https://youtu.be/txvRnIcB9tc?si=DI7EpxtR-jnsGoai
Kumekuwa na matukio ya kushangaza tokea lile sekeseke la Wanaharakati wa Kenya kuja Tanzania kusikiliza kesi ya Mhe. Tundu Antipas Lissu, Mwenyekiti wa Chama kikuu cha upinzani CHADEMA.
Wanaharakati hao baadaye walikamatwa na Polisi wa Tanzania...
Hizi ni ishara za kuwa na watu waliovimbewa na kujiona wanaweza kutuwekea vigezo vya uongozi kulingana na sifa za wanafamilia wao. Hivi kweli Mtunga sera, mchambuzi wa maswala ya kijamii na mtetezi wa katiba ya nchi awe anajua kusoma na kuandika pekee huku Karani mwongoza wapiga kura awe na...
Ibara ya 65 (2) inatanabaisha kuwa uhai wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania huwa unaanza pale pale wabunge waliochaguliwa baada uchaguzi mkuu kukutana kwa mara ya kwanza hadi litakapovunjwa na Rais wa kwa ajili ya uchaguzi mkuu ujao.
Juzi tumesikia rais akiahirisha shughuli za Bunge...
Zipo tetesi zinazagaa Kwa mtandandao eti wale mabaka wanamtaka mzalendo ndio atie Nia ya kugombea kiti kizito!Na jicho lao lipo kwa mwenza eti yeye ni mzalendo haswaaa!!
Sasa je Alie tia Nia tayari atakubali kumpisha mgombea mwenza!!?
Je tetesi hizo ni za kweli!!?
Nasikia ndio maana vikao vya...
Jana nimemsikia Samia akisema anasitisha shughuli za bunge tarehe 27 /6/2025 ila Bunge litavunjwa Tarehe 3/8/2025 nimesoma katiba yetu kwanza Ibara ya 65 ambayo inasema. Ninainukuu
" 65.-(1) Bila ya kuathiri masharti mengineyo ya Katiba hii, maisha ya kila Bunge yatakuwa ni muda wa miaka...
Habari zenu wakali, kichwa cha habari chajieleza ningependa kujuzwa bunge la 12 la jamhuri ya muungano wa TZ lilipangwa kuvunjwa tarehe 27/6/2025 lakini mwenye mamlaka kikatiba kuvunja bunge Rais ametangaza kuhairisha shughuli za bunge na kusema kuwa bunge litavunjwa rasmi 3/8/2025.
Je...
Anaandika Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Boniface Mwabukusi:
"Katika historia ya taifa letu, tangu kuzaliwa kwa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mwaka 1964, na hususan tangu kurejeshwa kwa mfumo wa vyama vingi mwaka 1992, Bunge la Kumi na Mbili (2020–2025) ndilo Bunge dhaifu...
Katika hotuba hiyo kuna mambo nilitarajia yatapata maelezo lakini hayakutokea. Lakini pia kuna yaliyoniacha nikitafakari.
1. Ujenzi wa uwanja wa ndege wa mwanza haukutajwa lakini nimesikia vingine kadhaa vikitajwa kama msalato na songwe.
2. Mv Mwanza imeishia wapi?
3.ujenzi wa barabara za...
Siasa za nchi zinachekesha. Kwa mara ya kwanza toka mfumo wa vyama vingi Baraza la wawakilishi na Bunge la Tanzania hayajavunjwa. Zanzibar Baraza la wawakilishi litavunjwa August 13. Wakati Bunge la muungano litavunjwa August 03. This means there's something behind the scenes.
Cha kushangaza...
Wanajf. Mimi Sijaelewa. Naomba kueleweshwa! Kuuliza si ujinga! msaada tutani.
Kuna msamiati ambao Leo umetumika wa kufunga Bunge na siyo Kuahirisha Bunge Wala siyo Kuvunja Bunge.
Nini tofauti kati ya Kuahirisha Bunge, Kufunga Bunge na Kuvunja Bunge?
Nina Swali Moja tu.
Je, hii siyo kusema...
Salaam!
Bunge halijavunjwa, limeahirishwa tu,
Sasa Nini kimelengwa hapo?
Ni kudhibiti wahamaji au ni mpango wa reforms kupata tume huru ya uchaguzi?
Karibuni 🙏
Kwa mujibu wa taratib naomba kujua ukomo wa ubunge, ni baada ya kuvunjwa bunge. Mtu anakuwa sio mbunge tena, je uwaziri unakaa pembeni? Tukumbushane wajuz wa mambo.
Mama leo hii na muda huu anafunga Bunge lake. Ni Bunge la Chama kimoja ni Bunge la kibabe na Bunge lisilotambua Vyama vingi!!
Ndo maana hata Spika wakti anatambulisha wageni sijasikia Kiongozi wa Kambi ya Upinzani kutajwa. Hakuna Covid-19, hakuna CHADEMA, hakuna ACT Wazalendo hakuna chochote...
Kwa upande wa Zanzibar tayari Mheshimiwa Hussein Mwinyi aliahirisha kuvunja Baraza la wawakilishi Zanzibar mnamo tarehe 23 Juni Kama ilivyokuwa imepangwa na badala yake akaongeza uhai wa Baraza la wawakilishi Zanzibar mpaka tarehe 13 August 2025.
Rais Hussein Mwinyi aliahirisha kuvunja Baraza...
Hellow!
Hawakuwa na chama, lakini walikuwemo bungeni,
Leo bunge linavunjwa rasmi,
Je, wao wataendelea kuwa wabunge?
Maana hata baada ya CHADEMA kuzuia kufanya shughhuli za kisiasa, wao waliendelea kuwa wabunge!
Karibuni 🙏
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.