bongo

Neno lisilo rasmi / la mtaani likimaanisha Tanzania. Linatumika badala ya neno Tanzania.
  1. JamiiForums Tanzania Miaka zaidi ya 30 ya bongo flava: Hizi ndio biti kali ambazo siku hio majani alikuwa ameamka vizuri na hakuwa na hangover za billcanas

    1: nini mnataka mazee - piggy black https://youtu.be/dCOyQ05vS68?si=uECRMWaSnpW4Q9CI 2: sonia - juma nature https://youtu.be/uA9-zhfpUjM?si=QhUUlDaEV8M1T-kh 3: ya leo kali - wachuja nafaka https://youtu.be/sB1mDNApBMk?si=M3SI1vQAvIa5ucy4 4: Mitungi/Mikasi - Ngwair...
  2. JamiiForums Tanzania Bongo Zozo amempost Humphrey Polepole, anadai amemmiss sana rafiki yake

    Leo nimeona Bongo Zozo amepost video ameweka na Caption "Nimemkumbuka sana rafiki yangu jamani 🥲🥲" Imefanya niwaze, ndugu, jamaa na marafiki wa Humphrey Polepole watakuwa wanaumia sana. Tunakoelekea Watanzania wataanza kuikimbia nchi yao wataanza kudhalilika kwenye nchi za watu kama Wanigeria...
  3. JamiiForums Tanzania Kampuni nzuri inayoaminika inayotoa huduma za hosting, domain na cloud server hapa Bongo

    Nalileta kwenu wataalam, Hivi kuna kampuni gani nzuri inayotoa huduma ya hosting hapa bongo, mana nataka kuhama kwa mtoa huduma wa sasa aliyeko nje, kwakuwa nilipata tabu wakati wa kurenew malipo kipindi hiki kutokana na sheria za TCRA za kutaka malipo yote ya nje yaambatanishwe na mkataba wa...
  4. JamiiForums Tanzania Wasanii wa Bongo Fleva kwanini mnapiga kelele wakati wa kuimba?

    Salaam Wakuu, 1. Ni aibu sana.. Msanii unaingia kuimba unapiga kelele. Kwa kelele hizo, pumzi zinakata hata hajamaliza Beti ya kwanza. 2. Wanalazimisha watu kuweka mikono juu, kupiga vigeregere, kuoiga miluzi nk. 3. Tumelipa kiingilio tuimbiwe, lakini msanii akipanda anamwambia DJ azime...
  5. JamiiForums Tanzania Hypothetically, Rais akiangalia tamasha la miaka 30 ya Bongo Fleva taswira yake inakua imechafuka?

    Naona wanakanusha, je hata kama si kweli , mheshimiwa Rais kuangalia 30 y Bongo flavor ni shida ? Najaribu kuwaza what if angeshangiliwa kwenye lile Tamasha, huu ufafanuzi ungetolewa kweli? Britanicca
  6. N

    JamiiForums Tanzania Nini kifanyike ili kuthibiti wanaharakati,magaidi na CHADEMA wasikwamishe salamu za mama kwenye matamasha ya miaka 30 ya bongo fleva?

    Baada ya kufanya uchunguzi wa kina na timu yetu toka Lumumba tumegundua kuwa wanaharakati, magaidi na CHADEMA ndio walionzisha zomea zomea wakati mwana FA alipotaka kuwasilisha salamu za serikali kwenye tamasha la bongo fleva. Tuligundua wanaharakati , magaidi na vijana wengi wa CHADEMA...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Show ya Miaka 30 ya Bongo Fleva. Je, Lugumi kafadhili hii Show?

