A
Anonymous
Guest
Habari.
Kùna changamoto ya maji kata ya Kivule mtaa CCM hapa, wiki sasa imeisha maji hayatoki. Hakuna taarifa yoyote iliyotolewa.
DAWASA hawashughulikii kabisa. Watu walichangishwa hela buku buku kutengeneza Bomba lakini bado hatuoni jitihada zozote za Maji kurudi na hata viongozi wa mtaa wako kama hawapo.
Shida tupu.