caf

Confederation of African Football (CAF) is The administrative and controlling body for African association football, futsal, and beach soccer. It represents the national football associations of Africa and organizes major continental tournaments, including the Africa Cup of Nations (AFCON), the CAF Champions League, and the CAF Confederation Cup.
  1. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Leo yanga watajuta kuwashitaki waamuzi CAF.

    Waamuzi hawapendi sana kukosolewa na kushitakiwa. Alifanya hivyo sana Mourinho Chelsea sema alikuwa na kikosi bora sana na alizikabili hujuma. Ila Yanga leo watajua hawajui
  2. J

    JamiiForums Tanzania Ina maana Caf hawajui logo ya Yanga au ni dharau?

    Ukicheki club nyingine kama Simba, Wydad, Mamelodi, Mazembe, Al Ahlyna nyinginez majina yao yameandikwa huku pembeni yake kuna logo isipokuwa Yanga na vitimu vingine vidogo Najiuliza ni kuwa hawaifahamu logo ya Yanga au ni dharau? Maana Yanga imecheza fainali ya Shirikisho na kuvaa medali...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mkeka wa CAF kwa vilabu Afrika: Kuna timu kama Medeama hata utafute kwa tochi hutaziona

    ORODHA ya Vilabu Bora Afrika 2023 (CAF Club Ranking) Rank za caf ngazi ya vilabuCAF rankings,Vilabu 20 bora afrika 2023,Nafasi ya Simba Afrika 2023Nafasi ya yanga afrika 2023,Yanga ranking in Africa 2023,Vilabu kumi bora africa,CAF club points,Rank za caf ngazi ya vilabu,CAF club points,CAF...
  4. E

    JamiiForums Tanzania FT: ASEC Mimosas 3-0 Galaxy | CAF CL | 19.12.2023

    Game inachezwa mda huu wana Simba ombeni Mungu galaxy afungwe vyenginvyo bado itakua mupo ktk nafas mbaya.
  5. Suley2019

    JamiiForums Tanzania FT: Simba 2-0 Wydad | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 19.12.2023

    leo tarehe 19.12.2023 Mnyama anashuka Dimbani kuzisaka alama tatu za kwanza za hatua ya makundi ya Wydada Casablanca. Mechi hizi zitachezwa saa 10:00 jioni. Nini maoni yako kuhusu mchezo huu? Ungana nami katika uzi huu ambao nitakuletea kila kitakachojiri kabla na wakati wa mchezo. Kikosi...
  6. Gordian Anduru

    JamiiForums Tanzania Kufuzu Quarter Final Caf Cl: tofauti 10 kundi la Simba na Yanga

    1. Anayeongoza kundi la Simba ana point 7 iliSimba amfikie anahitaji mechi mbali wakati anayeongoza kundi la Yanga ana point 5 the Kumfikia ni mechi Moja tu 2.Simba ana mechi na Wydad wakati Yanga ana mechi na Medeama Kwa Mkapa. Wydad. Mgumu kuliko Medeama. 3.Simba ana mechi Ghana ambako Wydad...
  7. aka2030

    JamiiForums Tanzania Hili ndio Kundi gumu CAF

  8. Vincenzo Jr

    JamiiForums Tanzania Kwanini timu za Tanzania zote mbili zinashika mkia kwenye makundi Yao ya CAF champions league

    Embu tujadili shida iko wapi kwa klabu zetu za Tanzania kushindwa kufanya vyema kwenye hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Barani Afrika?🤔 Wote wanashika mkia kwenye makundi yao wakiwa na pointi 2 tu.
  9. Uwesutanzania

    JamiiForums Tanzania Hamjambo nyie vijana wa CAF Champion League

    Simba sc na pacha wake Young African SC Ninyi ni timu bora na kongwe kwa Tanzania. Zinauwekezaji mkubwa na mashabiki wengi kwa Tanzania kuliko timu yoyote ile. Wote mumeingia makundi kwa pamoja na wote matokeo yenu yanafanana. Ninyi ni MAPACHA HASWA. Mmecheza michezo 3 Mkatoa sare 2 na...
  10. Suley2019

    JamiiForums Tanzania FT: Madeama 1-1 Yanga | CAFCL | Baba Yara Sport Stadium | 08.12.2023

    Mechi za hatua ya Makundi za Ligi ya Mabingwa Afrika kuendelea tena leo tarehe 08.07.2023 Yanga kutoka katika kundi D watakuwa ugenini kumenyana na Madeama ya nchini Ghana. Mechi hii itachezwa kuanzia saa 1:00 jioni katika uwanja wa Baba Yara nchini Ghana. Je, wawakilishi hawa wa Tanzania...
  11. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Tuzo za CAF: Kocha wa Simba apenya, Yanga yatupwa

    Mshika remote wa vichwa vya fans wa Yanga tunaomba uwaset Uto wajadili bila jazba na matusi
  12. E

