“Simba hana haja ya kujitangaza. Ukisikia mwituni kimya kingi, ujue ama amecheua au yuko katika mawindo.”
Methali hii ya Kiswahili imenikumbusha taarifa ya tarehe 1 Juni 2025 iliyotolewa na Chama Cha Mapinduzi (CCM), ikitoa pongezi kwa Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kupokea Tuzo Maalum...
Ndugu zangu Watanzania,
Chama cha Mapinduzi CCM,chama kiongozi Barani Afrika,chama kilichobeba matumaini ya watanzania,chama kinachoaminika ,kupendwa na kuungwa mkono na mamilioni ya watanzania kimempongeza Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia...
Bunge la Tanzania limeziondoa section inayo onyesha CV za wabunge kwatika tovuti yao baada ya Gen Z wa kenya kuanza kutumia CV za wabunge wa Tz kwenye comedy zao.
Tulia, spika wa Bunge la JMT, amekuwa mstari wa mbele katika kutetea na kulinda utekaji na mauaji ya wakosoaji.
Mara mbili, wabunge waliomba Bunge lijadili utekaji na mauaji ya wakosoaji, lakini Tulia, kama spika wa Bunge la JMT, alizizima hoja za wabunge hao, na kuzuia kabisa zisijadiliwe...
Bunge la 12 Mkutano wa 19 Kikao cha 26 Mei 30, 2025
https://www.youtube.com/watch?v=8Orl0SHsmP8
Orodha ya Shughuli za Leo
Dua
Hati za kuwasilisha mezani
Maswali
Waziri mkuu yupo kwenye vikao nje ya nchi. Mkutano mkuu wa chama unaendelea. Means amekosa fursa yakunong'ona na wajumbe.
Mkutano huu kwenye analysis ya kisiasa alipaswa kukosa? Kwanini atumwe nje dakika hizi?
Unaweza kumshauri ajiandae kumwachia Doto kiti?
BUNGE LAPITISHA ZAIDI YA SHILINGI BILIONI 164.1 SEKTA YA ARDHI
Bunge limepitisha na kuidhinisha Bajeti ya Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kiasi cha shilingi 164,146,052,000/= ili kuendelea kutambua, kupanga, kupima na kumilikisha ardhi kwa ajili ya matumizi mbalimbali nchini...
https://www.youtube.com/watch?v=UfR2sHGnbYE
Bunge la 12 linaendelea na vikao vyake ambapo Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi inawasilisha bajeti yake kwa mwaka wa fedha 2025/26. Bajeti hiyo inawasilishwa Bungeni na Waziri wa wizara hiyo, Deogratius Ndejembi, ikilenga kuainisha...
Kuna kipindi Spika Ndugai iliwahi kusema mule bungeni kuna wavuta bangi balaa, na akashauri ikiwezekana hatua madhubiti zifanyike ili kunusuru ile hali. Bunge likazizima kwa makofi ikiwa ishara kuunga mkono hoja ile.
Juzi juzi, Mbunge Waitara akatoa pendekezo la kuomba ofisi ya spika ifanye...
Naibu Spika, alisimamia michango ya "waheshimiwa" Wabunge walipokuwa wakibwabwaja na kutoa kauli za kitoto na kijinga katika suala lililoanzishwa na Raisi Samia kuhusu wanaharakati wa Kenya kuja Tanzania. Wakati huo Dr Tulia hakuwapo bungeni.
Wengi wetu tulishitushwa sana na kauli zilizotolewa...
Ndugu zangu Watanzania, huu si wakati wa kimya. Tumevumilia kwa muda mrefu. Sasa ni wakati wa unfiltered truth. Tuko katika kipindi ambapo Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limepoteza kabisa legitimacy yake ya kikatiba. Limegeuka kuwa a ceremonial rubber-stamp institution, linalotumika...
https://www.youtube.com/watch?v=DHqu2q18Qzg
"Kukamilika kwa mapitio ya Sera ya Mambo ya Nje, Toleo la 2024, iliyoambatana na mkakati wa utekelezaji wake, ikiwa ni pamoja na matumizi ya Kiswahili kama nyenzo ya diplomasia."
"Katika Mwaka wa Fedha 2024/2025, Wizara iliidhinishiwa jumla ya...
afrika
afrika mashariki
balozi
balozi mahmoud thabit kombo
bungebunge la 12
dodoma
kikao
mahmoud thabit kombo
mambo
mambo ya
mambo ya nje
mashariki
mei
mkutano
mkutano wa 19
nje
tarehe
thabit kombo
ukumbi
ushirikiano
ushirikiano wa afrika mashariki
waziri
Katika kitabu che jina kusadikika kulikuwa na utawala ambao mtunzi mwenye maono makubwa ya mbali.
Kwenye kitabu cha mfalme juha nacho kina muonesha mtawala aliyekosa maono na kupendwa kusifiwa.
Ila kwa vile utawala ni kaptula la marx ndio limetufanya hivi.
Hivi vitabu vitatu vingeunganishwa...
Kupitia bunge letu tumeshuhudia mengi yakitokea pale mjengoni.
Hasa baada ya wanaharakati wa Kenya kukamatwa na kurudishwa makwao.
Wabunge wengi wamechangia wengi wao kwa hoja za kujenga na kulinda mahusiano yetu na majirani zetu.
Lkn pia kuna waliokuwa wamechangia Kwa hisia hasi utadhani...
Kichwa cha mada chajitosheleza. Hii inaleta picha kuwa hatuna cha kujadili juu ya nchi...vikao vya chama kwa sehemu zake ziko kujadili haya.
Ifike kipindi hata km tutakuwa wote ni Ccm ndani ya Bunge ni marufuku kuleta mada za chama. Hii inatujengea picha mbaya. Hatuwezi maliza mambo yetu ndani...
https://www.youtube.com/watch?v=wWgJjQl26cg
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu, Dkt Dorothy Gwajima anatarajiwa kuwasilisha makadirio ya mapato na matumizi ya wizara yake kwa mwaka wa fedha 2025/26, jijini Dodoma leo.
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia...
1. Kumsifia Rais.
2. Kuitetea Serikali, na ya mwisho ni,
3. Kujipanga kurudi tena bungeni ili kutekeleza no. 1 & 2.
Hawana kazi nyingine zaidi ya hizo, mbwembwe zote mnazoziona zipo kwenye cycle hiyo.
Usipotekeleza no. 1, hurudi bungeni. Straight RED card.
Usipotekeleza no. 2 huwezi...
Wakuu baada ya jana kusikiliza vijana pale bungeni wakijibu hoja za Gwajima nikajikuta natafakari kuhusu bunge kwa muda mfupi na hii ni namna ambayo nimeliona Bunge kwa mtazamo wangu.
Bunge la Tanzania.
Ni Bunge la Rais (SSH) sio la wananchi kwani hoja zao kila mara ni za kumsifia rais na...
Kwa mijadala ya Jana bungeni, hakika Bunge limekata mizizi yake ya kuwa chombo cha kuwawakilisha wananchi Kwa mujibu wa katiba ya nchi Bali rasmi sasa ni CHOMBO cha kulinda na kuwakilisha taasisi ya Urais.
Ajenda kuu iliyopo sasa uwe unataka ama hutaki, iwe unaizungumzia moja Kwa moja ama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.