ccm

Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
  1. M

    JamiiForums Tanzania Chato: Jesca Magufuli hana ushawishi. Maandamano yamejaa greenguard wa CCM wenye njaa

    Watu wapo busy stand ya zamani wanapiga soga kwenye vijiwe vya kahawa na kile kijiwe maarufu cha mafundi viatu. Hawana habari na maandamano ya Jesca na CCM iliyojaa greenguard waliovaa buti zilizopauka Kwa ujumla hana ushawaishi na hawezi kuisaidia CCM
  2. Fbn

    JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM bwana

    Hivi kuzunguka kwa waziri mkuu nchi nzima kutatua kero ina maanisha idara zote zimeshindwa na yeye kajivika majukumu yote.
  3. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Awamu ya sita imevunja record ya kufuturisha inaonekana ni Sehemu ya ilani ya CCM

    Hello. Aisee nimejaribu kufuatiliia namn̈a viongozi wa serikali wanavyoshindana kufuturisha. Kasi imekuwa kubwa utadhani ni sehemu.ya utekelezaji wa ilani ya chama. Siyo samia siyo mwinyi na mawaziri kila mmoja anapambana kuonyesha ufundi wa kufuturisha.
  4. S

    JamiiForums Tanzania Waziri mkuu aagiza kiongozi wa CCM aliyetajwa kwenye mgogoro wa ardhi akikutwa na hatia avuliwe madaraka, siyo chama cha kunyang'anya

    Akiwa katika yake Nsimbo, Katavi Waziri Mkuu amepokea malalamiko ya mwananchi aliyedhulumiwa eneo lake na kumtaja kiongozi mmoja wapo wa CCM kuhusika katika mchakato huo ambapo Waziri Mkuu ameagiza kiongozi huyo achnguzwe na akibainika ameshiriki avuliwe uongozi. Amesema chama hicho siyo cha...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Pamoja na tofauti zetu, ikitokea Trump kasema anakuja Tz kufanya alichofanya Venezuela au Iran watanzania wengi tutaungana kumpinga

    Tunaweza kuwa na tofauti zetu lakini kuna mstari ukivukwa lazima utauona umoja wa watanzania hata wanaotofautiana Trump akithubutu kutuletea mambo yake aliyofanya Vendezuela na sasa Iran, atajutia uamuzi huo maana sio kwa aibu atayopata. Tanzania, Tanzania! Nakupenda kwa moyo wote Nchi yangu...
  6. haszu

    JamiiForums Tanzania Serikali ya CCM huu mtandao wa Discord umewafanya nini?

    Kuna training nimejiunga na wana Discord channel, cha ajabu eti imefungiwa Tanzania Sasa mbona mmezidi wadau? Kwa kweli sijapenda na nimechukia sana
  7. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Mahakama yawaachilia huru vijana watatu walioshitakiwa kwa kuchoma ofisi za CCM Kivule, lakini warudishwa gerezani kwa mashtaka ya uhaini

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam leo, Alhamisi Machi 12.2026 imewaachia huru vijana watatu (3) waliokuwa wanakabiliwa na shtaka moja la uchomaji wa Ofisi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Kivule -Majohe, Wilaya ya Ilala. Soma Pia: Watuhumiwa watano Kivule wapatikana na kesi ya uchomaji...
  8. tpaul

    JamiiForums Tanzania CCM wameanza kusuluhisha matatizo ya ndoa

    Hatimaye chama kikongwe, sikivu na kinachotatua matatizo ya wananchi kwa wakati, wameanza kutoa huduma ya kutatua matatizo ya ndoa. Kama mke wako anakunyima unyumba, mchumba wako anakunyanyasa, hujaolewa au umeachika, usikate tamaa....CCM watakusaidia tatizo lako ndani ya muda mfupi...
  9. Q

    JamiiForums Tanzania Rugemeleza: We told the UN Representatives, that CCM and its government, under Samia, are behind the 29th of October 2025 Massacre

    We categorically told the UN Secretary General 's Envoy, Parfait Onanga-Anyanga, that CCM and its government, under Samia, are behind the 29th of October 2025 Massacre. They used the Police and other armed outfits to kill unarmed protesters demanding free and fair elections. That was not an...
  10. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Vibaraka wanaisambaratisha nchi lakini CCM wapo bize na CHADEMA

    Wakati vibaraka wa mabeberu wanasaini mikataba ya hovyo hovyo inayowatia hasara watanzania na Tanzania, chama kinachoongoza nchi Kiko bize kuishambulia CHADEMA. Wakati mabilioni ya fedha za umma yanaibwa ama na watumishi wa umma au watu binafsi, CCM iko bize kupambana na BAWACHA. Tanzania...
  11. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania CCM na Serikali yake sikivu inapendwa mno na watanzania wote

