caf

Confederation of African Football (CAF) is The administrative and controlling body for African association football, futsal, and beach soccer. It represents the national football associations of Africa and organizes major continental tournaments, including the Africa Cup of Nations (AFCON), the CAF Champions League, and the CAF Confederation Cup.
  1. P

    JamiiForums Tanzania Unadhani ni timu gani imeonesha udhaifu kwenye hatua ya robo fainali mashindano ya CAF champion league mwaka huu?

    Robo robo FC/jaribu tena FC naona ndiyo imekuwa timu dhaifu kuliko zote zilizopata nafasi ya kuingiza hatua ya robo fainali. Wameshindwa kutumia uwanja wa nyumbani vizuri tena kuanzia mwanzo wa mchezo dk ya 5 TU ikamaliza mchezo. Hii ni dharau kwenye soka letu haiwezekani timu itoke mbali huko...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Tanzania hatuna team ya kuingia semi final ya caf champions league, acheni hype

    direct to the point, simba na yanga are very small teams in Africa to qualify for the semi - finals. you need 1: experience 2. quality players 3. luck 4. money 5. leadership 6. fans 7.great manager 8. good facilities tunahitaji atleast 10 years ya kucheza quarter finals to reach the finals. 5...
  3. Kichuguu

    JamiiForums Tanzania Round ya Kwanza Robo Fainali ya CAF Championship

    CAF Championship mwaka huu inaonekana kuwa ngumu sana. Mpaka sasa bado mchezo baina ya ES Tunis na ASEC Mimosas bado unaendelea na bado hawajafungana; nitakuja kuhariri post hii baada ya mchezo huo kuisha. Katika timu sita ambazo zimeshamaliza round ya kwanza ya robo fainali ni timu moja tu...
  4. THE FIRST BORN

    JamiiForums Tanzania CAF kama mmeweza kutumia Picha ya Mandela kwa upande wa Mamelodi kwanini Msingeweka picha ya Nyerere upande wa Yanga?

    Hii Picha kwanini wasingemweka na nyerere? Najua kuna watu mtaniona kama nimewehuka ila mjue hizi issue ndio hua zinafanya wamchukulie poa Nyerere kabisa. Nyerere kafanya makubwa Mengi kwa Afrika ila hua hatambuliwi hadi hapa unaona kabisa..wameona huyo Askari ndie mkubwa Nchini kuliko...
  5. Suley2019

    JamiiForums Tanzania FT: Yanga SC 0-0 Mamelodi Sundowns | CAF CL | Mkapa Stadium | 30/03/2023

    Match Day 1st Leg. Robo fainali Yanga vs Mamelodi Muda ni Saa 3 Usiku. Kuwa hapa nami kwa update za kabla na wakati wa mchezo Kikosi cha Yanga Kikosi cha Mamelodi Sundowns Mchezo umeanza 10' Mchezo bado una Kasi ndogo, timu zinasomana 20' Wageni wanamiliki mpira muda mwingi lakini Yanga...
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Napendekeza Kikosi cha Simba SC dhidi ya Al Ahly FC Ijumaa kiwe hiki, wewe je, chako ni kipi?

    1. Ayub Lakred 2. Shomary Kapombe 3. Mohammed Hussein Tshabalala 4. Che Malone Fondo 5. Henock Inonga 6. Babacar Mtu Chuma 7. Kibu Denis Kiboko ya Djigui Diarra 8. Fabrice GENTAMYCINE Ngoma 9. Saido Ntibanzokinza 10. Clatous Chama 11. Luis Jose Miquissone Haya nawe Shuka na Chako hapa kwani...
  7. Camilo Cienfuegos

    JamiiForums Tanzania CAF Champions League: Tupia utabiri wako wa weekend hii

    Simba 1-0 Al Ahly Yanga 1-2 Masandawana TP Mazembe 0-0 Petro de Luanda Esperance 2-0 Asec Twende kazi tupia wa kwako…
  8. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Mechi ya Simba vs Al Ahly kuangukia Ijumaa Kuu ya Pasaka ina maana kubwa sana kiroho

    Ijumaa hii ya 29/03, Simba anacheza na Al Ahly ya Misri katika mechi ya kwanza ya robo fainali ya CAFCL. Ijumaa hiyo hiyo ni mwanzo wa maadhimisho ya kufa na kufufuka kwa Yesu Kristo. Kuna mfanano mkubwa kati ya sikukuu ya Wayahudi inayoitwa Passover na sikukuu ya Wakristo ya Pasaka. Sitaenda...
  9. NALIA NGWENA

    JamiiForums Tanzania TFF yajitenga na kauli ya Ndumbaro, yatoa hakikisho la usalama kwa timu zitakazokuja kwa ajili ya CAFCL na hakutakuwa na Ubaguzi kama ilivyodaiwa

    Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limesema hakuna shabiki atakayedaiwa pasipoti wakati anaingia uwanjani katika mchezo wa robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya Yanga na Mamelodi Sundowns. TFF imesisitiza kuwa michezo haisimamiwi na idara ya uhamiaji, hivyo imewatoa hofu wachezaji...
  10. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Jinsi tuzo ya CAF ya timu bora ya karne waliyopewa Al Ahly ilivyozua mgogoro mkubwa

