bunge

  1. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Sasa Hili Uende Bungeni Ni Lazima Upendekezwe Na Rais Na Si Wananchi, Bunge linaendeshwa na Serikali Kuu

    Tumeona mara kadhaa Rais akikataa Wabunge fulani fulani wasipitishwe, kauli maarufu ni hile ya msiniletee Magwajima. Wananchi hawana tena uamuzi kwa kuchagua kiongozi wanayemtaka zaidi ya mamlaka kupanga nani awe mbunge, serikali kuu inaingilia maamuzi ya muimili mwingine ambao ni bunge...
  2. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kama Kweli CCM mtawaondoa Wachangamsha Bunge Akina Mpina, Bunge lijalo litakuwa Mithili ya Kanisa la Mwamposa

    Kama fununu kuwa Mpina kaondolewa asigombee ubunge,Bunge lijalo litakuwa la Watoa pongezi kwa viongozi kama waimba mapambia makanisani. CCM tukumbuke kuwa wananchi wanaliona bunge la Sasa ni afadhali mabunge ya enzi za Chama kimoja. Enzi hizo wabunge walikuwa machachali kama alivyo Mpina...
  3. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Uthibitisho wa CCM kuiangamiza Tanzania: Kama sifa ya kuwa Waziri ni kuwa mbunge, Ilikuwaje Mawaziri wanaendelea wakati Bunge limevunjwa?

    Kwa sie tuliozaliwa zamani kidogo tulikuta mfumo mzuri sana uliokuwa unaliendesha hili Taifa. Mfumo huo ni kwamba, baada ya Bunge kuvunjwa, Wizara zote zilikuwa zinaongozwa na Makatibu Wakuu hadi baada ya Uchaguzi na baraza jipya la Mawaziri kutangazwa na kuapishwa. Pia Katibu Mkuu kiongozi...
  4. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania GE2025 Zitto Kabwe: Bunge la Miaka Mitano iliyopita lilikuwa Buyu na Kibogoyo

    Miaka mitano hii imepita ni miaka migumu sana, sheria za hovyo zimepitishwa ndani ya Bunge, leo hii matukio ya utekaji yameongezeka mnaambiwa watekaji ni watu wasiojulikana, leo hii Usalama [Wa Taifa] wanaruhusiwa kukamata watu, wanaruhusiwa kubeba silaha kwasababu ya Bunge ambalo lilikuwa na...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Hizi kejeli za Wakenya dhidi yetu zina ukweli ndani yake? Kwamba bunge linaenda kuwa la Wachekeahaji na mambumbu!

    Mhimili muhimu kwa maisha ya watanzania kwa ajili ya kutunga na kuisimamia serikali imekuwa kama kihoja. Kwamba watu wa hovyohovyo wanaonyesha nia kwenda bungeni kana kwamba ni chooni. Wakenya wapo sahihi.
  6. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Bunge la kesho

  7. Superbug

    JamiiForums Tanzania Bunge la samwel SITA na la Tulia Akson je lipi lilikuwa bunge la wananchi?

    Tufanye tathmini ya bunge la Kasi na viwango la comrade samwel SITA na hili ambalo binafsi sijui lilisimamia nini maana wananchi walitekwa wakauwawa na Bado spika akazuia bunge kuiuliza serikali je lipi lilikuwa bunge Bora?
  8. Mung Chris

    JamiiForums Tanzania Lini Bunge letu litavunjwa

    Naomba mnijuze, wengine tumepotea mtujuze, Bunge la jamhuri ya tanzania lilikuwa livunjwe jana tar 3 sasa sijasikia live au sikuwepo labda, mwenye taarifa kamili atujuze lini litavunjwa.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Ndoto yangu 2025 - 2030 tuna na Bunge kama la Makinda na Samweli Sitta

    Nipo kwenye daladala, dereva amefungulia mziki mnene wa singeli, kondakta amevalia suruali ya bluu imejaa viraka kila kona na sehemu nyingine imechanika chanika, hana mpango wa kuishona wala kuifua Fulana yake ndiyo iliyonitambulisha kuwa kumbe zile ni yunifomu zake na polisi wa usalama...
  10. Knock life

    JamiiForums Tanzania Baada ya Bunge kuvunjwa rasmi, Je Dkt. Bashiru Ally anarudi UDSM kufundisha siasa na kuishi kwake pale Ubungo Maziwa?

    Bashiru Ally Kakurwa sijamuona akichukua Form Na sioni Kama akiteuliwa tena kwa Sababu alipopewa nafasi ya kutawala kosa kubwa alilofanya alitumia nguvu kubwa kutengeneza maadui . Je, atarudi Ubungo Maziwa na Udsm kuendelea kufundisha political science. Ushauri, mitaala imebadika kwa hiyo...
  11. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Esta Bulaya atahudhuria kikao Cha kuvunja bunge August 3 kama Mbunge wa chama Gani?

