Burundi: CNDD-FDD kuongoza Bunge bila mpinzani

Burundi: CNDD-FDD kuongoza Bunge bila mpinzani

VERITE-NUE

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2019
Posts
1,492
Reaction score
1,466
Kwa mjibu wa taarifa za awali, uchaguzi wa tarehe 5 Juni, 2025, unaiacha CNDD-FDD katika nafasi ya kuwa na wabunge wote wanaohitajika bungeni.

Kwa mjibu wa katiba ya Burundi, vyama vya siasa, vinahitaji angalau 2% ya kula zote, na mpaka sasa hakuna chama kilichofanikiwa kupata kura hizo.

Kwa wagombea binafsi, wanahitaji 40% ya kura. Na wao,hakuna hata mmoja. Hivyo, bunge lote linaenda kuwa la chama kimoja.
 
Kama ni "kula"
Kwa mjibu wa taarifa za awali, uchaguzi wa tarehe 5 Juni, 2025, unaiacha CNDD-FDD katika nafasi ya kuwa na wabunge wote wanaohitajika bungeni.

Kwa mjibu wa katiba ya Burundi, vyama vya siasa, vinahitaji angalau 2% ya kula zote, na mpaka sasa hakuna chama kilichofanikiwa kupata kula hizo.

Kwa wagombea binafsi, wanahitaji 40% ya kula. Na wao,hakuna hata mmoja. Hivyo, bunge lote linaenda kuwa la chama kimoja.
Kama ni "kula" sawa acha wagombanie msosi tuu
 
Uchaguzi wowote ambao chama fulani (sanasana chama tawala) eti kinapata asilimia kubwa kiasi hicho waga ni uongo wa hali ya juu.

Hata hapa tusubiri kuona chama tawala kikijipa asilimia karibu sawa na hizo za warundi.
 
Back
Top Bottom