Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndicho chama tawala nchini Tanzania na chama cha pili kwa muda mrefu zaidi barani Afrika, baada ya Chama cha True Whig cha Liberia. Kilianzishwa mwaka 1977, baada ya kuunganishwa kwa Tanganyika African National Union (TANU) na Afro-Shirazi Party (ASP) cha Zanzibar.
Eneo la wazi la Biafra Kinondoni limebeba kumbukumbu na historia ya makuzi ya watu wengi kwa miongo kadhaa. Wengi wetu tumelikuta kama sehemu ya michezo, mikutano ya kijamii na hata sehemu iliyounganisha jamii ya Kinondoni kwa namna tofauti tofauti. Ndiyo maana eneo hilo halikuwa tu ardhi ya...
Anonymous
Thread
biafra pamegwa
ccm
kinondoni
mfanyabiashara
showroom
uwanja wa biafra
Amehudumu katika nafasi moja tangu mwaka 2013(miaka 13!). Amefanya kazi chini ya marais watatu bila kuondolewa kwenye kiti chake au hata kunyooshewa kidole na mtawala yeyote wakati wowote.
Wote wameipenda na kuridhishwa na kazi yake Jaji Francis Mutungi, msajili wa vyama vya siasa!
Katibu wa Siasa na Uenezi CCM, Wilaya ya Njombe, Hitler Msolla amesema hayo Mei 12, 2026 wakati wa ziara ya kikazi katika Kata ya Mjimwema, alipokuwa akizungumza na viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa kata hiyo huku akiwakumbusha Viongozi umuhimu wa kulipia kadi zao za chama na kufanya...
Akiwa kwenye mahojiano na Podcast ya MS, Nape Nauye Mbunge wa Mtama anaelez kuwa yeye ni muumini wa CCM imara inahitaji upinzani imara na kama upinzani utakuwa dhaifu basi italeta shida kwa CCM.
Nape anaeleza pia kuwa anamkumbuka sana na kutamani uwepo wa Zitto bungeni.
Hitler Msolla Katibu wa Siasa na Uenezi CCM Njombe, amesema hayo Mei 12, 2026 wakati wa ziara ya kikazi katika Kata ya Mjimwema, alipokuwa akizungumza na viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa kata hiyo huku akiwakumbusha Viongozi umuhimu wa kulipia kadi zao za chama na kufanya vikao vya...
Habari .
Kwanini wabunge watanzania wanachangia hoja pasipo kuwa wafuatiliaji wa mambo.
Leo nimeona mbunge mmoja anaongea kuhusiana na hela ya kumuona Daktari (consultation fees)
Hii ni fedha muongozo wake ulipitishwa bungeni na wabunge wakakubali.
Kingine hela ya kumuona Daktari haingii...
Leo Bungeni ni Mkwilima wake ndio ameutangazia umma kuwa Watanzania hasa Watanganyika kuwa wana stress na msongo wa mawazo.
Kwamba wameshadata.
Utaaje kudata kudata wakati wewe huwezi kupata milo hata miwili?
Rais na familia yake na hata wakwe zake wanafaidi keki ya taifa? Hii nchi ni mali ya...
Ukosefu wa ajira kwa vijana amabo ni GenZ hawa ndo wanafanya ccm wanalala macho wazi pamoja na vitisho vyote lakini vijana wa Ge-z waliweza kutoka nje October 29 bila kuogopa. Kwa mbegu iliyopandwa October 29 wasifikiri Gen Z wamekubali yaishe pamoja na kuona wenzao wanapigwa risasi marafi...
CCM mtandao waonyesha sura zao halisi kwenye ujenzi wa refinery Tanga.
CCM mtandao kwa mara nyingine tena wameonyesha nani hasa ni adui wa maendeleo ya nchi ya Tanzania baada ya kupinga mradi wa billionea Aliko Dangote wa kujenga kiwanda kikubwa cha kusafisha mafuta takribani mapipa 650, 000...
Hii ikimaanisha,
kamwe haiwezekani CCM kushindwa uchaguzi wowote itakaoshiriki hasa kwenye nafasi za kitaifa, na wala kamwe haiwezekani uongozi wake kupinduliwa na vibaraka wa ndani au nje ya CCM yenyewe. Ni mfumo imara na madhubuti sana wa kiutawala wa milele. Na ndio maana mpaka leo hakuna...
Walimu wengi wanaishi maisha magumu sana.
Nyumba za shida na mazingira ya kufundishia ya shida na tabu tupu.
Inakuwaje chama kupewa uraia imekuwa kipaumbele kuliko maendeleo ya walimu?
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi amevunja ukimya kuhusu mazungumzo yanayoendelea baina ya chama chake na ACT Wazalendo kuhusu Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK).
Mara kadhaa viongozi wa ACT Wazalendo ndiyo wamekuwa wakizungumza kuhusu mazungumzo...
Yaani itakuwa kupanda cheo jeshini, usalama, polisi ni lazima uwe kada na uteuzi utafuata makada kwanza ndiyo tunapoenda.
Hii ni kwasababu CCM imeishiwa njia nyingine zote za kushindani kwa hoja na kupambana na demokrasia
Huo ndio ukweli wenyewe. Hapo Mwanza zilitembe risasi mithiri ya watu wapo Vietnam.
Ghana, kilimahewa, Ilemela na maeneo yote ya Mwanza yalichafuka. Mijegejo ilimiminwa kama vile watu wapo Vietnam.
CHADEMA nendeni Mwanza mkawape pole wananchi wa Mwanza. Mueleze ukweli tofauti na tume ya Jaji...
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Arusha, Saipulan Ramsey, amefunguka kuelekea mkutano wa chama cha Chadema amesema kwamba Godbless Lema ni mkuu wa masoko wa CCM
Soma Pia: Godbless Lema: Watu wa Ikulu walipiga simu wanaomba watu wa CHADEMA isaidie...
Waungwana kuna jambo haliko sawa kabisa, kwa sasa magari sio lazima yaende tena stand ya Magufuli, yameruhusiwa kila basi kuwa na stand au ofisi yake popote inapojisikia.
Ile stand ilitengenezwa kwa pesa zetu za kodi nyingi sana, haya maamuzi kwa mimi binafsi sikubaliani nayo kabisa ! Namna hii...
CCM haiwezi kulala, Rais wa nchi asingekuwa anakaa kwenye vikao vya kawaida vya shina kusikiliza wanachama. Chama kinatuma ujumbe mkubwa kwa wanaodhani chama kimepoteza mwelekeo.
Katiba ya sasa ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 haikutungwa na wananchi. Ilitungwa na kamati maalumu ya wanaCCM hawakuzidi hata watu ishirini.
Ndio maana inawafanya CCM kudhurumu uchaguzi na kukaa madaraknai kwa nguvu. Katiba inasababisha kuwa tume ya uchaguzi isiwe huru
Leo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.