bunge

  1. Z

    JamiiForums Tanzania Bunge likivunjwa inakuwaje kwa mawaziri ambao ni wabunge,? Kumbe mawaziri wasiwe wabunge?

    Kama bunge likivunjwa Ina maana nchi inakuwa Haina bunge kwa kipindi Cha miezi kadhaa!! Hii imekaaje kwa mawaziri ambao ni wabunge? Naona mawaziri wateuliwe na rais kutoka kwenye chama na wadhibitishwe na bunge ikiwezekana!! Ni maoni tu
  2. Idugunde

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Bunge linavunjwa kesho, Watanzania tusirudie makosa tuliyofanya 2020

    Yaani kurudia makosa ya kuchagua wabunge kwa ushabiki wa kichama matokeo yake taifa linakuwa na bunge ambalo haliwezi kusimamia maslahi ya taifa na wananchi ni makosa makubwa. Tusirudie hayo makosa. Nasema tusirudie hayo makosa. Maana cha moto watanzania wamekiona.
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bunge la 12 Mkutano wa 19 Kikao cha 54 Juni 26, 2025

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa anatarajiwa leo, Juni 26, 2025, kuwasilisha hoja ya kufunga shughuli za Bunge ikiwa ni hitimisho la Mkutano wa 19 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Katika Mkutano huo umejadili mambo mbalimbali ikiwemo Hali ya Uchumi wa Taifa kwa mwaka 2024, Mpango wa...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Haikuwa halali Zanzibar kuanza kutangaza kusogeza mbele kuvunjwa Baraza la Wawakilishi kabla ya Samia kusogeza mbele kuvunjwa kwa Bunge hadi August

    Nchi hii bwana inaendeshwa kinyume sana, yaani vurugu tupu. Sasa Raisi wa Zanzibar anatangaza kusogeza mbele kuvunjwa kwa Baraza la Wawakilishi kabla ya Raisi wa Tanzania Samia kutangaza kusogezwa mbele kuvunjwa kwa Bunge hadi August. Hivi nani hasa ni Raisi wa Tanzania hapa, au ipi ni mamlaka...
  5. Mikael Aweda

    JamiiForums Tanzania Kuahurishwa kuvunjwa kwa bunge 2025, matokeo yake ni yes reforms,yes election. Maswali 5 ya kujiuliza!

    WIki iliyopita nilileta mjadala humu kuhusu kama CXM inaweza kwenda bila Chadema. Nilifuatilia ule mjadala wa wadau na jibu lilikuwa wazi kwamba "uchaguzi bila Chadema hauwezekani" Huo ni ukweli japo mchungu. UCHAGUZI huo hautapata kibali mbele ya macho ya dunia. Mbaya zaidi nikapata taarifa...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bunge La Kumi Na Mbili, Mkutano Wa Kumi Na Tisa, Kikao Cha 53, 25 Juni 2025

    https://www.youtube.com/watch?v=g6ObfpEE4Ck&pp=0gcJCdAJAYcqIYzv
  7. Mzalendo2015

    JamiiForums Tanzania Bunge la Bajeti kuahirishwa Agosti kuna nini nyuma ya pazia?

    https://youtu.be/P0Gza-ycva0?si=-o1iG2PhuL-Aizn_ Kuna habari zinaendelea mitandaoni kuwa Bunge la Bajeti mwaka huu huenda likavunjwa mwezi Agosti 2025. Kawaida Bunge la Bajeti la mwaka wa Uchaguzi huvunjwa si kuahirishwa mwisho wa Juni au mapema Julai. Tayari Rais wa BMZ Dr. Mwinyi...
  8. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Mpaka sasa hoja ya Mpina juu ya matriloni yaliyolipwa na serikali bila ridhaa ya Bunge na raia wa kigeni kushika nyadhifa za juu serikalini haijabiwa

    Mbunge wa taifa ni mbunge wa taifa tu. Yupo kwa ajili ya maslahi ya taifa na jibo lake Mbona hatujapata majibu? Matrilion kulipwa Icsid?
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bunge la 12, Mkutano wa 19, Kikao cha 51, 23 Juni 2025

    Wakati mkutano wa 19 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ukiendelea jijini Dodoma, leo Juni 23, 2025 pamoja na mambo mengine Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa atawasilisha taarifa ya Hali ya Dawa za Kulevya ya Mwaka 2024. Wabunge, wataendelea kuchangia bajeti kuu ya Serikali kwa mwaka wa...
  10. Keyboard_Warrior

    JamiiForums Tanzania Iran: Bunge limepiga kura kufunga njia ya bahari Strait of Hormuz

