canada

  1. Sir John Deere

    JamiiForums Tanzania Nchi 32 za Ulaya, Marekani na Canada (NATO), Australia, Japan na Korea wanapambana na Urusi

    Russia apewe maua yake mpaka sasa kaonesha ni mwanaume zaidi ya mara 1. Unapigana na Ulaya yote, US na Canada lakini bado hajatetereka zaidi anatoa ONYO kuwa yajayo hayatawafurahisha NATO. Nadhani sasa umefika wakati wa nchi za Africa na zile zisizofungamana na upande wowote kumuunga mkono...
  2. HaMachiach

    JamiiForums Tanzania Nataka kuhamia Canada nikaishi huko naomba ushauri

    Habari wanajukwaa. Nimeamua mwakani mimi na familia yangu mke na watoto wawili tunatarajia kuhamishia maisha yetu Nchi ya Canada. Nina kiasi Cha shilingi 50M ambacho nimeweka kwajili ya kutusaidia tutakapo fika huko kujipanga kimaisha. Kwa sasa ninafuatilia visa ubalozini maana huwa...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Ule Moto wa nyika wa migomo Marekani, wapindukia Canada!

    1. Uliokuwa moto wa nyika Marekani; sasa unawaka ndani ya Canada! 2. Kwamba kinachoendelea ni udhwalimu? Kwani hata inahitaji lipii kuliona au kulitambua hilo? 3. Tangu lini jumuiya ya wanafunzi popote duniani waliwahi kuwa upande usio sahihi? 4. Tangu lini zile "bongo bora" kabisa...
  4. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Canada alitaka kujichanganya kwa Vladimir Putin

    Justin Trudeau ambaye ni Waziri Mkuu wa Canada anaonekana akimpiga au kumgusa gusa Rais wa Russia kifuani jambo lililopelekea Bodyguard au mlinzi wa Vladimir Putin kusogea Karibu kuchunguza hilo tukio na kutaka kuchukua hatua za kiulinzi dhidi ya waziri mkuu wa Canada, ila kwa ishara ya siri ya...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Hongera Lema kwa kuiacha familia yako Canada maana Arusha sasa iko moto

    Arusha iko moto kama Mamelodi Sundowns, winga Gambo winga Makonda mshambuliaji mzee Sabaya. Kwa kweli nakushauri Lema rudi Canada ukale hela za bure huko, we unawaambia watu ubunge sio kazi kwako halafu hapo hapo unatangaza kugombea tena kama sio uchizi ni nini. Unawaambia watu huwezi kwenda...
  6. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Canada Yaishtaki Precision Air Mahakama Kuu ya Uingereza Juu ya Madeni ambayo hayajalipwa

    Kampuni ya Export Development Canada (EDC) imefungua kesi Mahakama Kuu ya Uingereza, ikilishtaki Shirika la Ndege la Precision kudai Dola26 milioni za Marekani (Sh65 bilioni) zilizotokana na makubaliano kwenye mauziano na ukopeshaji wa ndege. Kwa mujibu wa vyanzo vya taarifa hiyo, mwishoni mwa...
  7. BIG STONE AND CONER STONE

    JamiiForums Tanzania Nataka Kuhamia Canada

    Kwa ufupi tu Nataka kwenda Kuanzisha Makazi huko Canada. Kwa Anayejua Gharama za Maisha huko pls toa tips, Nyumba za kuishi bei zake wapi pako poa , wapi eneo kwenye Amani kwa black kuishi, gharama za chakula. Pia Nawezaje Kuanzisha duka huko hata languo I'li niasiache asili yangu...
  8. MK254

    JamiiForums Tanzania Muarubaini wa magaidi ya Houthi wabuniwa na haya mataifa US, Bahrain, Canada, France, Italy, Netherlands, Norway, Seychelles, na Spain

    Haya mataifa yameungana kubuni mbinu za kupambana na hayo magaidi yenye mlengo wa kidini...... MANAMA, Bahrain — The US and a host of other nations are creating a new force to protect ships transiting the Red Sea that have come under attack by drones and ballistic missiles fired from...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta chuo kinachofundisha Aircraft Mechanical Engineering Canada

    Wadau mnaendeleaje, Kijana wangu anapenda ,course ya Aircraft Eng, nilipenda kozi aisomee nje ya nchi hasa canada, Je kuna mtu yeyote anafahamu vyuo vinavyo toa kozi hii na gharama zake ikiwezekana. Asanteni
  10. B

    JamiiForums Tanzania Cyprian Kachwele wa Azam FC atua Vancouver Whitecaps FC Canada

    24 November 2023 Vancouver, Canada Mshambuliaji hatari wa Azam FC, Cyprian Kachwele umri miaka 18 amesainiwa katika klabu ya Vancouver Whitecaps FC Taarifa ya klabu hiyo ya Canada inayoshiriki katika ligi ya Major League Soccer ya Marekani ya Kaskazini kupitia kocha mkuu Ricardo Clark...
  11. Ex Spy

