Confederation of African Football (CAF) is The administrative and controlling body for African association football, futsal, and beach soccer. It represents the national football associations of Africa and organizes major continental tournaments, including the Africa Cup of Nations (AFCON), the CAF Champions League, and the CAF Confederation Cup.
Mamelodi sundowns Vs TP Mazembe
⏰ 10 kamili jioni
🏟 Lucas Moripe Stadium
📺 Azam sports 2HD
Kikosi cha mamelodi sundowns
Kikosi cha tp mazembe
Mpira umeanza
Dakika ya 5
0-0
Dakika ya 15
0-0
Dakika ya 22
Tp mazembe wanapata kona
Dakika ya 27
0-0
Dakika ya 30
0-0
Dakika 36
Mamelodi...
𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇𝐃𝐀𝐘🔰
🏆 #CAFCL
⚽️ Al Ahly FC🆚Young Africans SC
📆 01.03.2024
🏟 Cairo International
🕖 6PM🇪🇬 7PM🇹🇿
TimuYaWananchi
DaimaMbeleNyumaMwiko
Karibu katika mechi ya sita na ya mwisho ya makundi ligi ya mabingwa Africa ungana nami katika Uzi huu kwa update za mechi hii
Kila la kheri Yanga SC...
Mimi kama shabiki wa Soka na mfuatiliaji wa Ligi ya NBC, nimefurahi yanga kufuzu lakini na Simba Ina chance ya kufuzu 50/50.
Kwa uwelewa wangu timu sita tayari zimeingia robo fainali, ikiwemo mamelod na Yanga na Al ahly. Ukiangalia Kwa upande wa Yanga timu ambayo inaweza kumsumbua robo fainali...
Hivi hamjamuona mtangulizi wenu Simba mara nyingi kupita kwake hadi game za mwisho ndo majibu hupatikana
Iweje wewe uliebezwa mwaka jana upo katika mashindano rahisi uje uwabamize hao wakubwa kwa vichapo vya aibu na udhalilishaji (Hadi kusababisha mtafaruku kati ya kocha na wachezaji) na...
Niliwai kusema kwamba viongozi wa Simba na wanachama wao walikuwa wamebaki kutambia mafanikio ya mechi za kimataifa misimu 4 iliyopita huku wakiibeza yanga ambayo ilikuwa inajitafuta!
Nilisema yanga ataanza kutawala ndani na kitachofata ni kutawala nje na ndicho kinachotokea kwa sasa!
Simba...
MUHIMU - Kila timu inapewa pesa ya nafasi iliyofikia na sio kila hatua, ikiwa timu itaomba pesa za usafiri, malazi, vyakula, n.k. Mashindano yakiisha watalipwa kiasi kilichobakia baada ya kutoa fedha walizopewa.
US$ 1 = shilingi 2,545 Tshs
BINGWA:
US$ 4 million
Shilingi bilioni 10 na milioni...
🔰𝐍𝐄𝐗𝐓 𝐔𝐏🔰
🏆 #CAFCL
⚽️ Young Africans SC🆚CR Belouizdad
📆 24.02.2024
🏟 Benjamin Mkapa
🕖 1:00 Usiku
Kikosi kinachoanza dhidi ya CR Belouizdad
Mpira umeanza
Dakika ya 1
Dakika ya 5
0-0
Dakika ya 10
Musonda anakosa goli la wazi
Yanga SC wanapata Kona
Dakika ya 11
Lomalisa anapewa kadi ya...
Wawakilishi wa Tanzania, Simba watakuwa dimbani wakisaka ushindi
Ijumaa, Saa 4:00 usiku, Mnyama Simba SC atakuwa ugenini kuwavaa Asec Mimosas
Dondosha maoni na utabiri wako kuhusu mchezo huu
Kikosi cha Simba SC kinachoanza leo
Kikosi cha Asec Mimosas kinachoanza leo
Mchezo umeanza
Dakika...
Huu ndio utabiri wangu simba na yanga wote watasare michezo yao, kulingana na wapinzani wanaocheza nao nimetizama kwa jicho la kiufundi sion hata mmoja wao akichukua alama zote tatu.
Asec vs simba 0 - 0ft
Yanga vs belouzdad 1 - 1 ft
Kocha wa timu ya Taifa stars amesimamishwa na CAF kusimamia mechi 8 za timu yake.
Swali ni nani alikasirishwa zaidi na maneno ya kocha dhidi ya Timu ya Morocco kati ya TFF, Morocco na CAF? ni nani alilalamika? Maana Kuna siku Yanga pekee TU ilipewa adhabu na CAF kwa makosa ya kumulika vItochi...
Shirikisho la soka barani Afrika CAF limemfungia mechi nane Kocha wa timu ya Taifa ya Tanzania Adel Amrouche kwasababu ya shutuma zake alizozitoa dhidi ya Morocco
Adhabu hiyo ulitolewa jana na Kamati ya Nidhamu ya CAF baada ya malalamiko yaliyowasilishwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu la...
Ahmed Ally wa Simba amekuwa akijiita Semaji la CAF. Taarifa hizo siyo za kweli, pichani chini Veron Mosengo Omba ndiye msemaji wa shirikisho la soka barani Africa CAF, Kwa Mujibu wa katiba ya shirikisho hilo Katibu mkuu yaani General Secretary ndiye msemaji wa taasisi
Pia nimekuta pahala...
Huu unaweza kuwa uzi wangu wa mwisho kwa mwaka 2023 na nataka nimalize mwaka kwa ujumbe chanya. Wenye akili zao watausoma na yale watakayoona ni mazuri wataenda kuyafanyia kazi.
Yanga na Simba bado wako kwenye mbio za kufuzu kwenda katika robo fainali ya klabu bingwa ya Afrika. Yanga hajacheza...
Timu ya Taifa ya Zanzibar maarufu kwa jina la Zanzibar Heroes imebeba bango lenye logo ya CAF likiwa na ujumbe huu;
"Zanzibar should be restored as the 55th member state. Its time now to take us seriously" ~ "Zanzibar inapaswa kurudishwa kama mwanachama wa 55. Ni wakati sasa wa kutuchukua kwa...
Baada ya ripoti ya FIFA kutoka kuhusiana na ushiriki wa Simba katika Kombe la Dunia la Vilabu 2025, kumezuka malumbano mbalimbali. Kuna upande umekuwa unasema Simba hawezi kwenda kushirki mashindano yale bila kuchukua Ubingwa wa Klabu Bingwa Africa msimu huu na kwa mtazamo wao ana nafasi sawa na...
Nimeweka uzi huu kuwakumbusha wana Yanga kuwa ule muda wa kucheka umekwisha marabaada ya kupata ushindi kwa mara ya kwanza ktk hatua ya makundi ya klabu bingwa barani Africa ndani ya miaka 88 toka kuanzishwa kwa klabu hiyo.
Vituo vinavyofuata ni Al Ahly na CR Belouizdad ambao bila ya shaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.