bodi ya mikopo

  1. JamiiForums Tanzania Je ni Kweli serikali imerudisha retention fees ya bodi ya mikopo? Ukweli ni upi?

    Wakati tunaingia mwaka 2022 Serikali ilipunguza mzigo kwà kiasi kikubwa sana wa bodi ya mikopo kwà wanufaika mfano kama mtu alibakiza 4M bàsi deni lilishuka mpaka 2M watu wakapata afueni sana ya maisha na wengi wao kwakuwa walipitia Kwenye tanuru la moto 2015-2020 baada tu ya mama kuondoka...
  2. JamiiForums Tanzania Mwaka 2022 ulivyowanyima Usingizi Bodi ya Mikopo (HESLB)

    Achana na watendaji wa Bodi ya Mikopo kwa Wanafunzi wa Eklimu ya Juu (HESLB), kuitwa mbele ya Kamati ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii, mwaka 2022 unaweza kuwa mwaka uliokuwa na hekaheka nyingi zilizowatoa jasho watendaji wa bodi hiyo. Moja ya mambo ambayo yaliwapa wakati mgumu watendaji...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Mikopo (HESLB) wanakata zaidi ya deni, ukiwafuata unaambiwa omba kurejeshewa kwenye mtandao na usubiri kwa miezi mitatu

    Makosa wafanye wao kukata zaidi ya deni mnufaika unalodaiwa halafu ukiwafuata wanakupa statement wenyewe inaonyesha kweli umekatwa zaidi. Badala ya kuhakiki deni lako na kukuandika hundi wanakwambia rudi nyumbani na kajisajiri kwenye mfumo udai kurudishiwa makato yaliyozidi. Wanakwambia subiri...
  4. JamiiForums Tanzania Bodi ya mikopo ya wanafunzi (HESLB) walishindwaje kukusanya 15% kutoka kwa makarani wa sensa?

    Good Afternoon jamiiforums. Bodi ya mikopo ya wanafunzi (HESLB) walishindwaje kukusanya 15% kutoka kwa makarani wa sensa? Jumla ya pesa walizolipwa makarani wa sensa ni takribani 1,200,00/= ambayo 15% yake ni 180,000/= Sio kila karani wa sensa ni graduate na mnufaika wa bodi ya mikopo, lakini...
  5. JamiiForums Tanzania Kukata rufaa Bodi ya mikopo

    Wapwa naombeni msaada. . Dirisha la kukata rufaa limefunguliwa RASMI HELSB tar 13/11/2022 .Nimepata mkopo ila sijaridhishwa na kiasi cha mkopo nilipata . Je naweza kukata rufaa?
  6. JamiiForums Tanzania TAKUKURU ichungezeni Posta wanapokea hela za fomu za watoto za Bodi ya mikopo wakilipwa hawapeleki kwa wakati

    TAKUKURU ichungezeni Posta wanapokea hela za fomu za watoto za Bodi ya mikopo wakilipwa hawapeleki fomi kwa wakati bodi ya mikopo zingine wakashikilia hadi muda upite. Vamieni ofisi za posta mfanye uchunguzi
  7. JamiiForums Tanzania Je, inawezekana Bodi ya Mikopo kuwakata wanufaika kwa kurusha/ skipping baadhi ya miezi?

    Kwenu wataalamu, rejea kichwa cha thread hii. Maisha ni magumu Sana, je, loan board wanaweza kukata 15% ya deni kutoka kwa mwajiriwa kwa kurusha baadhi ya miezi? Mfano: 1-3-5-7 au namna nyingine? Nawasilisha
  8. JamiiForums Tanzania Bungeni: 2016/18 Bodi ya Mikopo ilitoa Tsh. Bil 1.76 kwa wasio na sifa kwa maelekezo ya Serikali

    Ukaguzi uliofanywa na Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) umebaini HESLB iliwapa Mikopo Wanafunzi ambao hawakuwa Vyuo Vikuu kwa maelekezo ya Serikali. Pia, PAC imesema kati ya 2018/19 wanafunzi 2,852 walipangiwa mikopo chini ya kiwango kwa upungufu wa Tsh. Bilioni 1.14 huku Tsh. Bilioni...
  9. JamiiForums Tanzania Bodi ya mikopo (HESLB) kumgomea Waziri. Je, huyu Waziri anatosha?

