bunge

  1. T

    JamiiForums Tanzania Je, umewahi kujiuliza bunge letu lina wabunge wanasheria wangapi?

    Unajuwa yapo mambo hili Taifa asipo tokea mtu kama Jerry Rolling wa Ghana kamwe hatuto toka hapa tulipo. Hivi umewahi kujiuliza bunge letu lina wabunge wanasheria wangapi na kile kina endelea kwa sasa? Kiufupi bunge letu haliangalii aina ya mbunge ukiacha elimu yeyote mtu ako nayo na kujuwa...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Baada ya kufuatilia Bunge kwa kina, nimejiridhisha kuwa wabunge hawajui majukumu yao kama wawakilishi wa wananchi

    Kwanza na_declaire interest, Mimi sio msomi sana lakini nimeona haya na nimejiridhisha yafuatayo: -Nimejiridhisha wabunge HAWAJUI wanachojadili mezani ni MOU na sio mkataba. -Matumizi mabaya ya "taarifaaa" wakati mbunge akiwa anatoa hoja ama kufunguka. -Spika anaingilia sana mbunge...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Mbowe alipiga bunge tatu bila akiwa ughaibuni

    Hotuba na maelekezo ya Mbowe yamebaki kuwa mchango pekee ulio wa wazi katika suala la bandari. Hakuna kiongozi yeyote wa chama chochote au Mbunge ambaye amefafanua kwa hoja issue ya mkataba na DP world. Naamini sasa Watanzania si lazima tuende Bungeni ndipo tuweze kulitetea Taifa; popote tulipo...
  4. Don Moen

    JamiiForums Tanzania Spika Tulia Ackson, ninakukumbusha kuwa siku inakuja aibu yako itakufunika

    Kazi ya Spika wa bunge la JMT ni kuongoza mijadala ya kuisimania serikali kama mhili unaojitegemea. Bunge ni uwakilishi na sauti ya wananchi dhidi ya serikali. Inasikitisha sana wewe Spika Tulia Aksoni umegeuka sehemu ya kuitetea serikali kwa nguvu zako zote. Umepoka nafasi ya Waziri mkuu...
  5. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Jinsi nafuatilia bunge la kupitisha DP-World

  6. J

    JamiiForums Tanzania Spika na Wabunge kumbukeni maneno haya ya Dua ya kuiombea nchi na kuliombea Bunge mnapokwenda kuuza Bandari

    Dua ya kuiombea nchi na kuliombea Bunge “Ewe MWENYEZI MUNGU Mtukufu, Muumba Mbingu naDunia, umeweka katika Dunia Serikali za Wanadamu naMabunge ya Mataifa ili haki yako itendeke. Twakuomba, uibariki nchi yetu idumishe uhuru, umoja, haki na amani, umjalie Rais wetu hekima, afya njema na maisha...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Bunge halitakuwa LIVE Juni 10 kupitia mkataba wa bandari

    Kuna tetesi kuwa wabunge wa CCM wametoa shinikizo kwa Spika, Dk. Tulia kuhakikisha kikao cha kesho cha kupitisha azimio la kuuza bandari zote za Tanzania bara kwa Mwarabu hakionyeshwi LIVE kwenye Tv ili kuwanusuru kwa wananchi ambao wako kwenye taharuki kubwa. Wabunge hao inasemekana...
  8. Mdude_Nyagali

    JamiiForums Tanzania Muswada wa Mabadiliko ya Sheria ya Usalama wa Taifa, umewapa 'Kinga ya Jinai' Maafisa Usalama

    Serikali ya Rais Samia imepeleka muswada wa mabadiliko ya sheria ya usalama wa taifa - TISS ambao kwa ujumla wake una mapungufu mengi ikiwemo kuwapa kinga ya makosa ya jinai kwa maafisa wa idara hiyo. Jambo hili limezua mijadala maeneo tofauti watu wakiuliza Rais Samia anataka kuwatumia maafisa...
  9. VUTA-NKUVUTE

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Mkataba wa kukodisha Bandari: Ni Rais na Mwenyekiti wetu tu ndiye awezaye yote tuyatakayo

    Kwa mujibu wa Katiba na Sheria zetu zinazoliongoza Bunge, Rais ni sehemu ya Bunge. Kama Rais aliridhia (kwa kuusoma au kusomewa au kutafsiriwa mkataba wa kuikodisha Bandari yetu kwa DP Word) kusainiwa kwa mkataba huo, sehemu moja ya Bunge imeshaupitisha. Mnaelewa? Kichama, Rais ni Mwenyekiti wa...
  10. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Bunge lapitisha Muswada wa Tume ya Mipango, sasa kuwa na Waziri wake

    Bunge limepitisha Muswada wa Sheria ya Tume ya Mipango wa mwaka 2023 huku ikiondolewa Wizara ya Fedha na Mipango na kupelekwa kwa Ofisi ya Rais. Muswada huo umewasilishwa na Waziri wa Nchi katika Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene bungeni leo...
  11. econonist

    JamiiForums Tanzania Je, inawezekana Bunge kukataa kupitisha mkataba uliokwisha sainiwa na Serikali?

