bunge

  1. Ndugai ni Spika asiye na sifa za kuwa spika

    Kutokana na Mgogoro ambao umemhusu Mbunge wa kibamba Mhe John Mnyika nimebaini Pasipo na shaka kuwa Job Ndugai ambae ni Spika, hana uwezo kabisa wa kuongoza chambo kikuu cha maamuzi kama Bunge. Japo kuwa ni Spika Tayari lakini tunatakiwa kujua kuna watu ni Marais lakini hawana sifa za kuvaa...
  2. Swali: Hivi nini kitafuata baada ya bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwa na wabunge wa CCM tu?

    Habari waungwana, Huhitaji kuwa na Degree ya Political Science kuamini hili. Kwa hakika kabisa majimbo yote Tanzania bara yanakwenda kuchukuliwa na CCM kwa gharama yoyote. Ninaposema kwa gharama yoyote nadhani mmenielewa. Labda tu Rais kwa sababu zake yeye mwenyewe aamue kuchagua baadhi ya...
  3. Spika Ndugai anaendesha Bunge kwa matakwa yake binafsi na si kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Nimestushwa sana na kauli ya Spika wa Bunge la Tanzania, aliyoitoa jana kuhusiana na wabunge wa Chadema, waliofukuzwa uanachama katika kikao cha Kamati Kuu ya Chadema. Spika Ndugai amenukuliwa akiwaambia wabunge hao kuwa hatambui kufukuzwa kwao uanachama na chama chao cha Chadema na hivyo...
  4. Wabunge wa CHADEMA walio karantini waazimia kutorudisha posho. Kurudi Bungeni siku 14 zikiisha

    CHADEMA imeazimia kuyapuuzia maagizo ya Spika Job Ndugai, aliyewataka Wabunge wote wa chama hicho wasiohudhuria vikao vya Bunge kwa sasa kurudisha posho walizolipwa, ambapo kwa umoja wao wanadaiwa zaidi ya Tsh. Milioni 110 Chama hicho kimesema madai ya Spika kuwa Wabunge wake waliopewa fedha za...
  5. Spika Ndugai: Hakuna Mbunge aliyefukuzwa Ubunge. Vikao vya majungu havifanyi kazi hapa, Msajili tazama vyama vya namna hii

    Baada ya Kamati Kuu ya CHADEMA kukaa na kuamua kuwafukuza uanachama Wabunge wanne waliokiuka taratibu za chama hicho kwa kuhudhuria vikao vya Bunge tofauti na kilivyoamua Spika Ndugai awataka waliofukuzwa kutokuwa na hofu Spika Ndugai amesema "Wabunge mnaapishwa na Spika na karibia wote humu...
  6. J

    Hadi Bunge linamaliza muda wake, pengo la Tundu Antipas Lissu kama mweledi wa sheria " bunge zima" halijazibwa na yeyote

    Niwe tu mkweli katika bunge la Ndugai linaloelekea ukingoni mwishoni mwa mwezi huu kupooza tunakoendelea kukushuhudia ni kutokana na kukosekana kwa wanasiasa ving'ang'anizi na wenye weledi kama Tundu Antipas Lisu. Kiukweli pengo la Lisu kwa upinzani na kwa bunge zima halijaweza kuzibwa, ndio...
  7. Live on Star TV, Waziri wa Habari, Dr. Harrison Mwakyembe azungumzia changamoto za Corona Sekta ya Habari

    Karibu Paskali
  8. J

    Spika wa bunge la JMT ndiye mshauri mkuu wa Rais?

    Nimesoma kidogo kuhusu kazi za bunge la JMT ambapo miongoni mwa kazi hizo ni Kutunga sheria na Kuishauri serikali. Spika ndiye kiongozi mkuu wa bunge la JMT. Je, Spika ndiye mshauri mkuu wa Rais kama kiongozi mkuu wa serikali? Majibu Tafadhali. Maendeleo hayana vyama! cc: Pascal Mayalla!
  9. Kutokana na mwenendo wa Spika wa bunge , Je, kuna haja ya Raia kuendelea kuiheshimu Katiba ya Tanzania ?

    Wakuu naomba kukiri kwamba mimi si mtaalam wa sheria za Tanzania , hivyo uzi wangu waweza kuwa na mapungufu kadhaa , lakini ni dhahiri kwamba kwenye nchi hii sheria za uchaguzi zinawataka wagombea kudhaminiwa na chama cha siasa , kwa maana kwamba ili uweze kukubaliwa na Tume ya uchaguzi kuwa...
  10. Afrika Kusini: Kikao cha bunge chavurugwa kwa picha za ngono

    Mkutano wa kamati ya bunge kwa njia ya mtandao Afrika Kusini umevamiwa na wadukuzi na spika kudhalilishwa. Kikao hicho kilikuwa tu ndio kimeanza Alhamisi asubuhi wakati ambapo picha za ngono zilipojitokeza kwenye skrini huku sauti ya mwanamume ikisikika kumtusi Spika Thandi Modise, ambaye...
  11. Uamuzi wa wabunge wa CHADEMA kutohudhuria Bunge na kujiweka karantini ni sahihi kabisa

    Wiki iliyopita Mwenyekiti wa Chadema, Mheshimiwa Freeman Mbowe, alilitangazia Taifa kuwa wabunge wa Chadema, hawataendelea tena na vikao vya Bunge na wameamua kujiweka karantini kwa siku 14, ili kuangalia afya zao kama wameambukizwa ugonjwa huu wa COVID 19 au laa Ni uamuzi wa busara kabisa...
  12. J

    Je, bunge linaongozwa na Mwenyekiti wa CCM?

