Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
Wanakupa 1 M, unakubali kutimika, unatoka Ushahidi wa Uongozi unatoka Tuhuma za uongo 😃
Pole sana kijana mjinga na mpumbavu, Wenzio CCM wanajuaz huko mbele unaweza kuwageuka ukatoa ukweli !!.
Baada ya kutoa hotuba ambayo ilionekana kumuudhi aliyekuwa Mfalme wa Belgium, aliyekuwa Waziri Mkuu wa iliyokuwa Zaire (sasa DRC) Patrice Lumumba alikamatwa na wanajeshi wa kibelgiji wakishirikiana na waasi wa ndani.
Ili kupoteza ushahidi na ili kumbukumbu yake ipotee kiujumla, mwili wa...
Kupitia mambo mengi mazuri yaliyofanywa na CCM tangu kuanzishwa kwake mwaka 1977 ninaweza sema hadharani kuwa CCM ni mpango wa Mungu. CCM ndo chama kilichobeba matumaini ya watanzania wote wakiwemo Lissu na Heche. Kuna sababu nyingi sana za kutamka kuwa CCM ni mpamgo wa Mungu. Chini ya CCM...
CCM, Samia na wahuni wote watanzania tumewakataa hatuwataki
Mnataka watanzania tufanye nini ili msikie kwamba hatuwataki tuachieni taifa letu hamna cha kutudangaya watanzania sasa hivi tumejitambua
Samia achia nchi yetu hatukutaki, hatuwapendi, hatujawachagua tokeni msituletee machafuko kwa...
Huyu ni mmojawapo kati ya watu waliolishauri taifa kabla ya maafa kutokea. kulikuwa na namna zote za kusuluhisha jambo linalokabili taifa letu kwa sasa
Hatukuwa na haja ya kufika hapa tulipo, kwa jambo ambalo tungeweza kusikilizana na kupokea mashauri yaliyokuwa yakitolewa na wazalendo wenzetu...
Utumbo walio ufanya Sasa ivi unaligharimu taifa..kila sehemu.
Raia hawana Imani na Jeshi la Wananchi. Uadui umekua mkubwa kati ya Polisi na Raia.
Usalama wa Taifa wanaonekana kama migambo wa UVCCM.
Utalii umedorora. Raia wameanza kutoa fedha zao benk kwa hofu.
Kunyooshewa vidole vya kukusolewa...
Aliyekuwa Diwani mteule wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Kata ya Shiwinga, Wilaya ya Mbozi mkoani Songwe, Lusekelo Mwalukomo amefariki dunia baada ya kunywa maji ya betri. Tukio hilo lilitokea jana Novemba 26, 2025 na amefariki dunia wakati akiendelea kupatiwa matibabu katika Hospitali ya Mbozi...
Moja ya vitu vitakavyobadilishwa kwa wivu mkubwa sana baada ya Taifa hili kupata ukombozi wa kweli ni kuweka kiapo cha Utumishi wa Umma pamoja na vyombo vya ulinzi na Usalama kuwa ni kuilinda Katiba, kuwalinda Wananchi na Kulinda misingi ya Haki, Uhuru na Umoja wa Kitaifa.
Jambo la pili...
Nafikiri ni wakati sahihi wa kuunda mfuko maalumu wa kuchangia waathirika wa maandamano ya Oktoba 29 na. wale wote waliiothirika na matukio yote ya kikatili yaliyofuata baada ya hapo. Lengo likiwa ni kuwashika mikono ndugu, jamaa na wanafamilia wa walipoteza wapendwa wao.
Ukweli ni kwamba...
Tatizo kubwa ambalo linatajwa na wachambuzi wengi ni kwamba baadhi ya viongozi wa CCM bado wanafikiria kuwa siasa ya leo ni sawa na siasa ya miaka ya zamani—wakati taarifa ilikuwa haba, mitandao haikuwepo, na vijana hawakuwa wengi kwenye maamuzi.
Leo dunia imebadilika:
Vijana wana uelewa...
Katika hali ya sasa, ni muhimu kwa viongozi wote wa CCM, kuanzia ngazi ya chini hadi juu, kuelewa muktadha wa hali ya sasa haujawai kutokea tangu uhuru. katika kipindi hiki Influence ya chama imeporomoka sana, hali ya kisiasa inahitaji uangalifu wa kipekee.
Viongozi wanapaswa kuwa na busara...
Sijui kama ndani ya CCCM kuna wanao jitambua na wanao weza soma alama za nyakati.
Huu ni wakati wa kukimbia meli inayo zama. Hakuna namna tena CCM inaweza nyanyuka, hakuna namna, nazania wana uoga sana ila ukweli ni kwwmba CCM haiwezi nyanyuka kamwe.
Ukiwasikiliza uzuri genge la CCM utagundua kuwa wamechanganyikiwa kiasi cha kujichanganya na kuchanganyana wakidhani watatuchanganya.
Eti wanaoionya CNN kwa kufanya kazi yake uzuri. Wamechanganyikiwa na kusahau kuwa CNN sIyo shirika la kitapeli kama mengi tuilyo nayo nchini yakifanya kazi ya...
Kwa muda mrefu sana, CCM waliwafanya Watanzania kama mazuzu na wapumbavu.
Waliwateka, kuwaua, kuwaibia uchaguzi, kufisadi rasilimali za Taifa huku wakiwalisha propaganda za amani, udini, uzalendo, vita vya kiuchumi na nyingine nyingi.
CCM hawakuweza tu kuwarubuni Watanganyika kwa uongo bali...
Ukifanya tathmini ya kina kuhusu CCM utagundua hakuna jambo wanaloliogopa kama ajitokeze mtu mwenye nguvu ndani ya chama, aseme "mabadiliko ya mfumo wa kuendesha nchi hayakwepeki tena na ni lazima yafanyike".
Miaka ya mwanzo wa 1990s, Rais wa Urusi Mikhail Gorbachev, baada ya kuona mzigo wa...
Hii hata hao TEC au Shura ya Maimamu , Wasomi ,Taasisi mbalimbali hawataruhusiwa kuingilia Au kujaribu kushawishi Maamuzi ya Wananchi.
Wameua Ndugu zetu Maelfu , Wameteka Kila sauti iliyosimamia Haki, hakika Hawa ni watanzania ambao HATUTAWASAMEHE.
Jakaya Kikwete na Familia yake.
Rostam Aziz...
Utekaji na mauaji ya wanaomkosoa Rais, Utengenezaji wa mifumo bandia ya Uchaguzi, tume huru bandia ya uchaguzi, utangazaji wa Rais na wabunge ambao hawakuchaguliwa na wananchi, na kisha mauaji ya kiharamia ya Maelfu ya Watanganyika, vyote vimefanyika chini ya Serikali ya CCM.
Ushetani huu wote...
Kuna video fulani nimeona uko instagram limenipa maswali kweli
Mwanajeshi ana simama kuimba nyimbo ya kumsifia rais na kumfurahisha kweli 🤣🤣🤣 hizi ni dharau hata jeshi la Burundi haliwezi kufanya upumbavu wa namna hii
Katika nchi hii tunahitaji revolution kwa aina yeyote ile kuondoa hawa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.