Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 7,396
- 9,265
Watanzania wengi wamesikitika sana kuona kuwa eti Act Wazalendo inaungana na Chadema kupinga ripoti ya kada wa CCM Chande Othman.
Act Wazalendo ilikuwa pamoja na CCM mtandao. Chama cha mafisadi kwenye uchaguzi feki wa Oktoba 29, 2025 mwaka 2025. Ambao umeshuhudia watu wakipigwa risasi wakiwa majumbani kwao.
Leo hii John Heche anashirikiana na hawa Act Wazalendo!