    Wakuu ukistaajabu ya Mussa utayaona ya Firauni. Taifa letu Sasa limekuwa kituko tena kituko haswa kwa haya yanayoendelea. Sasa huyu Esta Bulaya atahudhuria kikao Cha kuvunja bunge August 3 kama mwanachama wa chama Gani? Haya ni maajabu.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Takwimu ya Wabunge bubu kutoka Zanzibar imenistua sana!

    Tovuti rasmi ya Bunge inayo orodha ya wabunge wanaoongoza kwa kutochangia chochote kwa miaka mitano. Miongoni mwao ni Mbunge wa Tunguu (CCM), Khalifa Salum Suleiman, ambaye hajawahi kuchangia wala kuuliza swali la msingi au la nyongeza, sawa na Mbunge wa Mfenesini (CCM), Zubeida Khamis Shaib...
  13. Chief Mwanamalundi

    JamiiForums Tanzania Bunge lijalo

  14. Mzalendo2015

    JamiiForums Tanzania Akili Munemba(AI) inavotumiwa na Kenya kulinanga Bunge la 12 kama Bunge la Vihiyo

    https://youtu.be/txvRnIcB9tc?si=DI7EpxtR-jnsGoai Kumekuwa na matukio ya kushangaza tokea lile sekeseke la Wanaharakati wa Kenya kuja Tanzania kusikiliza kesi ya Mhe. Tundu Antipas Lissu, Mwenyekiti wa Chama kikuu cha upinzani CHADEMA. Wanaharakati hao baadaye walikamatwa na Polisi wa Tanzania...
  15. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Maajabu: Karani mwongoza wapiga kura anahitajika kuwa na elimu angalau kidato Cha nne ila Mbunge wa Bunge anahitajika kujua kusoma na kuandika pekee

    Hizi ni ishara za kuwa na watu waliovimbewa na kujiona wanaweza kutuwekea vigezo vya uongozi kulingana na sifa za wanafamilia wao. Hivi kweli Mtunga sera, mchambuzi wa maswala ya kijamii na mtetezi wa katiba ya nchi awe anajua kusoma na kuandika pekee huku Karani mwongoza wapiga kura awe na...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Kwa nini Rais ameahirisha shughuli za Bunge badala ya kulivunja kama katiba inavyosema? Kuna tatizo?

    Ibara ya 65 (2) inatanabaisha kuwa uhai wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania huwa unaanza pale pale wabunge waliochaguliwa baada uchaguzi mkuu kukutana kwa mara ya kwanza hadi litakapovunjwa na Rais wa kwa ajili ya uchaguzi mkuu ujao. Juzi tumesikia rais akiahirisha shughuli za Bunge...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Nasikia mgombea mwenza anapigiwa chapuo kisa mzalendo ndio maana Bunge halijavunjwa!!

    Zipo tetesi zinazagaa Kwa mtandandao eti wale mabaka wanamtaka mzalendo ndio atie Nia ya kugombea kiti kizito!Na jicho lao lipo kwa mwenza eti yeye ni mzalendo haswaaa!! Sasa je Alie tia Nia tayari atakubali kumpisha mgombea mwenza!!? Je tetesi hizo ni za kweli!!? Nasikia ndio maana vikao vya...
  18. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa mkoa anaagizwa akalinde heshima ya Spika wa Bunge Mbeya? CDM waliona mbali make vipi wangekuwa ulingoni na haya yakatamkwa?

    Bado kuna wahuni humu wanataka Sugu aende ACT wazalendo na agombee Ubunge?
  19. evangelical

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amepata wapi mamlaka ya kusema anasitisha shughuli za bunge?

    Jana nimemsikia Samia akisema anasitisha shughuli za bunge tarehe 27 /6/2025 ila Bunge litavunjwa Tarehe 3/8/2025 nimesoma katiba yetu kwanza Ibara ya 65 ambayo inasema. Ninainukuu " 65.-(1) Bila ya kuathiri masharti mengineyo ya Katiba hii, maisha ya kila Bunge yatakuwa ni muda wa miaka...
  20. Chura

    JamiiForums Tanzania Bunge kuvunjwa

    Habari zenu wakali, kichwa cha habari chajieleza ningependa kujuzwa bunge la 12 la jamhuri ya muungano wa TZ lilipangwa kuvunjwa tarehe 27/6/2025 lakini mwenye mamlaka kikatiba kuvunja bunge Rais ametangaza kuhairisha shughuli za bunge na kusema kuwa bunge litavunjwa rasmi 3/8/2025. Je...
Back
Top Bottom