bunge

  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Wachambuzi wahofia uwezo wa Bunge la 12 kuwakilisha wananchi, tuzo kwa Rais Samia yazua mjadala

    Wakati Bunge la Jamhuri ya Muungano chini ya Spika Dkt. Tulia Ackson likielekea ukiongoni kabla ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, kumekuwa na maoni ya kupwaya kwa Bunge hilo kwa kushindwa kufikia malengo ya Wananchi wanaowakilishwa zikiwamo changamoto za utawala bora, uchumi na kijamii. Hayo...
  2. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Je, bunge litatii amri hii ya mahakama ya rufani?

    Mahakama ya Rufaa ya Tanzania leo imetoa uamuzi katika kesi ya kikatiba ya Rufaa Na. 134 ya Mwaka 2022, iliyofunguliwa na mtetezi wa haki za binadamu, Wakili Onesmo Olengurumwa dhidi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Rufaa hiyo ilisikilizwa mbele ya jopo la majaji watatu wa Mahakama ya Rufaa...
  3. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Baada ya Waziri Mwigulu kusoma Bajeti ya 25/26 njoo utuambie kama ni 'No Reforms, No Election' au 'October Tunatiki'

    Wakuu, Bajeti kuu ya serikali Mwaka 2025/2026 inawasilishwa leo Bungeni na Waziri wa Fedha Dr. Mwigulu Nchemba, ikieleza mapitio ya utekelezaji wa mpango na bajeti mwaka 2024/2025 na mapendekezo ya mpango na bajeti ya wizara ya fedha kwa mwaka wa Fedha 2025/2026 leo Juni 12, bungeni Dodoma
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bunge la 12 Mkutano wa 19 Kikao cha 45 Juni 12, 2025 Dodoma

    Leo Juni 12, 2025 Waziri wa Fedha Dr. Mwigulu Nchemba atawasilisha Bajeti Kuu ya Serikali 2025/2026, nini vitakuwa vipaombele vya serikari? Matarajio ya Wanachi, Taasisi na Asasi za Kiraia yatafikiwa? Kabla ya kuwasilisha hotuba hiyo, Bunge linapitisha hali ya uchumi wa Taifa kwa mwaka 2024 na...
  5. VERITE-NUE

    JamiiForums Tanzania Burundi: CNDD-FDD kuongoza Bunge bila mpinzani

    Kwa mjibu wa taarifa za awali, uchaguzi wa tarehe 5 Juni, 2025, unaiacha CNDD-FDD katika nafasi ya kuwa na wabunge wote wanaohitajika bungeni. Kwa mjibu wa katiba ya Burundi, vyama vya siasa, vinahitaji angalau 2% ya kula zote, na mpaka sasa hakuna chama kilichofanikiwa kupata kura hizo. Kwa...
  6. Patriot

    JamiiForums Tanzania Bunge letu ni kama Mbunga ya wanyama. Waliomba saluti, wakaomba hadhi ya VIP kwa wenza wao, sasa namba za magari

    Ndani ya mbuga ya wanyama, kila mtu ana ombi la kumfanya aishi bila kujali mwenzake. Hawa wabunge waliwahi kuomba wapigiwe saluti, ikashindikana. Karibuni kuna mbunge aliomba wenza wao pia wapewe hadhi ya VIP, ikapita kimya. Sasa kuna mwingine ameomba namba pekee za magari kwa wabunge. Soma...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bunge la 12 Mkutano wa 19 Kikao cha 11 Juni 11, 2025

    Bunge la 12 Mkutano wa 19 Kikao cha 11 Juni 11, 2025 ORODHA YA SHUGHULI ZA LEO I. Dua II. Hati za kuwasilisha mezani III. Maswali IV. Hoja za Kamati https://www.youtube.com/watch?v=Q31sbspK74k
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bunge la 12 Mkutano wa 19 Kikao cha 42 Juni 9, 2025 Dodoma

    Bunge la 12 Mkutano wa 19 Kikao cha 42 Juni 9, 2025 Dodoma https://www.youtube.com/watch?v=b-yeX29iuJg
  9. E

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Bashungwa alishukuru Bunge kwa kupambana na watu wa nje wasioitakia mema nchi

    Waziri wa Mambo ya Ndani, Innocent Bashungwa amemshukuru Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano, Dk Tulia Ackson kwa kuwa Bunge lake limesimama na Serikali dhidi ya watu kutoka nje ya nchi wasiokuwa na nia njema na nchi. Bashungwa amesema hayo leo Juni 9, 2025 wakati akimkaribisha Rais Samia...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bunge La Kumi Na Mbili, Mkutano Wa Kumi Na Tisa Kikao Cha 42. 09 Juni 2025

    https://www.youtube.com/watch?v=b-yeX29iuJg
  11. E

    JamiiForums Tanzania TanzaGIZA Serikali mfu kuanzia BUNGE mpaka VYUO VIKUU

    kwema ndugu zangu wa kitanzania Hivi serikali imeshindwa kabisa kuendesha mwendokasi Hivi Tanzania nzima hakuna kichwa/mtu wa kuweza kusimamia mwendokasi Hivi UDSM inazalisha wasomi kweli au ni chuo cha siasa, yaani Chuo cha TAIFA kimeshindwa kutoa akili moja ya kusimamia Mwendokasi Hivi...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Wizara zinajibu maswali ya Wabunge katika Bunge la 12, Mkutano wa 19, Kikao cha 41, leo Juni 06, 2025

