Mamelod sundowns vs TP Mazembe | CAF CL | Lucas Moripe stadium | 02.03.2024

Vincenzo Jr

JF-Expert Member
Sep 23, 2020
12,139
25,412
Mamelodi sundowns Vs TP Mazembe
⏰ 10 kamili jioni
🏟 Lucas Moripe Stadium
📺 Azam sports 2HD

Kikosi cha mamelodi sundowns
20240302_160649.jpg

Kikosi cha tp mazembe
20240302_172002.jpg

Mpira umeanza
Dakika ya 5
0-0

Dakika ya 15
0-0

Dakika ya 22
Tp mazembe wanapata kona

Dakika ya 27
0-0

Dakika ya 30
0-0

Dakika 36
Mamelodi wanapata penati
Shalulile anaenda kupiga gooooal amepata mamelodi sundowns 1-0Tp mazembe

Dakika ya 45 +2
Halftime



20240302_173043.jpg

Kipindi cha pili kimeanza
Dakika 50
Mamelodi sundowns 1-0 Tp mazembe
 
Tayari ipo nyingine mtani..naona unawashabikia ba mutu ba kongo ba kulokota benyewe mu mayi...
 
Back
Top Bottom