Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,293
- 2,618
Kama wewe ni mpenzi wa Game la Mpira Nazani ๐ nikisema Division kwenye Eftooball unanielewa sio ๐.
Ukiwa unacheza hii Game kuna Division ukifika kupitia Ai au PVP uwa inakua ngumu sana unakuta kila unayekutana naye anakaza balaa ๐.
Ugumu unaanzia hapa Division 5 na 4 ila bado unaweza kucheza kwa utulivu ๐โฝ Lakini ukifika Division 3, mchezo unabadilika kabisa! ๐ฅ
hapo unakutana na opponents wenye defending kali, passing za haraka, pressing, tactics na finishing safi. ๐ฎโ๐จ
Kwa ufupi:
Division 5 โ 4: kawaida โญโญโญ
Division 4 โ 3: ugumu unaanza โญโญโญโญ
Division 3 โ 2: โญโญโญโญโญ ni moto
Division 2 โ 1: ๐๐ฅ โญโญโญโญโญ huku ni balaa.
Swali kwa wachezaji wa eFootball: Umefika Division gani, na ni Division ipi imewahi kukutesa zaidi pia ipi ni Ngumu Pvp au Ai ? ๐๐ฎโฝ