bora

Borá is a municipality in the state of São Paulo in Brazil. The population is 838 (2020 est.) in an area of 119 km². The elevation is 582 m.
Borá is the least populated Brazilian municipality.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Je, bora mwanamke achepuke au ajichue?

    Wazee wanawake wengi wamekuwa wakijichua hata wakiwa wameolewa, japo hili Jambo huwa wanafanya Kwa Siri Sana, hata hivyo ni kwasababu hawajui wataonekanaje na waume zao wakigundulika wanafanya hivyo. Mi naamini kuna mazingira mengi yanaweza kufanya mke wako asiridhike na aamue kujichua au...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania namba 3 nchi bora kwa uwekezaji barani Afrika

    Na Mwl Udadis, Tarime Utafiti mpya kwa wawekezaji wa kimataifa na wa ndani umetoa takwimu kuwa Tanzania ni nchi ya tatu inayopendelewa zaidi kwa uwekezaji barani Afrika na ya kwanza kwa Afrika Mashariki. Hii ni kwa mujibu wa Kampuni ya wataalam wa kimataifa katika shughuli za mahesabu ya KPMG...
  3. JamiiForums Tanzania Marekani yasema hakuna kusitisha vita. Nchi za kiarabu zasema hakuna kuhama. Wapalestina wasema bora kufa ndani ya majumba yao. Safari hii ni tofauti

    Mpaka jana (tarehe 23 Oktoba) raisi Joe Biden wa Marekani ameendelea na msimamo wake kwamba hataki mashambulizi ya Israel yasimamishwe huku madhambulizi hayo yakizidi kuongezeka na kuzidi kuuwa watu. ====== 'Then we can talk': Biden says no ceasefire in Israel-Hamas war until hostages released...
  4. JamiiForums Tanzania Ningekaa kimya ningekufa nalo: Fabrice luamba ngoma midfilder teacher (airport) mchezaji bora wa super league

    Hakika ngoma aliimbwa, Airport Man of The Match Super League, Jezi no 6 mgongoni Tarehe 20, October majira ya jioni kabisa nilikuwa nimekaa na mtaalamu wa kusoma mchezaji wa mpira (scaut) kutoka Timu moja ya London, ambaye pia ni Coach na Game analyst. Tulikuwa tumekaa kutizama mpira katika...
  5. JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu: " Dunia ya sasa haimpendi baba bora/mume bora. Hizi ndio adhabu ambazo dunia itakupa kwa " kosa" la kuwa baba/ mume bora

    Baba bora ni nani? Baba bora ni yule anae wapenda, watunza na kuwajali watoto wake. Mume bora ni nani? Mume bora ni yule anae mpenda na kumjali mke wake na familia yake kwa ujumla. Je dunia inampenda baba bora/mume bora? The evidence says NO. Experience inaonyesha kwamba mwanaume ukijaribu...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Yericko Nyerere Mtanzania pekee anayewania tuzo ya Mwandishi bora wa Vitabu Afrika 2023

    Taasisi ya Tuzo za Zikomo Africa Award ya yenye maskani yake nchini Zambia imemtangaza kijana mtanzania ni mwanajukwaa mkongwe (mwasisi wa jf) Yericko Nyerere kuwania tuzo ya mwandishi bora wa vitabu Afrika. Yericko ni Mtanzania pekee aliyefanikiwa kuingia kwenye kinyang'anyiro hicho cha...
  7. JamiiForums Tanzania Bodi ya mikopo kama hamkuwa na budget ya kutosha bora msingeongeza bumu au kuwapa mikopo diploma

    Ni vilio tu huku, yaani waliopata angalau asimilia 2% ya Ada yao ni wale yatima au walemavu, ila wengine ni bumu tu. Hii imekatisha sana tamaa ya wanafunzi kuendelea na elimu ya juu kwani wengi wanaopitia advance wanakuwa na hali ngumu za kimaisha. Sifa tu kwamba wamewapa mkopo diploma afu...
  8. JamiiForums Tanzania Wenye imani kwamba mitandao ya kijamii haiwezi kukupa mke, mume au mpenzi wa kweli bora wajitoe wabaki kwenye mfumo wa kizamani na sehemu za ibada

    Utandawazi na njia za masiliano zime rahisisha namna ya kukutana na kufahamiana na watu tofauti na njia za kizamani za hadi ukutane na mtu uso kwa uso, mfano kanisani, kongamano, bar, harusini, dukani, barabarani, msibani, etc.etc. kufahamiana kwa namna yoyote ile ni halali, kitu muhimu ni...
  9. U

    JamiiForums Tanzania Ushauri SACCOSS na benki kipi bora?

    Naombeni mnaojua mnipe ushauri kwa sisi masikini kipi bora nikafungue akaunti saccoss au niende benki? Faida ni zipi kwa kila kimojawapo na hasara ni zipi! Njooni mnielimishe!!
  10. JamiiForums Tanzania Ipi ni kampuni yenye mabati bora Tanzania?

