canada

  1. K

    JamiiForums Tanzania Lema mjue anamfahamu Wenje mpaka familia huko Canada!!! ni snitch!

    Lema mjue anamfahamu Wenje mpaka familia yake huko Canada!!! ni snitch mkubwa Canada mwongo na mpenda pesa za deal. Hata jumuia ya watanzania ambako kuna familia ya Lema na Wenje hawataki kumsikia!. Hakuna anayeshangaza kila mtu anajua alikuwa dalali lakini hawakutana kumfukuza ingawa alikuwa...
  2. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Waislamu waziba barabara Canada wakishinikiza Palestina iachwe huru, watu wahoji kwanini wasiende kuandamana huko uarabuni

    Nchi nyingi za Magharibi kwa miaka mingi zimekuwa zikikariwa na jamii ya watu wa Dini ya kikristo, Nazungumzia Amerika Kaskazini, Amerika Kusini na Ulaya. Lakini hivi karibuni kumekuwa na ongezeko la waarabu kutoka Mashariki ya Kati na Waafrika ambao upeleka tamaduni zao katika nchi hizo na...
  3. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ubalozi wa Canada Tanzania, watahadharisha raia wake kuhusu Oktoba 28 na 29

    Ubalozi unaamini kitawaka kwa hiyo wanawaambia raia wake wachukue tahadhari waepuke misongamano
  4. Il Padrino

    JamiiForums Tanzania Canada, UK and Australia say they recognize a Palestinian state as part of efforts to pile pressure on Israel over Gaza

    Here’s what that recognition typically symbolizes: 1. Legitimacy of Palestinian Statehood It signals that these countries formally acknowledge Palestine as a state (not just as a “territory” or “authority”). This boosts the international legitimacy of Palestinian claims to sovereignty. 2...
  5. S

    JamiiForums Tanzania GE2025 Katibu mkuu chama Makini: Waandishi wa habari watafanyiwa semina Canada

    Kituko hiki kimezungumzwa na mgombea mwenza wa Chama cha Demokrasia Makini. Haya ni matokeo ya kuachia masuala ya siasa mikononi mwa wajinga. Katibu Mkuu wa Chama cha Maarifa, Kilimo na Nishati (Makini), Ameir Hassan Ameir, amesema endapo wananchi watamchagua mgombea wa urais wa chama hicho...
  6. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania Marufuku ya Makonda kwenda US, UK, Australia & Canada

    Kwa ile ban ya kutoingia US ni wazi sasa Mheshimiwa Mbunge na Waziri (Mtarajiwa) analazimika kuishia Zanzibar na Juba kutekeleza majukumu yake ya WIZARA YA MAMBO YA NJE.
  7. Ritz

    JamiiForums Tanzania Baada washirika wake UK, Germany, Italy, Australia, Canada kumwambia Netanyahu usipomaliza vita Sept tutalitambua taifa la Palestina akubali kumaliza

    Wanaukumbi. Baada ya washirika wake wa Ulaya, Uingereza, Ujerumani. Ufaransa. Canada, kuwaambia Israel kuwa watalitambua taifa la Palestina Netanyahu kaufyata na majigambo yake kuwa atapambana na Hamas hata kama watakuwa peke yao sasa amekubali kumaliza vita vya Gaza. Waziri Mkuu wa Israel...
  8. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Jambo TV wamechapisha taarifa inayosema 'Lema atumia jina la Lissu na CHADEMA kutafuta misaada Canada

  9. C

    JamiiForums Tanzania Pata Mkopo wa Kusoma USA na Canada

    Habari Kwa wale wanaohitaji kwenda kusoma USA na Canada kuanzia Masters na Kuendelea Unaweza kutimiza ndoto zako kwa kupata mkopo kupitia Taasisi za kimataifa zinazotoa mikopo No collateral No Cosigner Unaweza apply via this link https://app.mpowerfinancing.com/?ref_code=azizjxiz Best...
  10. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania GE2025 James Mbowe: Aliyemuahidi kumtafutia fedha Lissu yupo Canada na familia yake anabonyeza simu tu

    Aliyekuwa Kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), James Mbowe akizungumza kuhusu uamuzi wake wa kuhama chama na kuhamia Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) ambapo pia amezungumzia Godbless Lema.
  11. The Zanzibar Echo