    Kuthibitisha hilo, fuatilia ziara za waziri mkuu Dr.Mwigulu Nchemba na utagundua mapenzi ya dhati ya mamilioni ya waTanazania kwa chama, serikali na viongozi wake. Watu wanajaa mno na hawajali jua wala mvua. Ni mapenzi na imani ya kiwango cha juu sana kwa chama na serikali sikivu ya CCM. Lakini...
  12. Yoda

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ondoeni timu uwanjani tu, ndoto ya demokrasia Tanzania haifikiki bila CCM kugawanyika kutokea ndani

    Nimechukua muda kutafakari historia za kisiasa za Venezuela, Iran, Russia, China n.k pamoja na kuangalia Hali ya kisiasa ya dunia kwa sasa, ukweli mchungu ni kwamba katika nchi yetu ni vigumu sana upinzani halisi kama wa CHADEMA kupambana na kuishinda CCM na kuweza kuleta demokrasia. Ukweli ni...
  13. M

    JamiiForums Tanzania CCM Geita imechanganyikiwa? Madiwani walimkataa Manunga kuwa mwenyekiti wa Halmashauri . Leo hii mnafukuza uanachama huku mlilazimisha awe mqenyekiti?

    Alishindwa na Diwani Kapembe. Mkalazimiha awe Mwenyekiti. leo Mmefukuza uanachama
  14. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania BAWACHA wangeachwa wafanye kongamano lao wasingetrend kama sasa. CCM akili hamna

    GT Sijui mentor wa maCCM ni nani? Mnazidiwa akili na chadema yenye rasilimali watu wachache Chadema walijua kabisa mkiwazua kufanya Tamasha lao ndo watapata airtime zaidi huko duniani na mtego huo mmeshindwa kunasua. Kama mgepiga kimya wakajifanyia Tamasha lao hakuna mtu angekaa kufuatilia...
  15. Inside10

    JamiiForums Tanzania TANZIA Diwani Wa CCM Kata Ya Mzimuni Manispaa Ya Kinondoni Afariki Dunia

    Diwani wa CCM Kata ya Mzimuni katika Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni, Mheshimiwa Manufred C. Lyoto amefariki dunia leo Machi 7, 2026 Taarifa za kifo chake zimetolewa na Mwenyekiti wa CCM Kata ya Mzimini, Abdalah M. Ally, ambaye pia ametoa pole kwa wanachama wa CCM pamoja na wananchi wote...
  16. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Vita ya mashariki ya kati, imewapa ahueni CCM

    Kwa sasa waliokufa mo29 hawana mtetezi tena, kwasasa watu wamehama kabisa, wengiwao kwasasa wanawatetea watoto wa shule wa iran na kiongozi wao alieuliwa. Kila muandishi wa habari kawa mchambuzi wa vita, na raia wote kwa sasa wamebebwa na upepo. Nawashauri ccm hii nafasi ya kupumua walioipata...
  17. K

    JamiiForums Tanzania CCM haiwezi kukubaliwa na watanzania kwa kuzuia vyama wengine!

    CCM haiwezi kukubaliwa na watanzania kwa kuzuia vyama wengine!. Yaani kuzuia Chadema kufanya mikutano yao haina maana hao watu na wanachama wao kesho watashangilia au kuhamia CCM. Huwezi kufanikiwa kwa lolote kwa kumzuia mwenzako badala yake fanya mazuri yako. Sasa sera ya CCM ni kuzuia...
  18. W

    JamiiForums Tanzania Lissu akihoji bungeni kuhusu wanajeshi kuteuliwa na kuwania nafasi za Uongozi kupitia CCM

    Maneno ya Tundu Lissu bungeni Jun 19, 2015 wanajeshi wanapewa vyeo serikali na Jaji Augustino Ramadhani kuandaliwa kuwa Rais wa awamu ya tano. Pia Soma Special Thread Kumbukizi: TBT za kauli za wanasiasa zilizobamba na kuzua gumzo kwenye medani za kisiasa
  19. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Mafwele awanoa polisi Kata Dar es salaam. Majibu yamepatikana

    Dalili kuu ya mtu mwehu au kichaa ni kuwa mwepesi kuamini. Sisi wahubiri wa Injili tunalijua hili. Ukiita wanaotaka kumpa Yesu maisha yao waje mbele Matahira walioko Karibu lazima waje. Kesho uwanja huo huo wakija wasabato wakiita watu mbele wale wale Matahira lazima wapite mbele. Keshokutwa...
  20. W

    JamiiForums Tanzania Watuhumiwa watano Kivule wapatikana na kesi ya uchomaji wa Ofisi za CCM uchaguzi wa Oktoba 29

    Wakili Maduhu William ameeleza kuwa kuna mashauri mawili yanayowahusu watuhumiwa watano, ambapo katika shauri la uchomaji wa ofisi za Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kivule, watuhumiwa wamepatikana na kesi ya kujibu. Aidha, katika shauri jingine la wizi kwa kuvunja na kuiba, kesi imeshindwa kuendelea...
Back
Top Bottom