halafu tunapewa maelezo kama haya Jaji Chande uwe na aibu basi.
  13. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kwa Tabia na akili za Watanzania wengi. Hata CCM ikitoka bado chama kitakachotawala kitakuwa CCM B

    Hamjambo! 1. Kuna tabia ambazo Watanzania wengi wanazo ambazo zinazalisha upatikanaji wa viongozi wa ajabuajabu. 2. Nitakupa mfano WA baadhi ya tabia na fikra hizo; a) Watazania wengi hawaupendi Ukweli. Watanzania wengi hawaupendi Ukweli. Ukiwaambia Ukweli watakuchukia Sana. Msingi mkuu wa...
  14. O

    JamiiForums Tanzania Samia ameamua kutumia kitabu cha Putin, CCM watapata ajali sana

    Kuna Tetesi, Ameandika Maria Sarungi "Msishangae kesho mkisikia muumbe au hata mwenyekiti wa Tume ya Chande anaumwa yuko mahtuti! Familia za hawa wajumbe wawe makini SANA! Mtakuja kuniambia"
  15. Idugunde

    JamiiForums Tanzania CHADEMA inakosea sana kufanya ushirikiano na Act Wazalendo chama ambacho ni kibaraka wa CCM. Naanza kuwa na mashaka na John Heche

    Watanzania wengi wamesikitika sana kuona kuwa eti Act Wazalendo inaungana na Chadema kupinga ripoti ya kada wa CCM Chande Othman. Act Wazalendo ilikuwa pamoja na CCM mtandao. Chama cha mafisadi kwenye uchaguzi feki wa Oktoba 29, 2025 mwaka 2025. Ambao umeshuhudia watu wakipigwa risasi wakiwa...
  16. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania CCM badilisheni mbinu. Hawa GenZ fikra zao zipo mbali na fikra za CCM(Conservativeness)

    Mpo salama! 1. CCM ni chama Dola, kikongwe na ambacho kimefanyia mambo mengi mazuri nchi yetu ikiwemo Umoja wa kitaifa tangu 1961 mpaka hivi karibuni ambapo kidogo mambo ndio yameanza kukorogana. Umoja wa kitaifa hapa tunazungumzia kiwango kidogo cha Ubaguzi wa kikabila na udini. Kwa hilo CCM...
  17. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Kwa Samia na CCM yake ni Vita ya 'Mamlaka', Kwa Watanzania kupitia CHADEMA ni Vita ya ku 'survive', CDM ya sasa si Chama tu, ni Imani

    Licha ya Kumshikilia Lissu, Bado Watanzania wamezidisha Mapenzi yao kwa CHADEMA Licha yaashambulizi meengi dhidi ya Viongozi wa CHADEMA , Wanachama , bado Watanzania ndo Kwanzaa wanazidi kupenzika na CHADEMA. Yaan CHADEMA ya sasa, ni IMANI AMBAYO IMEZAA FALSAFA kwa WATANZANIA. Je, ni nani wa...
  18. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Chadema ni wa MOTO Balaa CCM kazi wanayo uwanja wa uchaguzi ukiwa huru

    Guys guys Imagine hapa TAL Bado yupo jela lakini mwitikio bado ni mkubwa na unatisha hatari wamedhibitisha kweli ni chama kikuu Tanzania. Sipati picha Lissu awe huru hii chadema iko na MOTO 100 times kabla ya kufungiwa na baadhi wa wa mbunge wa CCM waanze kujitafakari mapema kama wataendelea...
  19. McLaren

    JamiiForums Tanzania Cyprian Musiba aikacha ACT Wazalendo, aomba ridhaa ya kurudi CCM

    Mwanaharakati na Mwanasiasa Cyprian Majura Musiba, ametangaza rasmi kurejea katika Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuanzia Januari Mosi, 2026, akisema amefanya uamuzi huo kwa hiari yake bila kushawishiwa na mtu yeyote. Katika barua ambayo imenaswa na Royal TV ikionesha uamuzi huo tangu mapema Januari...
  20. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Vyombo Vya Habari Vya CCM Maktaba mazungumzo Historia ya Muungano

    https://youtu.be/hzc1zFNRBnk?si=pKH9rskM6ijwPFzv
Back
Top Bottom