    JamiiForums Tanzania Trump aihurumia canada kwa kutaka kulitambua taifa la Palestine

    Trump ansema itakua vigumu kufanya makubaliano ya kibiashara na na canada baada ya waziri Mkuu wa canada kusema Mark Carney anapanga kulitambua taifa la Palestin ifikapo September
  12. R

    JamiiForums Tanzania Canada kuitambua Taifa la Palestina Mwezi Septemba

    Canada imetangaza kuwa inapanga kuitambua rasmi Palestina kama taifa katika mkutano wa Umoja wa Mataifa mwezi Septemba, alieleza Waziri Mkuu Mark Carney, hatua inayoongeza shinikizo kwa Israel wakati njaa ikizidi kuenea Gaza Tangazo hili linakuja baada ya Ufaransa kusema wiki iliyopita kuwa...
  13. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo amuaga Waziri wa Maendeleo ya Kimataifa wa Canada baada ya kumaliza ziara ya kikazi nchini

    Waziri Kombo amuaga Waziri wa Maendeleo ya Kimataifa wa Canada baada ya kumaliza ziara ya kikazi nchini Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb), ameagana na Waziri wa Maendeleo ya Kimataifa wa Canada Mhe. Randeep Sarai katika Uwanja wa...
  14. hungary

    JamiiForums Tanzania Nataka kwenda ujerumani, Canada au Australia katika hizo nchi moja wapo

    Habari wakuu ... Elimu yang diploma ya afya ..... Mpango ni kujiendeleza kielimu au kufanya kazi Uzi tayari
  15. Ritz

    JamiiForums Tanzania UK, France & Canada leaders: We strongly oppose expansion of israel's military operations in gaza

    Wanaukumbi. Tunapinga vikali upanuzi wa operesheni za kijeshi za Israel huko Gaza. Kiwango cha mateso ya binadamu huko Gaza hakivumiliki. Tangazo la jana kwamba Israel itaruhusu kiasi cha msingi cha chakula katika Gaza halitoshi kabisa. Tunatoa wito kwa Serikali ya Israel kusitisha operesheni...
  16. Komando kipen

    JamiiForums Tanzania Taratibu za kupata kazi canada

    Wakuu za asubuhi naomba mwenye maelezo mazuri namuna ya kupata kazi canada anisaidie nimesoma course ya afya Tz
  17. kizeze

    JamiiForums Tanzania Pata mkopo wa 75% wa kusoma Canada

    Kampuni ya Chenga Ed.Tech inakupatia mkopo wa asilimia 75 ya kusoma nchini Canada 75%Student Loan(No Guarantor or Collateral) 1. Financial Aid 2. Part Time Job 3. Guaranteed Job Placement 4. Permanent Residency 5. Frexible Loab Repayment Contact Number :+1(647)785-6491 or +255 657 783 083...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Canada: Watu 11 wauawa katika sherehe za Lapu Lapu

    27 Aprili 2025 Vancouer, Canada https://m.youtube.com/watch?v=KzeegXPn-OU Watu waliokuwa katika sherehe za siku ya Lapu Lapu tarehe 26 Aprili 2025 katika mtaa moja wa mji wa Vancouver Canada waliuawa kwa kugongwa na gari la SUV kwa makusudi. Police wa Vancouver wamesema mshukiwa wa shambulio...
  19. E

    JamiiForums Tanzania Marekani na canada waungana na saudia na india

    Marekani na Kanada waungana na India, Saudi Arabia, Cuba, Misri, Kenya, Pakistan, na Oman huku Brazil ikisitisha safari za bila visa – Hatua mpya za kukuza utalii na usalama: Mambo mapya unayopaswa kujua Brazil imetangaza kusitisha rasmi safari za bila visa kwa raia wa mataifa mbalimbali ikiwa...
  20. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Baada ya Canada kulipiza Kwa kuweka ushuru wa 25% kwenye Umeme , Trump kaongeza Ushuru kutoka 25% Hadi 50% Kwa Chuma na Aluminum ya Canada

    Na Mwamba ndo kwanza anazidi kutoa Onyo!! Inawezekana kwa Trump, Dunia yote ikapigishwa Magoti.
Back
Top Bottom