Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
Chama cha CCM kimeharibika wahuni wamekivamia na wananchi wamekikataa lazima tutakifuta.
Kama kina waharifu na wananchi wamekikataa hakitaweza kusalia kwa muda mrefu kitafutwa sio kwamba mimi nimesema bali kitafutwa kwasababu ya rushwa, uongo, mauwaji na utekaji nyara ili kusafisha nchi upya.
Mbunge wa Mtama (CCM), Nape Nnauye ametahadharisha kuwa bila kusimamia utu, Chama cha Mapinduzi (CCM) inaweza kuondoka madarakani hivyo akaonya wanachama ndani ya chama hicho wasione aibu kusimamia utu.
Nape aliyewahi kuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa...
Baadhi ya waandishi wa habari mkoani Iringa wamepata ajali ya gari leo Februari 5, 2026, wakati wakirejea kutoka kwenye sherehe za Maadhimisho ya Miaka 49 ya Kuzaliwa kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM), yaliyofanyika kimkoa katika Kata ya Idodi, Halmashauri ya Wilaya ya Iringa.
Kwa mujibu wa taarifa...
Chama cha Mapinduzi kinaadhimisha miaka 49 tangu kilipoanzishwa Februari 5, 1977 baada ya kuunganishwa vyama vya TANU iliyokuwa Tanganyika na ASP iliyokuwa Zanzibar. Kwa hiyo CCM ni zilezile TANU na ASP zilizopambana wakati wa ukoloni.
Ni miongoni mwa vyama vikongwe vya ukombozi barani Afrika...
Habari za uhakika kuna waliokuwa Chadema wakaenda Chauma sasa wanaomba kwenda CCM kupumzika huko maana Chauma hakuna kilichobaki kwao.
Hali si nzuri kifedha maana zile pesa ambazo walikuwa wanapewa that time zilishasitishwa na chama kimekuwa hakina tena mvuto na wao hawana namna ya kuishi tena...
Zawadi kubwa ya kuwapa ilikua kuwapa Miili ya Wapendwa wao wakaizike au Kurudisha Uhai wa Wapendwa wao.
Nyumba , gari au Mali havitafuta yaliyotoke Oct 29
Leo mtatiro anawaamisha watumishi walio kuwa na shida ya ubadhifu na matumizi mabaya ya MADARAKA alafu mtatiro anaamua kama jitu la CCM na sio Cuf?
Hivi Mtatiro Ujui ukifa UTAKUTANA maelf self?Ujui kama lipumba yupo Alie kujenga?kweli ccm imekubadili akili?
Naumia sana WIZI ULIO kuwepo...
Hizi lugha za CCM kwamba watu wasizungumzie yaliyotokea 29Oktoba lengo lake ni nini hasa?
Mbona CCM wapo bize kuonesha kuwa yaliyotokea 29Oktoba ni mambo madogo sana na yanayotakiwa kusahauliwa Kwa haraka?
Kwa nini CCM inajifanya kuongea kwa niaba ya wahanga. Jee wamesahau ushauri wa Askofu...
Wanabodi,
Makala yangu kwenye gazeti la Mwananchi la leo,
Utangulizi:
Bandiko hili ni bandiko la manifestation ya Katiba mpya, japo hata mchakato wa Katiba mpya bado haujaanza, bandito linatoa pongezi kwa Katiba mpya ya Samia!, hii ni kufuatia kushindikana kwa mchakato wa Katiba mpya ya...
John Heche, Makamu Mwenyekiti wa Chama (Bara), ameshiriki mazishi ya Mama Robahi Samson yaliyofanyika leo tarehe 3 Februari 2026 katika Kata ya Sirari, Kijiji cha Buriba Sirari wilayani Tarime Mkoa wa Mara.
Marehemu ni mama mzazi wa kada wa CCM, Sinda Geteba, aliyetekwa.
Sindar Ghiteba, ambaye...
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Katavi, Iddi Kimanta, amewataka vijana nchini kuwa na uchungu wa kukilinda na kukitetea chama hicho, huku akionya dhidi ya tabia ya kubeza au kuwasema vibaya viongozi waliopitishwa na vikao halali.
Akizungumza leo, Februari 3, 2026, katika...
Wakati Tume ya Kuchunguza Uvunjifu wa Amani kabla na baada ya uchaguzi Mkuu ikiendelea kukamilisha kazi yake ya miezi mitatu, picha inayojionyesha kwa sasa, CCM ina machaguo mawili tu, ama kuiendesha nchi kidikteta au kukubali kuachilia mabavu yake na kuwapa nafasi wapinzani.
Kuna kila dalili...
Mashirika ya Ujasusi ya Mataifa ya Rwanda, Kenya, Marekani na Uingereza sasa yanapambana kuyafanya Mataifa yao kama maeneo ya msingi ya kukamata Uchumi wa kikanda na Kidunia.
Kwenye vyombo mbalimbali vya habari sasahivi, habari zinazotrend ni namna wakuu wa mashirika ya kujasusi ya Mataifa ya...
Mbunge wa zamani katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Munde Tambwe amefariki Dunia Usiku wa kuamkia leo baada ya kuugua kwa kipindi sasa.
Katika uhai wake, marehemu Munde alikuwa mbunge wa viti maalum kutokea mkoa wa Tabora.
“CCM inakerwa sana na Ufisadi, ubadhilifu wa mali za umma, na inachukia uonevu wa watu”Mjumbe Wa Halmashauri Kuu Ya CCM Taifa NEC Mkoa Wa Mbeya Mwaselela Ndele.
Video: Mbali TV
Jee maamuzi ya kuhusu dhahabu yetu yapo chini ya maamuzi ya wanasiasa wa CCM au benki kuu?
Jee ni waziri wa fedha anayeamua ni kiasi cha akiba ya dhahabu tunachotakiwa kuwa nacho ama Gavana wa Benki kuu?
Jee waziri wa fedha akisema dhahabu iuzwe Gavana wa Benki Kuu anaweza kuzuia ama Gavana wa...
Unaposema mnyama fulani ana akili sana maana yake ni kwamba mnyama huyo ana uwezo wa kutunza kumbukumbu ipasavyo. Kinyume chake pia ni kweli.
Hii pia iko applicable kwa watu. Kama huna kumbukumbu basi wewe ni tahira.
Kuna watu si Matahira ila hujifanya matabira kwa makusudi.
Magufuli ndiye...
Ahadi za ujenzi wa miundombinu ya kisasa zilikuwa sehemu kubwa ya kampeni za uchaguzi za Chama Cha Mapinduzi (CCM) na hata sasa hazina inatakwa kuuzwa ili kujenga miundombinu, pengine wanadhamira ya kukuza uchumi, kuboresha huduma za kijamii na kurahisisha usafiri na mawasiliano. Miradi kama...
Tafiteni historian mzuri, actually awe historian wa chama. Aweke rekodi madhubuti ya madhura mnayopitia.
Kwa.mfsno, mna.list ya watu waliouawa na ccm / serikali wakipigania uhuru wa TANGANYIKA?
2. Matendo ya ukatili mliopitia
3. Historia ya chaguzi mlizopitia
4. Kufungwa jela mlikopitia
5. Etc...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.