    Kwa mfano Spika wa Bunge kwa mujibu wa katiba ya CCM ni mjumbe wa kamati kuu ya chama na anaripoti kwa mwenyekiti. Katibu wa Bunge ni mteule wa Rais ambaye ndiye mwenyekiti wa CCM. Mnadhimu wa bunge ni waziri wa nchi ofisi ya waziri mkuu anayeteuliwa na Rais ambaye ndiye mwenyekiti wa CCM...
  13. Spika Ndugai: Wabunge watoro warejeshe fedha zote walizolipwa kuanzia Mei 1-17 jumla ya Tsh. Milioni 110

    Spika Job Ndugai amesema wabunge wa CHADEMA ambao hawashiriki vikao vya bunge kwa madai kuwa wapo karantini wanahesabika kama watoro na wanatakiwa kurejesha fedha zote walizolipwa kwa kipindi ambacho hawatakuwepo bungeni. Pia wamepaswa kufanya kipimo cha Covid19 kabla hawajaingia bungeni ==...
  14. Napata wasiwasi wabunge wa CHADEMA wanataka kuwafanya nini! Serikali, Bunge wote wanaacha kujadili bajeti wanawajadili

    Kuna anayefikiri kama mimi? 1. Walipoondoka bungeni spika alifurahi na kusema hata wasipokuwepo ccm wanatosha kupitisha mambo yao na cdm hawana madhara yoyote na hawajavunja sheria wala kanuni yoyote. 2. Akaja Rais Magufuli akaonyesha kuumia sana kwa wao kuondoka akatoa amri wasilipwe posho...
  15. Brazil yarekodi vifo vipya 615 vya COVID-19, Msemaji wa Rais apata maambukizi

    Nchi hiyo imerekodi vifo vipya 615 na idado hiyo inakuwa kubwa zaidi kuripotiwa kwa siku moja. Waziri wa Afya, Nelso Teich amesema Serikali inaweza kuanza kuweka masharti ya kutotoka ndani katika maeneo yaliyoathirika zaidi Aidha, Msemaji wa Rais wa nchi hiyo, Jair Bolsonaro, Otavio Rego Barros...
  16. Spika Ndugai atangaza kutambua Ubunge wa Cecil Mwambe aliyejiuzulu Ubunge na uanachama CHADEMA

    Hii nchi ina maajabu sana, pamoja na mbunge tajwa hapo juu aliekuwa akiwakilisha jimbo la Ndanda kupitia CHADEMA kutangaza kujiuzulu ubunge na kujivua uanachama wa CHADEMA na kujiunga na CCM lakini bado anaendelea kupata stahiki zote kama mbunge na Ndugai bado anamtambua kuwa Cecil Mwambe ni...
  17. Mwigulu: Wanaosusia vikao vya Bunge wana mpango wa kushusha uchumi wa nchi

    WAZIRI wa Katiba na sheria, Mwigulu Nchemba amesema kitendo cha baadhi ya Wabunge wa Upinzani kususia vikao vya Bunge kwa kuogopa Corona ni ishara ya kutengeneza madaraja na mpango wa kushusha uchumi wa nchi. Waziri Nchemba amesema hayo jana Bungeni jijini Dodoma wakati akichangia hotuba ya...
  18. RC Chalamila: Ningekuwa Spika ningewacharaza bakora wabunge wa upinzani walioacha kuhudhuria Bunge, wana hoja za kitoto

    Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Albert Chalamila, amesema angekuwa Spika wa Bunge, angewacharaza bakora wabunge wa vyama vya upinzani waliotoka Bungeni wakishinikiza vikao vya Bunge viahirishwe kutokana na tishio la ugonjwa wa Corona. "Simfundishi Spika kazi lakini ningekuwa mimi ndio Spika...
  19. RC Makonda atoa saa 24 kuwakamata Wabunge kama wazururaji endapo hawatarudi Bungeni. Wabunge wamjibu

    Mkuu wa Mkoa wa DSM, Paul Makonda ametoa saa 24 kwa Wabunge wote waliokimbia kushiriki vikao vya Bunge na kwenda Dar es Salaam kula bata, kuhakikisha wanarudi Bungeni tofauti na hapo, watakamatwa kwa kosa la uzururaji kama wanavyokamatwa machangudoa wanaozurura usiku. RC Makonda amesema kwa...
  20. J

    Je, tumpe tano tena Spika Job Ndugai akifanikiwa kurudi Bunge lijalo?

    Nafahamu kuwa kwa mujibu wa katiba nafasi ya Spika ni miaka mitano lakini hakatazwi kugombea tena kama anajiamini. Sasa bunge la Ndugai linaisha tarehe 30/5/2020 na Rais Magufuli atalivunja wakati wowote baada ya tarehe hiyo. Spika Job Ndugai amewafanyia watanzania mazuri mengi kupitia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…