    JamiiForums Tanzania Asec Momosas 0 -0 Wydad CAF Champions League | 02-12-2023

    Game imeanza kuchezwaa mda huu.
  13. Malaika wa Misukosuko

    JamiiForums Tanzania Mechi za CAF Kesho: Yanga ataifunga Al Ahly na Simba atatoa Sare dhidi ya Jwaneng Galaxy, Na Tp mazembe atamfunga Mamelod

    Habari Wakuu, Kuelekea Mechi za CAF CHAMPIONS LEAGUE kesho tarehe 2 December, Matokeo yatakuwa kama Yafuatavyo, Yanga vs Al Ahly (Yanga Atashinda) Jwaneng vs Simba (Itaisha kwa Draw) Tp mazembe vs Mamelod (Tp Mazembe Atashinda ) Mimosas vs Wydad (Wydad Atashinda) Nouadhibou vs pyramids...
  14. Suley2019

    JamiiForums Tanzania FT: Yanga 1 - 1 Al Ahly | CAF Champions League | Mkapa Stadium | 02.12.2023

    Leo mida ya saa 1:00 jioni inatarajiwa kuchezwa mechi ya pili ya kundi D ikiwakutanisha mabingwa wa kihistoria wa Tanzania (Yanga) dhidi ya Mabingwa wa Kihistoria wa Afrika kutokea Misri (Al Ahly). Mechi inachezwa katika Uwanja wa Mkapa uliopo Dar es Salaam Tanzania. Unafikiri nani ataibuka...
  15. Suley2019

    JamiiForums Tanzania FT: Simba 1 - 1 Asec Mimosas | CAF Champions league | Mkapa Stadium | 25.11.2023

    Leo 25/11/2023 katika dimba la Bnjamini Mkapa Dar es Salaam unatarajiwa kuchezwa mchezo wa kwanza wa Kundi B kati ya Simba SC ya Tanzania dhidi ya Asec Mimosa ya Ivory Coast. Mechi hii itaanza majira ya saa 10 kamili jioni. Upi mtazamo wako kuhusu mechi hii? Dakika ya 44 gooooal Saidoo...
  16. Vincenzo Jr

    JamiiForums Tanzania FT: CR Belouizdad 3-0 Yanga SC | CAF Champions league | Stade du 5 Juillet | 24.11.2023

    Leo ndo leo majira ya saa 4 usiku Yanga sc watakuwa wanacheza mechi yao ya kwanza katika ligi ya mabingwa Afrika Mungu ibariki Yanga SC. Kikosi cha Yanga YANGA YAANZA VIBAYA MAKUNDI CAF, YAPIGWA 3-0 UGENINI Ikicheza kwenye Uwanja wa Stade du 5 Juillet Nchini Algeria, Yanga imeshindwa...
  17. NguoYaSikuKuu

    JamiiForums Tanzania TFF wazembe wanakubali CAF kupangia muda mbovu

    TFF wamekua wazembe sana kwenye suala la muda wa mechi za TAIFA stars. Hii ni mechi ya pili wanapangiwa muda mbovu na CAF wanakubali bila hata kuhoji. Mechi saa nne usiku ni rafiki kweli kwa nchi yetu na usafiri wa Dar Es Salam? Hawaoni kuwa sio rafiki kwa mashabiki na kwa ushangiliaji wa mechi...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Sporting Casablanca vs JKT QUEENS - CAF Women's CHAMPIONS LEAGUE 2023

    11 November 2023 LIVE Sporting Casablanca 4 - 1 JKT QUEENS - CAF Women's CHAMPIONS LEAGUE 2023 https://m.youtube.com/watch?v=drY_F-vulPI Kutoka uwanja wa San Pédro, Ivory Coast mechi hii ya timu ya Morocco na Tanzania zikipambana Dakika 14 ' Sporting Casablanca 0 - 0 JKT QUEEN Dakika ya...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Atletico FC d'Abidjan vs JKT Queens - CAF Women's CHAMPIONS LEAGUE 2023 - GROUP STAGE

    Live 8 November 2023 Atletico FC d'Abidjan 1 - 2 JKT Queens - CAF Women's CHAMPIONS LEAGUE 2023 - GROUP STAGE https://m.youtube.com/watch?v=zAmSCWF8XKI wenyeji wa michuano hii ya Champions League, nchi ya Ivory Coast timu yao Atletico FC d' Abidjan inacheza na JKT Queens ya Tanzania katika...
  20. Majok majok

    JamiiForums Tanzania Yanga ni Klabu Bora Afrika kwa Mwaka 2022/2023 ndio maana imeingia kwenye Tuzo za CAF!

    CAF wanathibitisha ubora wa Yanga kivitendo ndio maana wameiteua kuingia kwenye tuzo zao za kuchagua Timu Bora barani Africa kwa mwaka 2023. Yanga ni timu pekee kwa Ukanda wa Africa Mashariki iliyoingia kugombania tuzo hizo! Yanga hawakuingia kwa bahati mbaya bali wamebebwa kwa mafanikio yao...
Back
Top Bottom