bunge

  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Bunge lapitisha azimio la kuunga mkono mkataba wa Tanzania na DP World

    Azimio la Bunge kuhusu Pendekezo la Kuridhiwa Mkataba baina ya Serikali ya Jamhuri ya Mungano wa Tanzania na Serikali ya Dubai kwa lengo la kuanzisha Ushirikiano wa Kiuchumi na Kijamii katika Uendelezaji wa Maeneo ya Bandari Nchini leo Juni 10, 2023. ====== Leo Juni 10, 2023, Bunge la...
  2. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Kwa bunge hili nyumba ndogo ya serikali, kwanini tusilifute au kulibinafsisha kwanza?

    Kazi za bunge lolote duniani ni kuisimamia na kuishauri serikali kwa niaba ya wananchi, Pili, ni kufanya kazi kwa niaba ya wananchi, Bunge hutoa amri kwa serikali na siyo serikali kutoa amri kwake, Tatu, bunge hutunga sheria kwa mujibu wa matakwa ya wananchi ambao ndiyo wenye mamlaka, Nne, bunge...
  3. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Hii nchi ni yetu sote. Bunge liyavunje maridhiano, DP World wasipewe banadari. Tutafute pesa na kuwekeza wenyewe

    Kwani ni lazima kuboresha bandari yetu kwa kutumia Dp World? Kwani sisi hatuwezi kuwapa kandarasi wachina na kuboresha hayo maeneo muhimu na kuweza kuongeza ufanisi? Bora kukopa China na kuwekeza hizo cranes kuliko kuuza Bandari ya Watanganyika. Kila kona ni kilio tu na hamuaminiki.
  4. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Yalipaswa kuwa makubaliano kati ya Dubai na Ilala, tena yapitishwe na baraza la madiwani na sio bunge.

    Kwenye sakata la Bandari tumegundua kumbe Dubai sio nchi na haina hadhi ya kuridhia mikataba ya kinchi, hivyo kilikuwa ni kimbelembele cha kijinga cha bunge la Tanzania kuingia kichwa kichwa na kuridhia ule mkataba wa kifedhuli. Sasa wataalamu wetu wanasema lile deal la makubaliano ya...
  5. U

    JamiiForums Tanzania Sekeseke la mkataba wa Bandari za Tanganyika kuuzwa kwa waarabu linaendelea. Je, Bunge limefuta Hansard za majadala wa kupitisha azimio kuunga mkono?

    Huku ma RCs na DCs wakiwa wamepewa maagizo ya kusafisha "image" ya Rais Samia Suluhu Hassan iliyochafuliwa na vumbi la tope la mkataba wa ovyo la kukodisha/kubinafsisha bandari zote za bahari na maziwa makuu yote ya Tanganyika akiziacha za kwao Zanzibar, inasemekana kuwa kumbukumbu (hansard) za...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Prof. Shivji apuuzwe, ni kigeugeu. Alisaliti machapisho yake ya serikali tatu wakati wa bunge la katiba

    Prof. Shivji haaminiki tena huwa anatumika na ni kigeugeu hivyo apuuzwe ktk hoja zake anatoa kupinga ubia wa serikali ya Tanzania na DP World kuendesha bandari.. Kama mnakumbuka prof. Shivji ameandika machapisho mengi sana kuhusiana na utata na udhaifu wa muundo wa muungano wetu wa serikali...
  7. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Siku tukiacha kuchagua Wabunge Wafanyabiashara tutaona Mapinduzi Makubwa ya Bunge

    Amini usiamini hili bunge letu ni la Wafanya Biashara siyo Bunge la wananchi. Asilimia 80 ni Wafanya Biashara wakubwa and not start ups. Mfanya Biashara ni mtu ambaye all the time anawaza cash flow kwenye business zake. Always thinking ways to maintain his/her wealth... At the same time mtu...
  8. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Shivji ataka Bunge libatilishe azimio la Mkataba wa Bandari na Serikali ya Dubai

    Mwanazuoni Profesa Issa Shivji amekosoa mkataba baina ya Tanzania na Dubai unaohusu uboreshaji na uendeshaji wa bandari, huku akishauri Bunge kubatilisha azimio la kuridhia mkataba huo wa awali. Profesa huyo ambaye ni nguli wa sheria amependekeza njia hiyo leo Jumatano Juni 28, 2023 wakati...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Tupige kura Mawaziri na wabunge waliofanya vizuri Bunge la Bajeti 2023/2024

    Bunge la Bajeti limekwisha leo tuweke orodha na mawaziri na wabunge walifanya vizuri Bunge hili. Mawaziri 1. Juma Aweso 2. Innocent Bashungwa 3. Angela Kairuki 4. Kapteni Mkuchika UPANDE wa Wabunge 1. Tabasamu 2. Msukuma 3. Kingu 4. Mnyeti 5. Prof. Mkumbo Wengine tuendelee.
  10. J

    JamiiForums Tanzania Mpina alisimamisha Bunge kwa Dakika 25 "Atoa tuhuma NZITO maelekezo ya Waziri Mkuu, Mawaziri wakwama

    Mbunge wa Kisesa (CCM) Luhaga Mpina akichangia maoni yake kwenye makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi kwa mwaka 2023/2024, Bungeni jijini Dodoma May 3, 2023, mchango huu ndio ulizua sintofahamu iliyomlazimu Spika kuagiza Mpina alete ushahidi.
  11. S