    Kuna lundo la Kampuni za mabati Tanzania, na Viwanda Kila Sehemu. Kuna lundo la Ma agent kwenye Milango ya Viwanda hivyo. Utapeli umekua mwingi kwenye swala la kununua Bati, usipo ibiwa Pesa, utaibiwa kuuziwa bidhaa mchanganyiko. Na istoshe bei zao pia ni zawizi sio bei halisi mbazo kiwanda...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Ukituliza kichwa sawasawa, mke bora anapatikana Baa huko kwingine ni unafiki tu

    Ujue ukitaka kupata kilicho bora ebu waza kinyumenyume na walimwengu baadae utanishukuru! Leo fundi SAMICO Baada ya kumaliza project kwa amani na mteja wangu niliamua kwenda bar kutafakari napataje kazi nyingine. Lakini nikiwa bar nimegundua ukituliza kichwa sawasawa huku ndiko waliko wake wa...
  12. JamiiForums Tanzania Hongera Mama Zara kwa Tuzo ya Kampuni Bora ya Utalii Afrika

    Kwa mara nyingine tena mwanamama Zainab Ansell Mkurugenzi wa Kampuni ya uwakala wa utalii nchini Tanzania ya ZARA TANZANIA ADVENTURE ,amenyakua Tuzo ya kampuni Bora ya Uwakala wa utalii Afrika ijulikanayo kwa Jina la 'Africa's Leading Tour Oparetor . Tuzo hiyo imetolewa na World Travel...
  13. JamiiForums Tanzania Serikali iwahamasishe wananchi wa mikoa ya Lindi na Mtwara kuwa na makazi bora

    Lindi na Mtwara ni miongoni mwa mikoa ambayo wananchi wake wana uhakika wa kupata fedha za pamoja tofauti na baadhi ya mikoa. Kuna msimu wa ufuta, vijana hupata mamilioni, msimu wa korosho wazee pamoja na vijana hupata mamilioni, msimu wa mbaazi pia huwapa mamilioni wakulima baadhi. Ila makazi...
  14. JamiiForums Tanzania Serengeti yashinda Tuzo Hifadhi Bora Afrika kwa mara ya tano mfululizo

    Hifadhi ya Taifa ya Serengeti, Hifadhi Bora ya Taifa Barani Afrika 2023, imeshinda tuzo hii kwa mara ya tano mfululizo, mwaka wa 2019, 2020, 2021, 2022, na sasa 2023. ================= Hifadhi ya Taifa Serengeti imeibuka kidedea kwa kuwa mshindi wa kinyang’anyiro cha Tuzo ya Hifadhi bora...
  15. JamiiForums Tanzania Breaking bad: TV show bora kabisa kuwahi kutokea

    Linapokuja suala la vipindi vya kusisimua vya televisheni, ni series chache tu zilizowahi kuacha athari kubwa kama series ya Breaking Bad. Series iliyobuniwa na director Vince Gilligan, hii ni hadithi ya uhalifu iliyoanza kuonekana kwenye skrini zetu mwaka wa 2008, na haraka ikawa ni ya kipekee...
  16. JamiiForums Tanzania Hivi mumeo au mkeo akikupiga kofi mbele ya umati wa watu Unafanya je wewe kama mke au mume bora?

    Hivi Mumeo au mkeo akikupiga kofi mbele ya umati wa watu Unafanya je wewe kama mke au mume bora?
  17. JamiiForums Tanzania Hassan Mwakinyo ndio bora wa wakati wote hapa Tanzania. Wabongo wanataka kumshusha

    Wote tunajua kwenye mchezo wa boxing hajawai kutokea bondia mwenye uwezo wa kupigana ngumi hapa bongo kama Mwakinyo. Dunia nzima inajua Hassan ndio alama ya boxing hapa Tanzania. Ndio biashara kubwa ya ngumi East Africa ukitaka kufanya biashara ya ngumi na upate hela isiyo na longolongo basi...
  18. JamiiForums Tanzania Mchakato wa upatikanaji wa madereva walio bora na smart zaidi

    Kati ya maeneo ambayo serikali inatakiwa kuendelea kutokea macho ni pamoja na usalama barabarani, sio tu kwa kuweka idadi kubwa ya askari wa usalama barabarani, wala sio tu kuhakikisha kila dereva eliyepo barabarani basi awe na leseni. Moja ya jambo kubwa ambalo serikali inatakiwa kulitolea...
  19. JamiiForums Tanzania Kuruka na malaya ni kujiaibisha bora nipande mnazi

    Aisee nisiposema nitakuwa mbinafsi .. Mazingira niliyonayo sijui ni wangapi wanaweza toboa hii life style Kwanza Mama mwenye nyumba wangu anamiliki Bar na hana mume, sasa bitch zinazopishana hapa ni kasheshe, Na mm ndio huwa nafungua geti mala nyingi.. Wauza bia wapo wawili wanakujaga kulala...
  20. JamiiForums Tanzania Mchezaji Jonathan Sowah wa Medeama apewa feni kama zawadi ya mchezaji bora wa mechi(MVP)

    Wikiendi hii timu ya mpira wa miguu ya Medeama ya nchini Ghana ilimenyana na timu ya mpira wa miguu ya Bechem Mpaka dakika tisini zinakwishwa matokeo yalikuwa Bechem 1-2 Medeama Chakufurahisha katika mechi hiyo Medeama walitanguliwa na Bechem Kwa goli moja amabalo lilisawazishwa na Jonathan...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…