    Bodi ya mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu wamemgomea waziri wa elimu, kwa kuipiga stop kamati yake chunguzuzi kukanyaga HESLB. Kutokana na uzito wa wajumbe wa bodi hiyo, waziri alishindwa kuwafanya kitu na badala yake aliibukia kwenye media na vitisho uchwara kwamba atawala vichwa...
  10. JamiiForums Tanzania Bunge: Bodi ya Mikopo inahitaji Tsh. Bilioni 800 kukopesha wanafunzi wote nchini

    Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii, Stanslaus Nyongo amesema Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu, (HESLB), inahitaji Sh800 bilioni ili iweze kutoa mikopo kwa wanafunzi wote waliodahiliwa kujiunga na vyuo vikuu. Nyongo ametoa kauli hiyo leo Jumanne Novemba Mosi...
  11. JamiiForums Tanzania Bunge kuihoji Bodi ya Mikopo sakata la upendeleo utoaji wa Mikopo

    Spika Dkt. Tulia Ackson ameitaka Bodi ya Mikopo (HESLB) kufika Bungeni kujibu tuhuma za kugomea Uchunguzi wa Kamati iliyoundwa na Waziri wa Elimu Profesa Adolf Mkenda. Prof. Mkenda ameituhumu HESLB kukataa kutoa ushirikiano na taarifa kwa Kamati yake kuhusu uwepo wa upendeleo wa utoaji Mikopo...
  12. JamiiForums Tanzania Wabunge wataka Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu ivunjwe

    Bunge la 12, mkutano wa 9 kikao cha kwanza. Wabunge kadhaa wakichangia muswada wa elimu wametaka bodi ya mikopo ya elimu ya juu ivunjwe kutokana na utendaji usioridhisha. Baadhi ya mambo waliyoyataja ni pamoja na Bodi ya Mikopo kuchelewesha mikopo au kutoa mikopo kwa ubaguzi. Wabunge hao...
  13. JamiiForums Tanzania HESLB yakwepa kuhojiwa kuhusu upendeleo wa mikopo

    Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda ameionya Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) akidai inaingilia kazi ya timu aliyoiunda kuchunguza uhalali wa utoaji wa mikopo kwa wanafunzi. Timu hiyo iliundwa Julai 31 mwaka huu, baada ya kuwapo malalamiko mbalimbali...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Ombi kwa Bodi ya Mikopo (HESLB): Wasaidieni vijana wa elimu ya juu kwa kuongeza kiwango cha mikopo

    Gharama za maisha zimepanda; hii ikimaanisha bei za vyakula na bidhaa zingine muhimu ikwemo huduma za steshenari, afya, usafiri, vyombo vya usafi na vingine vingi. Ninayo imani Bodi ya Mikopo ya Elimu yavJuu ya Tanzania (HELSB) mnafahamu na kuelewa juu ya kupanda kwa gharama za maisha na...
  15. JamiiForums Tanzania Bodi ya mikopo HESLB eneo la 'select applicant category' halifanyi kazi kwenye online form yenu

    Bodi ya mikopo HESLB eneo la select applicant category halifanyi kazi kwenye online form yenu Vijana wanashindwa ku select category Watu wa IT rekenisheni
  16. JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa mshahara wa Afisa Mikopo wa Bodi ya Mikopo

    Habari Team, Mwenye kujua ni kiasi gani afisa mikopo wa loan board analipwa kuanzia basic salary
  17. JamiiForums Tanzania Serikali iingilie kati Suala la Bodi ya Mikopo. Ni Kama wamefanya makusudi maombi yashindikane

    Habari wadau. Naongea na watu wa bodi ya mikopo HESLB. Vijana wetu wanaenda kuomba mikopo kwenye website yao na hakuna msaada. Kwa mfano wamehitaji namba ya NIDA kwa hawa vijana. Baadae wanasema ni lazima Ufanye attachment ya kitambulisho cha NIDA. Watanzania kibao wana namba. Ok basi itokee...
  18. C

    JamiiForums Tanzania SoC02 Taaluma yangu Mashakani

    TAALUMA YANGU MASHAKANI. Elimu Tanzania imekuwa sekta ambayo inatazamwa kama chanzo au nyenzo kuu ya kuzalisha wasomi au watatuzi wengi wa matatizo yanayoikumba jamii katika nyanja zote za maisha lakini imekuwa tofauti hadi sas wasomi kuzalaulika kwa jamii na kuonekana kama wajinga maana wasomi...
  19. F

    JamiiForums Tanzania SoC02 Ili kupunguza ukosefu wa ajira, bodi ya mikopo itoe mikopo ya kujiajiri kwa wanachuo wahitimu wanaotaka kujiajiri

    Hello wadau wa JF, Nimekuja kuwashirikisha wazo ambalo likifanyiwa kazi linaweza likaleta mabadiliko makubwa kwa watanzania. Andiko langu limelenga katika sekta ya elimu kwa sababu ya imani yangu juu nchi yetu yenye Mali nyingi na wasomi wengi lakini tunaishi kimaskini. Licha ya kwamba elimu...
  20. 5

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Mikopo (HESLB), mfumo unasumbua kujaza fomu online

    Bodi ya mikopo kwanini unapojaza taarifa kama tarehe ya kuzaliwa ya muombaji, wilaya mkoa bado kuna question mark mfumo haukubali? Nani amefanikiwa kujaza hizi form kwanini mara hii imekuwa complicated kiasi hichi nina lisit ya wanafunzi tele hapa imegoma eneo hilo. Simu za bodi hazipatikani.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…