caf

Confederation of African Football (CAF) is The administrative and controlling body for African association football, futsal, and beach soccer. It represents the national football associations of Africa and organizes major continental tournaments, including the Africa Cup of Nations (AFCON), the CAF Champions League, and the CAF Confederation Cup.
  1. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU kuchunguza kuhusika kwa Rais wa TFF kwenye ubadhilifu wa fedha CAF

    Taasisi ya kuzuia na Kupambana na Rushwa TAKUKURU imefanya mawasilino na Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF), ili kuchunguza ushiriki wa Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) Wallace Karia katika kashfa ya ubadhilifu wa fedha iliyomuweka hatiani aliyekua Rais wa CAF Ahmad Ahmad. Kamati...
  2. Shadida Salum

    JamiiForums Tanzania CAF yatangaza tarehe mpya ya fainali za CHAN

    Timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars ilikua na kibarua kizito cha kupindua matokeo dhidi ya timu ya Taifa ya Sudan baada ya kupoteza nyumbani bao 1-0 katika mchezo wa kwanza wa kufuzu fainali za CHAN uliochezwa tarehe 22 Septemba 2019. Licha ya kupoteza nyumbani katika mchezo wa marudiano...
Back
Top Bottom