Ruby Aamua Kuacha Muziki wa Bongo Fleva na Kumrudia Yesu

Jannatul Firdaus

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2026
Posts
446
Reaction score
1,112
Mwanamuziki mashuhuri nchini Tanzania, Ruby, ametangaza kuanza sura mpya ya maisha yake kwa kuamua kuacha muziki wa Bongo Fleva na kuwekeza maisha yake katika kumtumikia Mungu.

Akiwa mmoja wa waimbaji wa kike walioacha alama kubwa nchini kupitia sauti yake ya pekee na uwezo wa kutumbuiza jukwaani (LIVE show), Ruby amekuwa akionyesha mabadiliko ya kiroho kwa muda sasa. Kupitia kauli na maisha yake ya hivi karibuni, msanii huyo ameweka wazi uamuzi wake wa kuingia kwenye huduma na kumfuata Yesu Kristo.

Uamuzi huo unagonga fikra za mashabiki wengi waliomfuatilia kwa miaka mingi, huku wengi wakimtakia kheri katika safari yake mpya ya kiroho licha ya kwamba sauti yake na nyimbo zake zitaendelea kukumbukwa kwenye tasnia ya burudani.

1787547824778.png
 
Nje ya mada kidogo!

Ruby ni mwanamziki mzuri, napenda nyimbo zake.

Japo sivutiwi naye kimapenzi.

Ningekuwa na uwezo ningemuoa maua sama, yule ni wife material kabisa.

Au kama Kwa kula Bata basi Linah Sanga anamaliza shida zote .
 
View attachment 3655933
Naikubali sana ngoma yake "niwaze" ft The mafik.
Anyway jambo jema tumtak8e kila la kheri.

Tujikumbushe kutoka studio

View: https://youtu.be/y9Zlw6J1u0U?is=ZUMHCNK_RRA-Pac4
 
Nje ya mada kidogo!

Ruby ni mwanamziki mzuri, napenda nyimbo zake.

Japo sivutiwi naye kimapenzi.

Ningekuwa na uwezo ningemuoa maua sama, yule ni wife material kabisa.

Au kama Kwa kula Bata basi Linah Sanga anamaliza shida zote .
Unampima vipi mtu ni wife material au wa kula naye bata kwa kuona nyimbo zake tu?
 
Nje ya mada kidogo!

Ruby ni mwanamziki mzuri, napenda nyimbo zake.

Japo sivutiwi naye kimapenzi.

Ningekuwa na uwezo ningemuoa maua sama, yule ni wife material kabisa.

Au kama Kwa kula Bata basi Linah Sanga anamaliza shida zote .
Sasa kama huvutiwi nae kimapenzi, sisi tufanyaje? Au aliletwa duniani kukuvutia kimapenzi
 
Back
Top Bottom