    Swali la msingi ni kwenye kuridhia mikataba ya kimataifa, Bunge linauwezo wa kuukataa mkataba ambao umekwisha sainiwa na serikali? Na Je, Bunge likiukataa huo mkataba Nini kitatokea? Naomba mtaalamu wa sheria za Kimataifa kwenye ratifications of treaties atusaidie.
  12. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Watanganyika wanaohitaji kwenda Dodoma tar 10.6.2023 kushuhudia bunge likipisha Mkataba wa Bandari tukutane hapa !

    Karibuni mikoa yote Tanzania bara. 1. Kundi la vijana wasio na ajira karibuni 2. Kundi na watumishi wa TPA 3. Kundi la vyama vya siasa na wasomi mbali mbali 3. Kundi la wafanyabiashara 4. Wananchi wote Tanganyika Karibuni Dodoma Bungeni tarehe 10.6.2023 bila kukosa
  13. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Spika Tulia: Bunge litajadili ushirikiano wa DP World na Bandari

    Spika wa Bunge Dk Tulia Ackson amesema azimio la Bunge kuhusu kuridhia ushirikiano wa uendelezaji na uboreshaji wa utendaji wa bandari Tanzania, litawasilishwa bungeni Juni 10, 2023 kwa ajili ya kujadiliwa na kupitishwa na wabunge. Azimio hilo ni mapendekezo ya kuridhia makubaliano kati ya...
  14. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Bunge likipitisha Mkataba wa DP World, tutaamsha Nchi nzima

    Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe ameitaka Serikali kuondoa Mkataba huo kwenye majadiliano Bungeni kwasababu unakwenda kuiingiza Nchi kwenye migogoro usio na faida. Pia, amewataka Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa na Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Bandari, Plasduce...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Spika Tulia na usomi wake wa kiwango cha PhD anataka bunge libariki kitu kama hiki?

    Kipengele kimojawapo cha mkataba wa bandari kinasema hivi yaani maana yake ni kwamba, haturuhusiwi kwa namna yoyote ile KUJITOA katika mkataba huo hata kama tutagundua BAYA la UKUBWA wa kiwango chochote ambao Mwekezaji atakuwa anefanya. Yaani hata ikitokea Mwekezaji akatumika kumsaidia adui...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Zitto unatuambia Mkataba unaenda Bunge gani?

    Zitto amegoma kukosoa content za mkataba alichoona yeye ni mjadala wa Bunge kwamba ndiyo mara Kwanza. Lakini hataki pia kutuambia kinachokwenda bungeni ni Muswada, sheria au mkataba. Anashindwa pia kutuambia kwanini Bungeni liende azimio na madhara ya kuazimia yanawezaje kubadili signature...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Ni wakati wa kubinafisisha Bunge letu!

    Amani Tanzania! Sina mengi ya kuwachosha wana janvi! Muda wa kubinafisisha Bunge letu umewadia rasimi! Ninazo sababu kuu mbili tu, mengine mtaongezea # Ni kwa sababu bunge letu, halina uwezo kabisa wa kushauri serikali na pia halina uchungu na watanzania kwa ujumla, lipo tayari kupitisha...
  18. Raphael Alfayo 0506

    JamiiForums Tanzania SoC03 Bunge langu

    Bunge Langu: Jina lake lilikuwa Dec_Rapha. Alikuwa mwanaume jasiri mwenye sauti ya ujasiri na moyo wa kujitolea. Kwa miaka mingi, alishuhudia jinsi Bunge la Daqwaan lilivyokuwa likisimamiwa na masuala ya rushwa, ubaguzi, na kutokuwepo kwa uwajibikaji. Hii ilimwumiza sana moyo na kumfanya aamini...
  19. Pascal Ndege

    JamiiForums Tanzania Kama ni suala la kuongeza tija, Serikali, Bunge, Mahakama vibinafsishwe

    Kama Serikali imeamua kubinfsisha Bandari kuongeza ufanisi. Mimi mawazo yangu tuanze kwanza kubinfsisha Serikali. Serikali haina ufanisi kusimamia mambo mengi sana. Kususua kwa miundombinu mbali mbali, Kususua kukusanya mapato na upotevu mkubwa wa mapato. Kususua kwa huduma mbali mbali za...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bunge la 12 Mkutano wa 11, Kikao cha 42 - tarehe 07/06/2023

Back
Top Bottom