    JamiiForums Tanzania The BIT between Tanzania and Canada does not provide fair terms. Tanzania has to stand its ground and terminate it

    What are Bilateral investment treaties (BITs) These are agreements between two countries that aim to promote and protect foreign direct investment (FDI)of the investors. BITs typically include provisions on fair and equitable treatment, (FET), National Treatment (NT), Most Favoured Nation...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kupata barua ya mwaliko Canada na Ulaya

    Wakuu mambo vipi? Naomba msaada wa kupata barua ya Mwaliko ya kwenda nchi za Ulaya hasa Canada, Finland au Denmark. Namaanisha sina mtu wa kunialika ila nataka nitapate invitation. Inawezekana kupata ya Mchongo. Nataka nifanye safari kwenye moja kati ya hizo nchi kwa visa ya muda mfupu
  13. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Canada azomewa msikitini, aambiwa "huna haya"!

    Hali inazidi kuwa mbaya kwa wafuasi wa iblis Wakati wa ziara yake ya kutembelea msikiti mjini Toronto, Waziri Mkuu wa Canada amezomewa na hadhirina kotokana na msimamo wake kuhusu mauajii yanayoendelea kufanywa na utawala haramu wa Israel dhidi ya raia wa Ukanda wa Gaza huko Palestina ambako...
  14. Tawire

    JamiiForums Tanzania Kuna Mtanzania anafanya kazi Canada?

    Kama kuna Mtanzania anayefanya kazi Canada, tafadhali naomba tuwasiliane, kuna moja na mbili za huko naomba kufahamishwa.
  15. S

    JamiiForums Tanzania Kununua bonds Canada au United States

    Fuatia kichwa cha habari hapo juu, nataka kujua kuna uwezekano Mtanzania aiishie hapa TZ anaweza kununua bonds za nchi kama Canada au United States? Kama kuna mtu mwenye ufahamu, naomba atujuze nasi tuwekeze kwa wenzetu wageni wanavyowekeza katika nyanja mbalimbali hapa kwetu.
  16. PakiJinja

    JamiiForums Tanzania Mzozo kati ya Canada na India una zidi kukua huku mahusiano kati yao yakizidi kuzorota huku kila upande ukifukuza Wanadiplomasia na kunyima Visa raia

    Kuna mzozo unaendelea kati ya Canada na India. Mzozo huu ulianza baada ya kiongozi wa Sikh, Hardeep Singh Nijjar, kuuawa mnamo Juni 2023 huko British Columbia. Waziri Mkuu wa Canada, Justin Trudeau, alitangaza kuwa kuna ushahidi wa kuaminika kwamba mawakala wa serikali ya India walihusika na...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Kuongezeka kwa mvutano kati ya India na Canada kunaonyesha unafiki wa Marekani wa wenzi unaojali faida

    Mwezi Juni mwaka huu, kiongozi maarufu wa jamii ya Masingasinga Hardeep Singh Nijjar ambaye pia ni raia wa Canada, aliuliwa kwa kupigwa risasi nchini humo. Hivi karibuni, Canada imeituhumu India kuhusika na mauaji hayo, na kumfukuza nchini humo balozi wa India. Katika kujibu hatua hiyo, India...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Kuhamishwa kwa Wamisai Ngorongoro, tumechelewa lakini tumpongeze Rais Samia. Tujifunze Canada na tusahihishe

    Ni muda muafaka wa kumpongeza Rais Samia kwa kuwahamisha Wamasai na wakazi wengine ndani ya hifadhi ya Ngorongoro kulingana na maamuzi kama hayo yaliyowahi kufanyika Canada na Marekani. Tarehe 20 ya mwezi wa 7 kila mwaka nchini Canada wanasherehea ' National Park Day" sherehe ambayo Wacanada...
  19. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Request for Proposals at Colleges and Institutes Canada (CICan)

    Request for proposals Survey of best practices for the success of women in technical and vocational short courses Bids are to be returned by email to info@tz.collegesinstitutes.ca by September 15, 2023. Contact for queries on the RFQ: Email: info@tz.collegesinstitutes.ca Subject Line: ESP...
  20. PakiJinja

    JamiiForums Tanzania FURSA: Canada imetoa Visa maalum kwa wachomelea vyuma, Mafundi bomba na Maselemala

    Serikali ya Canada imekaribisha maombi ya Visa maalum kwa mafundi mchundo, sorry I mean kwa wateknolojia katika fani ya welding, plumbing na carpentry. Vijana hii ni fursa ambayo hampaswi kuiacha ipite. Maisha ni malengo. Kila la heri. Dr Matola PhD unaona nilichokua nachangia kule kwenye uzi...
Back
Top Bottom