National Commercial Directory
Ukihitaji namba za shirika lolote lile la kiserikali na baadhi makampuni ya binafsi na hata mashirika yote ya kimataifa utapata hapa www.ncd.co.tz
Utapata:
-Namba zao za Simu
-Sehemu Walipo(ofisi)
-Email zao
-Website zao
Kwa mfano Kwenye Directory yetu...
Serikali imeanza kuwasaka madakitari walioacha kazi serikalini kwenda kwenye sekta binafsi.
Kuna walimu wengi sana waliosomeshwa na serikali na kuajiriwa serikalini aidha wako kwenye shule za private au wameacha fani zao na kuwa wanasiasa, kama ni hivyo nao wasakwe warudishwe serikalini...
Prof. Mchembe amesema serikali imepiga marufuku hispital binafsi kupandisha bei kwa wagonjwa wenye matatizo ya kupumua.
Prof. Mchembe amesema ameona kwenye mitandao baadhi ya hospital zimeongeza bei na kutahadharisha kuwa siyo kila mwenye matatizo ya kupumua ana Corona.
Source ITV habari...
Mbinu Binafsi Dhidi ya Korona
NARUKA!: Haya ni maoni binafsi. Mimi si daktari tabibu wa binadamu (MD). Ukiyafuata yaliyoandikwa humu ni kwa hasara na hatari yako mwenyewe. Yaliyoandikwa humu siyo ushauri wa afya. Pata huduma kwa watoa huduma za afya wanaotambulika na mamlaka husika kwa masuala...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.