    Wakati mkutano wa 19 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ukiendelea Jijini Dodoma, pamoja na mambo mengine leo Juni 06, 2025, Serikali itajibu ni lini itawasilisha muswada wa sheria kuhusu changomoto za Muungano zilizopatiwa ufumbuzi ili ziwe kwa mujibu wa sheria. Wakati huo huo...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Mbunge anasakwa kama mnyama, bunge limekaa kimya!, nini tafsiri yake?

    Habari ya wakati huu waungwana! I hope mko poa na mnaendelea vizuri na majukumu yenu!. Moja kwa Moja kwenye mada yangu. Kitendo Cha mbunge katika BUNGE la jamhuri ya muungano kusakwa kama ngedere na Kisha BUNGE kama chombo Cha kutunga Sheria kulikalia hili swala kimya bila kutoa tamko lolote...
  14. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Leo Waziri Mkuu Majaliwa anajibu maswali papo kwa hapo bungeni, tusikilize majibu yake

    Wanabodi leo ni Ahamisi Bunge Live Maswali ya Papo kwa Papo kwa Waziri Mkuu Paskali https://www.youtube.com/watch?v=rxqoSMPy4Ug
  15. Mkoba wa Mama

    JamiiForums Tanzania Miradi hiyo hiyo inakaguliwa na mwenge wa uhuru, hiyo hiyo kamati za Bunge, hiyo hiyo CCM, hiyo hiyo inakaguliwa na viongozi wa serikali

    Naomba kuuliza, mbona wakaguzi wa miradi ni wengi sana na bado miradi mingi ufanisi wake ni wa hovyo. Hizo pesa zinazotumika kwa ajili ya ziara za kukagua miradi si bora zikafanya kazi nyingine tu na miradi ikawa inakaguliwa na taasisi moja maalumu baada ya hapo inapeleka ripoti kwa wengine.
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bunge la 12, Dkt. Mwigulu: Uchumi wakua kwa asilimia 5.5, mfumuko wa Bei wasalia thabiti – Wizara ya Fedha yaomba TSh Trilioni 20.1

    https://www.youtube.com/watch?v=UTsVTMLcS5Q Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, amesema kuwa ukuaji wa Pato la Taifa (GDP) kwa mwaka 2024 umefikia asilimia 5.5, ukilinganishwa na asilimia 5.1 kwa mwaka 2023 na asilimia 5.4 kwa mwaka 2022. Aidha, katika kipindi cha Julai 2024 hadi...
  17. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima ni maarufu kuzidi Bunge?

    Nilikuwa nimesahau kuwa vikao vya bunge vinaendelea Dodoma! Muda mfupi uliopita niliingia YouTube nikakutana na "title" yenye maneno kama GWAJIMA KIKAANGONI BUNGENI. Nikifikiri kuwa suala la Gwajima limetua bungeni, niliifungua kwa ajili ya kujua kinachojiri. Kumbe ni uongo mtu! Nilikuta ni...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bunge la 12, Mkutano wa 19, Kikao cha 38, Juni 03, 2025

    https://www.youtube.com/watch?v=Dhe1bpdrnXE Wabunge wamepitisha makadirio ya Mapato na matumizi ya Wizara ya Afya kwa mwaka wa fedha 2025/2026, jijini Dodoma leo Juni 3, 2025. Katika mjadala wa kupitisha bajeti hiyo wajumbe wametoa ushauri mbalimbali ikiwemo Serikali kuangalia namna ya...
  19. DexterLab

    JamiiForums Tanzania Utazamaji kesi ya Lissu vs Bunge.

    habari, mnaruhusiwa kucheka kwa nini wananchi mnalipuuzia kuangalia bunge lenu mnaniachia mimi peke yangu na makarani wa bunge pekee(hawazidi 10)? hii haikubaliki 😂 Watanzania tunatakiwa kuliangalia bunge letu namba za views zipande pale mjini YouTube. haiwezekani kesi ya Lissu izidi Bunge...
  20. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mavunde akabidhi genereta la kisasa kwa wanafunzi wa shule ya sekondari ya Bunge

    Waziri wa Madini na Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini Anthony Mavunde amekabidhi genereta la kisasa kwa wanafunzi wa shule ya sekondari ya Bunge lengo ikiwa ni kuendelea kuwasaidia wanafunzi hao kuendelea kupata huduma ya umeme na maji pindi umeme unapokatika. Mavunde akizungumza baada ya...
Back
Top Bottom