Bora kuwa huru ukiendesha bodaboda Tanzania kuliko kuwa mfagia vyoo wa Canada

Kuna watu wanakimbilia nchi za ughaibuni wakifika huko ndio wazoa takataka majalalani waosha vyombo migahawani wazibua vyoo vya wazungu hafu wakija huku wanawaletea dharau watanzania wenza...

Haya ni maoni yako na una haki ya kusikilizwa bila kubezwa, maana hata Malawi ujafika, leave alone Canada, kwa hiyo unatakiwa kuchukuliwa tu hivyo hivyo.
 
Kuna watu wanakimbilia nchi za ughaibuni wakifika huko ndio wazoa takataka majalalani waosha vyombo migahawani wazibua vyoo vya wazungu hafu wakija huku wanawaletea dharau watanzania wenzao

Lema kwa kazi ya kufugwa na wazungu ni bora ungebaki bongo uwe chawa wa wazungu
Unatumia username ngumu nikajua una akili.
 
Kuna watu wanakimbilia nchi za ughaibuni wakifika huko ndio wazoa takataka majalalani waosha vyombo migahawani wazibua vyoo vya wazungu hafu wakija huku wanawaletea dharau watanzania wenzao

Lema kwa kazi ya kufugwa na wazungu ni bora ungebaki bongo uwe chawa wa wazungu
Picha mkuu, tuwekee mapichapicha na video jinsi wanavyofanya kazi za kusafisha vyoo na kuosha mavyombo!!
 
Kuna watu wanakimbilia nchi za ughaibuni wakifika huko ndio wazoa takataka majalalani waosha vyombo migahawani wazibua vyoo vya wazungu hafu wakija huku wanawaletea dharau watanzania wenzao

Lema kwa kazi ya kufugwa na wazungu ni bora ungebaki bongo uwe chawa wa wazungu
Ccm ijawai kuwa na akili ?
Tokea humu jukwaani unaongea ugoro sana.

Kazi ya kusafisha choo unalipwa usd 70 kwa saa sawa na 160000 tsh.

Hiyo boda boda anaipata kwa kisu.
 
Kuna watu wanakimbilia nchi za ughaibuni wakifika huko ndio wazoa takataka majalalani waosha vyombo migahawani wazibua vyoo vya wazungu hafu wakija huku wanawaletea dharau watanzania wenzao

Lema kwa kazi ya kufugwa na wazungu ni bora ungebaki bongo uwe chawa wa wazungu

Hakuna mtu anafanya kazi ya bodaboda Kwa mapenzi yake

Wengi wao ni hakuna kitu kingine cha kufanya
 
Huyo mfagia vyoo wa Canada anatengeneza hata mara 10 ya mshahara wa mfanyakazi wa serikali ya Samia.
Mfano kwa US mtu asiye mvivu hawezi kosa 100 kwa siku
Kwa mwezi hakosi 2000 ambazo ni sawa na 4.7mil

Na hapo amefanya kazi kwa siku 20 pekee

Akitoa matumizi yote hawezi kosa 1 mil cash

Kibongo bongo wachache sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom