bunge

  1. Kutoka Bungeni: Muswada wa Mabadiliko ya Sheria ya Vyama vya Siasa wapitishwa kuwa Sheria

    Spika Ndugai ameipongeza Serikali kwa kazi nzuri na Muswada umepita kwa kura za Ndiyo ====== BAADHI YA NUKUU (KUTOKA UPINZANI) Kambi ya rasmi ya upinzani bungeni imekosoa muswada wa marekebisho ya sheria ya vyama vya siasa wa mwaka 2018 ikisema ni uonevu mkubwa dhidi ya vyama hivyo...
  2. Zitto ni mtu makini sana

    Nimesikiliza Press conference ya Kiongozi wa Chama cha ACT wazalendo Mhe Zitto leo na kukubaliana na hoja za wengine kuwa Zitto is a well informed person na yuko vizuri sana kuelezea. Ripoti ya 1.5 Trln ni moto sana. Sikiliza hapa. Go Zitto. Mie naamini huyu jamaa atatusaidia sana nchi hii...
  3. Pamoja na ufisadi wake wote, Chenge is one of the best brains kwenye Bunge full of ignorants

    Wanabodi, Natanguliza kwa kuomba msamaha kutumia maneno makali kwenye uzi huu, kwasababu kwa hapa nchi yetu ilipofika, labda kwa kutumia maneno makali kama haya, ndio yatasaidia tuweze kuelewana na kutubadilisha to change for the better!. Baadhi ya wananchi wa Tanzania ni ma ignorants, baadhi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…