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mwigulu Nchemba na Januari Makamba wakutana kikao cha dharura baada ya Bunge kutoa mwongozo wa Luhaga Mpina

    KUNA tetesi kuwa baada ya Spika wa Bunge leo 28/6/2023 kumtangaza bungeni Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina kuwa alikuwa sahihi kuhusu kutotekelezwa kwa maagizo ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa. Mawaziri Mwigulu Nchemba na Januari Makamba wamekutana kwa kikao cha dharura kujadili uamuzi huo wa...
  12. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Bunge laitaka Serikali kuwawajibisha ‘waliochota’ Bilioni 63.4 za Uboreshaji wa Bandari ya Tanga

    Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), imeonyesha kusikitishwa na kutochukuliwa kwa hatua za kisheria kwa wabadhirifu wa Sh63.4 bilioni katika utoaji wa tuzo ya zabuni za uboreshaji wa Bandari ya Tanga kwa Kampuni ya China Harbour Engineering Company (CHEC) Ltd. Mwenyekiti wa PAC...
  13. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Halima Mdee: Serikali Imepuuza na Kukiuka Maagizo ya Bunge ya Kuwafukuza kazi Wezi wa Fedha za Umma Waliotajwa na CAG

    Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa LAAC bi Halima Mdee ameishutumu Serikali Kwa Kukiuka na kupuuza Maagizo ya Bunge yaliyotolewa kwenye maasimio kuhusu washukiwa wa Ufisadi Waliotajwa na CAG. ============ Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali...
  14. M

    JamiiForums Tanzania SoC03 Asilimia hamsini (50%) huduma za maji na umeme

    Maji na Umeme vimekuwa vitu muhimu katika maisha ya binadamu pia kwa maendeleo ya taifa kwa ujumla. Gharama ya Maji na Umeme ni kubwa sio tu katika usambazaji yaani serikari pia kwa mtu mmojammoja anapohitaji kufungiwa inakuwa ni kikwazo. CHANGAMOTO Gharama za mwanzo za ufungaji wa maji na...
  15. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Wakati gani bunge la Tanzania lilikuwa bunge?

    Kuna malalmiko, kuwa siku hizi bunge si bunge. Ni afadhali la miaka ya nyuma. Kuna minong'ono, kuwa bunge la sasa ni mfano tu wa bunge, kwa maslahi ya watawala. Hata wengine wamediriki kutamani bunge livunjwe. Kwani ni wakati gani bunge la Tz lilishawahi kuwa bunge? Inasemekana, kuna wakati...
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Spika Tulia Ackson asitisha Shughuli za Bunge kwa Dharura, awataka wabunge kutoka nje kwa haraka

    Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 11, Kikao cha 56, leo Juni 27, 2023. === UPDATE; Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Tulia Ackson amesitisha shughuli za Bunge asubuhi hii wakati Naibu Waziri wa Wizara ya Ujenzi na uchukuzi Mhandisi Godfrey M. Kasekenya...
  17. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Kwa la Bandari, Pongezi TLS. Katiba yetu imenajisiwa. Bunge limetunga Sheria batili. Haki za Watanzania zimeporwa. Kwanini TLS wamenyamaza kimya?

    Wanabodi, Nikiwa ni mwanachama wa TLS, nimeisoma taarifa ya TLS kuhusu issue ya Bandari na DPW, kiukweli kabisa TLS inastahili pongezi za dhati!, imefunga huu mjadala, ingekuwa mimi ni Mnyamwezi, Kinyamwezi hii inaitwa "funga kalomo", yaani funga mdomo!. Taarifa hii ya TLS ni funga kazi, na...
  18. Mbunge Afrika Mashariki

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa bunge la Afrika Mashariki, Mashaka Ngole atoa msaada Jimbo la wilaya ya wete PEMBA

    Mbunge wa bunge la Afrika Mashariki kupitia chama Cha CUF, mhe.Mashaka Ngole ametoa msaada wa waya za umeme 2.5 bandle 2 jumla ya thamani 360000, sambamba na hilo mhe.mbunge ameahidi kuvuta na kuunganisha umeme katika shule ya sekondari Makongeni jimbo la MTAMBWE wilaya ya WETE PEMBA, Pia...
  19. A

    JamiiForums Tanzania SoC03 Kuanzishwa kwa Tanzania bunge mkononi

    Utangulizi Bunge mkononi litakuwa ni bunge/mkutano utakaompa nafasi kila mwananchi kuwa mbunge. Bunge hili litakuwa kwa njia ya mtandao, na mshiriki ataweza kushiriki kupitia sim janja ya mkononi. Mtu aliye tayari atajisajiri katika mtandao wa bunge utakaoanzishwa, na maombi yatatumwa selikalini...
  20. komunisti

    JamiiForums Tanzania Nimeweka nadhiri ya kutofuatilia hili bunge la chama kimoja hadi 2025 litakapofika tamati

    Tangu bunge hili limeanza vikao vyake tangu 2020 lilipowekwa na jiwe sijawahi kupoteza muda wangu kulifuatilia, na sitolifuatilia hadi litakapoisha muda wake.
Back
Top Bottom