    Hivi umewahi kujiuliza ni kwa vigezo gani CAF waliitangaza Al Ahly kuwa ni timu bora ya karne ya 20? Wengi mnadhani ni kwa kubeba makombe mengi kuliko timu nyingine yoyote lakini siyo kweli. Karne ya 20 iliisha 31/12/2000. Katika mafanikio ya Al Ahly hadi kufikia tarehe hiyo, katika mashindano...
  11. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kulipa Tsh. Milioni 10 kwa kila Goli la CAF

    Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Damas Ndumbaro, amesema hatua ya robo fainali ya michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika Goli la Mama limepanda kiwango kutoka Tsh. Milioni 5 hatua ya makundi hadi milioni 10 katika hatua ya robo fainali. Pia soma: Rais Samia kununua kila goli Tsh. Milioni...
  12. Lamzettttt

    JamiiForums Tanzania Napendekeza Yanga kukata Rufaa juu ya droo yao ya CAF

    Salaam Wakuu... mimi kama mwana yanga kindaki ndaki napendekeza yanga ikate rufaa kuhusu droo ya caf... sababu ni ugumu wa timu tuliopewa ukilinganisha na kikosi chetu. Hili linakuja baada ya kuonena timu ya mamelod sundown ikiwa inafanya mazoezi kwa namna ya kipekee... kama i. Kupiga...
  13. U

    JamiiForums Tanzania Fitina na Uhuni behind draw za CAF, tukomae tu

    Hizi draw za CAF Huwa tayari zinakuwa zishapangwa huko nje, hapo wanakuja kutimiza ratiba. Michuano hii huwaga na fitina nyingi sana, kuanzia Kwa marefa, mapokezi, uchezeshaji wa draw na fitina ya kuhonga timu pinzani Ili wakubwa wapite kirahisi. Sasa ni wakati wa watanzania kujikomaza...
  14. vvvv

    JamiiForums Tanzania Mechi za CAF jukumu la ulinzi uwanjani nani anahusika? Simba ikanushe hizi tuhuma

    Naomba kufahamu,hii michezo ya CAF inayoendelea siku ya mechi jukumu la ulinzi ni la CAF,TFF au timu husika? Maana mechi ya Simba na Jwaneng Galaxy kile kilichofanyika kinashusha hadhi mpira wetu kwenye ramani ya Africa, kuna mtu alijitokeza upande wa Jwaneng alikuwa anafanya mambo ya kijadi...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Kanuni za CAF zinatoa unfair competition, hivyo sioni uhalali wa kulnganisha timu mbalimbali za hapa Afrika

    Kanuni za CAF zinaItumika katika michezo mbalimbali inayosimamiwa na CAF, huwa naziina haziko fair na hivyo zinaondia uhalali wa kuziweka timu katika mizani moja. Mbali na Kanuni mbalimbali zilizopo, kilichonisukuma zaidi kuandika huu uzi ni baada ya leo kuelezwa kuwa timu ambazo ni mabingwa...
  16. Gordian Anduru

    JamiiForums Tanzania CAF yathibitisha tarehe ya draw ya hatua ya mtoano ni Jumanne March, 12 mwaka 2024

    Tarehe ya drop Iko hapo chini Mwaka 1969 ilikuwa ni mara ya kwanza Tanzania kupeleka timu Moja robo fainali ya klabu bingwa ambapo Yanga Afrika waliiwakilishw nchi. Mwaka huu 2024 ni mara ya kwanza Tanzania kupeleka timu mbili mbazo ni Yanga Tena na watani zao Simba.
  17. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Matokeo bora zaidi Hatua ya Makundi ya CAF Champions League

    Kumbe hapo zamani Uto alishawahi pigwa 6-0 kwenye hatua ya makundi ?
  18. Majok majok

    JamiiForums Tanzania Pacome Zouzou achaguliwa kuwa mchezaji bora hatua ya makundi CAF champions league

    Mwamba pacome zouzou amechaguliwa kuwa mchezaji Bora na caf hatua ya makundi iliyotamatika hivi karibuni! Pacome kawamwaga wenzake baada ya kuwa na rating kubwa ya (7.99) kuliko wenzake kwenye Kila mechi ambapo ameonekana kuwa hatari kwenye match zote alizocheza! Amafuatiwa na mostapha shobeir...
  19. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Hongera sana Rais Samia kwa kupeleka timu mbili CAF

    Kwa kweli ni juhudi kubwa sana ya Rais Samia na anastahili pongezi kubwa kwa kuziwezesha Simba na Yanga zote kuingia Fainali katika mashindano haya makubwa ya Vilabu. Tena wameingia kwa kishindo kwa kuzichabanga teams pinzani magoli ya kutosha. Hizi zote ni juhudi za Serikali ya CCM katika...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Rekodi za CAF: Yanga ndio timu iliyofuzu kwa pointi chache zaidi, Simba

    Hizi ndio rekodi za CAF msimu huu Mamelodi ndio timu iliyofuzu kwa pointi nyingi zaidi, 13 Yanga ndio iliyofuzu kwa pointi kiduchu zaidi , 8 Simba ndio timu iliyoshinda kwa ushindi mnono zaidi, 6-0 Lakini hii haina maana kuwa Yanga haitosonga, inaweza kuwa kama Ivory Coast
Back
Top Bottom