    Tujifunge mkanda mazee!!! https://x.com/BRICSinfo/status/1936773441832513712 BREAKING: The Iranian parliament has unanimously reached the decision to close the Strait of Hormuz. Now the final decision rests with the Supreme National Security Council and the Supreme Leader, Ayatollah Khamenei.
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Zungu: Wanaotukana waache watukane, tuna Kiongozi Nusu Mtu Nusu Chuma (Bungeni leo Juni 20, 2025)

    Wakati mkutano wa 19 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ukiendelea jijini Dodoma, leo Juni 20, 2025 pamoja na mambo mengine wabunge wataendelea kuchangia bajeti kuu ya Serikali kwa mwaka 2025/2026. Wakati huo huo, wabunge watatoa michango kuhusu Hali ya Uchumi wa Taifa kwa mwaka 2024...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bunge la 12, Mkutano wa Kumi na Tisa, Kikao cha 49, Juni 19, 2025

    Wakati mkutano wa 19 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ukiendelea Jijini Dodoma, leo Juni 19, 2025 pamoja na mambo mengine wabunge wataendelea kuchangia mjadala wa Hali ya Uchumi wa Taifa kwa mwaka 2024 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa mwaka wa fedha 2025/2026. Wakati huo huo...
  13. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Kuna Hii Ajari Imetokea Ila Kuna Ukimya, Gari ya Nani Hii?

  14. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Wajibu wa Mihimili ni Katiba: Kuilinda, Kuiheshimu, Kuitetea na Kuitekeleza Kwa Kuheshimiana!. Je Bunge Lifanye Minimum Reforms Kabla Kuvunjwa Au ?

    Wanabodi, Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Mwananchi la leo nikijkita kwenye kumpongeza Spika wa Bunge, Dr Tulia Akson kwa kukumbushia majukumu na wajibu wa mihimili ni kwa Katiba ya JMT : Kuilinda, Kuiheshimu, Kuitetea na Kuitekeleza Kwa Kuheshimiana na sio kwa mihimili kujinyenyekeza kwa...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bunge la Kumi Na Mbili, Mkutano Wa Kumi Na Tisa, Kikao Cha 48, 18 Juni 2025

    https://www.youtube.com/watch?v=U14SZR1OTYg&pp=ygUFYnVuZ2XSBwkJ3gkBhyohjO8%3D Serikali imesema itaendelea kuwalea na kuwapatia matunzo wazee wasiojiweza ambao hawana familia na ndugu wa kuwatunza kupitia makazi ya wazee na wasiojiweza 13 inayoyamiliki. Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa...
  16. funaku

    JamiiForums Tanzania BUNGE LIWEKE KANUNI-Mchango wa Mbunge utokane na vikao halali vya wananchi ngazi ya chini

    Ni ukweli usiopingika kuwa mawazo na maoni halali yanayotolewa kupitia mfumo halali wa kukusanya maoni na mapendekezo ya wananchi kupitia mikutano yao ya vijiji,kata na mabaraza ya madiwani hayapati fursa stahiki kulifikia bunge kupitia wawakilishi hawa wa wananchi. Badala yake bungeni...
  17. Ileje

    JamiiForums Tanzania Bunge la Ulaya kuijadili Tanzania siyo jambo la afya!

    Sikiliza hapa wanajadili kesi za Tundu Lissu. https://twitter.com/EduTalkTz/status/1934829754852491305?t=TiZp-zvXELlD5i62LV7I2Q&s=19
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania BUNGE LA 12, Mkutano wa 19, Kikao cha 47, Juni 17, 2025

    https://www.youtube.com/watch?v=Ta0IRczlVrg
  19. Mkoba wa Mama

    JamiiForums Tanzania Bunge halitungi Sheria

    Kama nitakua nimekosea mtanielewesha, maana ninachofahamu mimi ni kwamba; Bunge linapelekewa Mswada wa sheria, kisha wabunge wanajadili na baadae kupitisha Mswada ili ukasainiwe na Rais, na sio kwamba Bunge ndio linauandaa huo Mswada wa sheria. Kwa sababu huwa naona Mswada hupelekwa Bungeni...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bunge la 12, Mkutano wa 19, Kikao cha 46, Juni 16, 2025

    Wakati mkutano wa 19 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ukiendelea Jijini Dodoma, pamoja na mambo mengine leo Juni 16, 2025 Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti itawasilisha taarifa ya Kamati hiyo kuhusu Hali ya Uchumi wa Taifa kwa mwaka 2024, Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa mwaka wa...
Back
Top Bottom