    Katika pitapita zangu leo mtaani, nimekuta watu wakibishana kwamba miaka 30 ya Bongo Fleva pale Mlimani City , Ndugu Yetu Bilionea Lugumi kafadhili hii Show. Je, ni kweli???
  8. JamiiForums Tanzania Tuendelee kuheshimu na ku-support bongo flava honors ya inayoandalia na Sugu

  9. JamiiForums Tanzania Binafsi naunga mkono jinsi Dudu Baya alivyofunga shoo ya miaka 30 ya Bongo Fleva

    huwa simkubali Dudu Baya kwenye kila jambo, hasa pale ninapoona anaisifia sana serikali na ku m mention mama samia lakini kuhusu namna alivyofunga shoo kwangu ilikuwa poa Kufikia alfajiri watu wengi tayari wanakuwa wamechoka na wengine wanaanza kuondoka. Kwa hiyo niliona ile ilikuwa njia ya...
  10. JamiiForums Tanzania Kongole kwa old xcul Bongo flava 30 yrs Concert

    Hii ni kubwa sana , hongera kwa Event organiser wa old xcul Bongo flava 30 yrs, tunapata burudani na kumbukumbu za wayback .
  11. JamiiForums Tanzania Miaka 30 bongo flava wakati mashabiki wenu mkuwapata kwa mtindo kama ruge na wengine wangetumia

    Hii project ilitakiwa kuwa kwa jamii kuridisha shukrani kama wakongwe wa fiesta mkaleta matukio kama kila mlicho fanya,kukumbusha maduka ,watu kampuni. Hapa naona babu tale na cheo kesho sio mbali mtakuja kulia tukiwazika.
  12. JamiiForums Tanzania Mfalme wa Reggae Bongo Kupuuzwa na Fid Q na Madee Miaka 30 Bongo fleva

    Huyu mwamba alishapata tuzo ya msanii wa muziki wa Rege Bongo enzi hizo..alikuwa mnyamwezi sana..anasuka madredi yake toka kitambo.. Alifanya muziki mzuri sana hadi watu tukampenda sana..akawa na mdogo wake anaitwa Fatma ndio aliimba naye..wimbo fulani hivi, halafu huyo Fatma ndio akaimba na...
  13. JamiiForums Tanzania Game Theory na Ufahamu(Bongo)

    Game theory; Ni mkakati maalumu wa kupata matokeo uyatakayo kwa kutumia, kufanya au kushawishi maamuzi kabambe. Mfano. mchakato wa kuwapata viongozi nani anapendekeza kuwa fulani akagombee na kwa nini? Ufahamu/conciousness; Kitu pekee cha muhimu kwa mwanadamu hapa duniani na ndio siri msingi...
  14. JamiiForums Tanzania Bongo mambo mengi sana

  15. JamiiForums Tanzania Na bongo tufanye hivi ?

    Ila uwe na .........
  16. JamiiForums Tanzania Najua unaweza bisha ila kuna baadhi ya jamii hapa bongo kuzalia nyumbani ni kama sifa na normality

    Kanda ya ziwa, wajita. Kanda ya kaskazini, wairaq Kanda ya kati wanyamwezi na wanyaturu Kanda ya pwani
  17. JamiiForums Tanzania Its 2026, elon musk anatengeneza kifaa cha kusaidia vipofu kuona meanwhile bongo bado mambo ni haya

    Ukijaribu kusema unaambiwa hata wazungu wana uchawi wao😬 anyway, maisha yaendelee.
  18. JamiiForums Tanzania Utapeli upo huu upo? Ama kweli Bongo Dar es Salaam

    Siku kadhaa zimepita niliona jambo akili yangu ikawaza sanaaa. Je wajua jambo gani tiririka na uzi huu mwenetu. Bongo Dar es Salaam Jiji la watu wapatao milioni 6 na ushee wakubwa kwa wadogo lakini wote wakubwa. Jiji maarufu la vyakula vitatu wali, chips na ugali. Jiji lenye vyanzo...
  19. JamiiForums Tanzania Bongo Hip Hop

    Uzuri wa huu mchezo kuwe na distrac ya kundi na kundi, ama mtu na mtu. Unadhani ipi iliwaka sana hadi mchezo wa live ukatace place….
  20. JamiiForums Tanzania Google yawapa nguvu content creators wasiojulikana!

    Google imeamua kuwapa Nguvu waandaji maudhui wa mitandaoni 😲. Kama ulikua unasoma tu profile za watu maarufu ulimwenguni kupitia Wikipedia Sasa ni zamu ya Content creator bhana 👋. 🔍 Google imezindua rasmi Mfumo mpya unaitwa Creator Search Profiles!, ambapo watengeneza maudhui (Creators)...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…