caf

Confederation of African Football (CAF) is The administrative and controlling body for African association football, futsal, and beach soccer. It represents the national football associations of Africa and organizes major continental tournaments, including the Africa Cup of Nations (AFCON), the CAF Champions League, and the CAF Confederation Cup.
  1. kavulata

    JamiiForums Tanzania Simba wajiandae kupewa kadi nyingi sana CAF confederation

    Wachezaji Wana viwango vidogo lakini wanataka matokeo makubwa, hii inawalazimisha kuwaparamia wapimzani kitu kitakachowasababishia kupewa kadi nyingi zitakazowadhoofisha kwenye mashindano.
  2. Kichwa Kichafu

    JamiiForums Tanzania Natamani Young Africans Achukue CAF Champions League Na Simba SC Achukue CAF Confederation Cup 24/25

    Habari wapenzi wa soccer. Young Africans yupo kwenye mashindano makubwa ya CAF Champions League 2024/2025 na Simba Sc yupo kwenye mashindano ya CAF Confederation Cup 2024/2025. Natamani kila mmoja ashinde kwenye mashindano ambayo yupo yaani Young Africans awe bingwa wa CAF Champions League...
  3. Ubaya Ubwela

    JamiiForums Tanzania CAF wazuia uwanja wa Amaan Complex kutumika kwenye mchezo wa Yanga SC wa klabu bingwa barani Afrika

    CAF wazuia uwanja wa Amaan Complex kutumika kwenye mchezo wa Yanga SC wa klabu bingwa barani Afrika. "Moja kati ya vigezo vya uwanja sio tu sehemu ya kuchezea au ubora ila ni pamoja na umbali wa viti kutoka kimoja hadi kingine, kwa uwanja wa Amaan umekosa ivyo vigezo uwanja kama wa Azam Complex...
  4. Labani og

    JamiiForums Tanzania Taifa stars Yanga waitwa 7 Simba wachezaji wa 3

    Kikosi cha wachezaji wa Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) kitakachoingia kambini kujiandaa na mechi mbili za kufuzu kushiriki michuano ya mataifa Afrika (AFCON 2025). Ally Salim(Simba SC) GK Aboutwalb Mshery (Yanga) GK Yona Amos (Pamba SC) GK Lusajo Mwaikenda (Azam FC) Nathaniel Chilambo...
  5. Labani og

    JamiiForums Tanzania Wafahamu Wachezaji hatari wa Al Ahli Tripoli, Simba hawatoboi

    WACHEZAJI wa kimataifa wa Al Ahli Tripoli [emoji116][emoji91] 1. Mabululu (Angola [emoji1029]) 2. Herelinson (Angola [emoji1029]) 3. Ayoub (Tunisia [emoji1249]) 4. Mourad (Tunisia [emoji1249]) 5. Samer Jondi (Palestine [emoji1193]) 6. Manzi (Rwanda [emoji1206]) 7. Isac Mintah (Ghana...
  6. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo mahesabu CAF - 5 Year Ranking itakavyokuwa endapo Simba na Yanga zitaishia nafasi ya tatu makundi

    Kwa mujibu wa Caf 5 year ranking system, kwa sasa Simba ikiwa nafasi ya 7 na Yanga nafasi ya 13 kutokanq na alama walizovuna miaka mitano iliyopita, hivi ndivyo hesabu ya jumla ya alama zitakavyokuwa kwa vilabu hivi viwili endapo zote zitaishia nafasi ya tatu makundi. Coefficient ya mwaka...
  7. kavulata

    JamiiForums Tanzania Yanga kwenda kucheza CAF champions Zanzibar, JKU na UHAMIAJI wamekataa kuchezea Zanzibar, Kuna nini?

    Timu za JKU na UHAMIAJI ni timu za Zanzibar kindaki ndaki kuliko Yanga. Hatukuelezwa kwanini JKU na UHAMIAJI hawakutaka mechi zao za mashindano ya CAF wachezee Zanzibar, lakini Yanga wanataka kwenda kucheza CAF championship mzunguuko wa pili Zanzibar. Kuna nini hasa hapo? Ufafanuzi...
  8. SankaraBoukaka

    JamiiForums Tanzania Kama una angalau "F" inakupasa kujua kuwa Yanga SC haitokutana na TP Mazembe, Raja wala Belouizdad wakifika makundi

    Kama una angalau "F" inakupasa kujua kuwa Yanga SC haitokutana na TP Mazembe, Raja Casablanca wala CR Belouizdad wakifika makundi msimu wa huu 2024/25 kwenye CAF Champions League. Na mechi za makundi msimu huu zitafanyika kuanzia October mpaka December tofauti na miaka iliyopita ambapo ilikuwa...
  9. Vincenzo Jr

    JamiiForums Tanzania FT: CAFCL | Yanga SC 6-0 Vital'O | (Agg: 10-0)Preliminary Stage 2nd Leg | Azam Complex | 24.08.2024

    🔰𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇𝐃𝐀𝐘🔰 🏆 #CAFCL ⚽️ Young Africans SC🆚Vital’O FC 📆 24.08.2024 🏟 Azam Complex 🕖 19:00 #TheClubAboveAll #DaimaMbeleNyumaMwiko Kikosi kinachoanza dhidi ya Vital’O FC #CAFCL #GoliLaMama #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko Mpira umeanza Dakika ya 1 0-0 Dakika ya 2 Kibabage anachezewa...
  10. BRN

    JamiiForums Tanzania Simba Queens waendelea kushusha vichapo CECAFA Women waichapa Kawempe Muslim goli 3-0

    Hii timu hii inagawa tu doze huko Ethiopia kwenye mashindano ya CECAFA Women. Zilianza 5,leo 3. Kila la kheri na hongereni kwa kuipeperusha vema Nembo ya Simba. Soma Pia:Full Time: Simba Queens 5-0 Fad Djibouti | 2024 CAF Women's Champions League - CECAFA Qualifiers
  11. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Kocha wa Uhamiaji afichua yaliyojiicha kwenda kucheza mechi zote Libya

    Kocha Mkuu wa Uhamiaji Ali Bakari amefunguka yote timu yake kwenda kucheza michezo yote miwili dhidi ya Al Ahli Tripoli huku nchini Libya kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho Barani Afrika. Katika mchezo wao wa mkondo wa kwanza Uhamiaji walikubali kichapo cha magoli mawili kwa sifuri kutoka kwa...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Full Time: Simba Queens 5-0 Fad Djibouti | 2024 CAF Women's Champions League - CECAFA Qualifiers

    Timu zinazoshiriki kutafuta nafasi kushiriki ya Michuano ya Mabingwa Ya Afrika Kwa Wanawake Kuwakilisha nchi wanachama wa CECAFA ni : Commercial Bank of Ethiopia (Ethiopia) Kenya Police Bullets (Kenya) Yei Joint FC (South Sudan) Simba Queens (Tanzania) PVP Buyenzi (Burundi) Kawempe...
  13. kavulata

    JamiiForums Tanzania Goli la Mama lingeazia hatua ya makundi mashindano ya CAF

    Ni vigumu kumshawishi mtu kuwa Simba, Azam, Yanga na Coastal wamefanya usajili msimu huu sio kwaajili ya kucheza na Tabora United kwenye ligi, kwakuwa nafasi zao walizoshika kwenye NBC league walijua mapema kwamba watakwenda kushiriki mashindano ya CAF 2024/25. Namchukia kupita kiasi...
  14. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Ali Kamwe: Mashindano ya CAF, hatua hizi za awali tunapeleka ujumbe kwa Vilabu vinavyopewa nafasi ya kuwa Mabingwa

    Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga amesema Kupitia mashindano ya CAF, hatua hizi za awali, kuna ujumbe wata upeleka kwa wale ambao wanapewa nafasi kubwa ya kutwaa ubingwa wa AFRIKA. Watatuma ujumbe ndani ya Uwanja na nje ya Uwanja. Nje ya Uwanja tulituma ujumbe msimu uliopita kwa kujaza...
  15. BabuKijiko

    JamiiForums Tanzania Full Time: JKU 0-6 Pyramids | CAF Champions |Preliminary Stage 1st Leg | 18.08.2024

    Full Time: JKU 0-6 Pyramids | CAF Champions |Preliminary Stage 1st Leg | Azam Complex | 18.08.2024 8' 0 - 1 Mayele F. 14' 0 - 2 El Karti W. 26' 0 - 3 Mohanad Lasheen 32' 0 - 4 Adel I. 2nd Half ' 0 - 5 Mohanad Lasheen 88' 0 - 6 Zalaka M.
  16. M

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa timu kuanzia round ya awali halafu zingine zinasubiri round ya pili ni wa hovyoo sana

    Nadhani CAF inatakiwa kufanya review katika baadhi ya mambo yake . Hii ni taswira ya kibaguzi. Pia na suala la timu kubwa kuanzia ugenini nao huu ni utaratibu wa hovyoo sana.
  17. B

    JamiiForums Tanzania Mashindano ya African Football League (AFL )hakuna mwaka huu?

    Mbona mashindano yaliyojizolea umaarufu Africa yajulikanayo kama African Football League (AFL )hayatangazwi mpaka sasa? Inamaana baada yakumuonesha mwaka jana msimu huu wamefuta ?
  18. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Zakazakazi: Wanasimba njooni Chamazi Jumapili tulipe kisasi kwa APR

    Hakuna kitu kilichowahi kuniumiza moyo kama nilipomuona mnyamwezi mwanzangu Ismal Aden Rage akilia kama mtoto baada ya KUTENDWA na APR. Kwa kweli huu ni mkasa ambao wana simba wanabidi waujue na waje kwa wingi Chamazi kuungana na sisi kumlipia kisasi gwiji wao huyo. Ilikuwa mwaka 2012 baada ya...
  19. ngara23

    JamiiForums Tanzania Simba hizo rank za CAF hazina uhalisia wa timu kwa sasa, viongozi wanazitumia kuwapumbaza

    Hii team Hakika Rage alikuwa nabii kuwaita mbumbumbu Matatizo ya team Yao hawayaoni, hawahoji chochote eanajidanganya eti ni team namba 6 Africa 😆 Simba wanadanganywa na nafasi waliopanda kwa Africa nafasi waliyoipata kipindi kina Miquison wapo katika ubora wao. Tofauti kati ya Simba na pamba...
  20. Ubaya Ubwela

    JamiiForums Tanzania Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limetoa Orodha mpya ya Vilabu Bora Afrika kuelekea msimu mpya 2024/25

    SHIRIKISHO la Soka Afrika (CAF) limetoa Orodha mpya ya Vilabu Bora Afrika kuelekea msimu mpya 2024/25 . 1. Al Ahly (Egypt) – 87 points 2. Esperance (Tunisia) – 61 points 3. Wydad AC (Morocco) – 60 points 4. Mamelodi Sundowns (South Africa) – 54 points 5. Zamalek (Egypt) – 48 points 6. RS Berkane...
Back
Top Bottom