binadamu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ruvuma: Akamatwa na fuvu linalodhaniwa kuwa ni la Binadamu na vipande vya ngozi wanyama pori kwenye begi la mgongoni

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Ruvuma katika kuzuia na kutanzua uhalifu kwa kipindi cha mwezi Januri,2024 tumefanikiwa kuendesha Operesheni, misako na doria mbalimbali maeneo yote ya Mkoa wa Ruvuma ambapo katika misako hiyo tarehe 07.01.2024 katika kijiji cha Nahoro, Kata ya Luegu Wilaya ya Namtumbo...
  2. JamiiForums Tanzania Taarifa Potofu zimekuwepo kwenye Historia ya Binadamu kabla hata ya kugunduliwa kwa Mitandao ya Kijamii

    Habari potofu au habari za kupotosha zimekuwepo kwa muda mrefu kabla ya kuibuka kwa mitandao ya kijamii. Hata kabla ya enzi za teknolojia ya digitali, watu walikuwa wakitumia njia mbalimbali kusambaza habari potofu kwa lengo la kufikia malengo yao, iwe ni kisiasa, kiuchumi, au kijamii. Hapo...
  3. JamiiForums Tanzania Binadamu tuliumbwa tutembee peku. Viatu vinatuharibu miguu

    Kutembea peku kunafanya miguu itanuke na vidole viachane hivyo kumpa mtu balance nzuri sana. Viatu vinaharibu miguu ya binadamu na kumfanya asiwe na balance wala mwendo mzuri. Tutembee peku hapa na pale.
  4. JamiiForums Tanzania Hivi unajua Kuku ni wengi sana duniani kuliko binadamu?

    Kulingana tafiti za shirika la chakula na kilimo duniani:- Food and Agriculture Organization (FAO) za mwaka 2023, Kuna kama kuku 34.4 Billion ambao bado ni wazima au zaidi ya hapo kwa sasa duniani. Huku ukilinganisha na idadi ya binadamu waishio kwa ambayo mpaka sasa inasomeka...
  5. JamiiForums Tanzania Faida za Maji ya Bamia kwa mwili wa binadamu

    Bamia ni mboga yenye umuhimu mkubwa katika lishe yetu na maji yake yana faida nyingi kwa afya. Mbali na kutumiwa kama sehemu ya mboga kwenye mchuzi au rosti ya mboga, maji ya bamia yana umuhimu wake ambao mara nyingi huenda usifahamike sana. Virutubisho muhimu zinavopatika ndani ya maji ya...
  6. JamiiForums Tanzania Umuue binadamu mwenzako kwa mawe kisa dini, halafu uje kugundua huyo 'Mungu' wako hayuko!

    Unamzika mtu akiwa hai, tena kwa ukatili, yote hii kisa sheria za kidini, halafu ukifa uje kushangaa huyo ambaye umekuwa ukimuabudu na kusababisha ufanye ukatili mengi kumbe siye. Mimi japo ni muumini wa uwepo wa Mungu, lakini haya masuala ya kiimani ni ya mtu binafsi na wala sina uwezo wa...
  7. JamiiForums Tanzania Binadamu tunakutana: Leo nimekutana na mwalimu wangu wa bible O - level, nina furaha sana

    Habari za uzima wakuu? leo baada ya kuwepo mapumziko na mama watoto na mwanangu nyumbani ,jioni nikapokea simu ya sister wangu akiniambia nimsindikize airport anasafiri. Nikamuambia sawa basi nikatoka na wife na mwanangu mpaka kwa sister, nikamkuta ameshajiandaa akamwita wifi yake chumbani...
  8. JamiiForums Tanzania Binadamu anaweza kutibu ugonjwa wa kuzeeka?

    Leo hii duniani hakuna ugonjwa unaoua watu wengi kama kuzeeka. Zaidi ya asilimi 60 ya watu wanaokufa leo hii wanakufa sababu ya uzee. Ugonjwa wa kuzeeka unatokea pale seli za mwili zinapoacha kugawanyika na kutengeneza seli mpya. Inadaiwa kuwa kwa wastani seli ya binadamu inaweza kugawanyika...
  9. JamiiForums Tanzania Tuzifahamu familia 13 za Illuminati zinazoiendesha dunia na maisha ya binadamu katika nyanja zote

    TUZIFAHAMU FAMILIA 13 ZA ILLUMINATI ZINAZOIENDESHA DUNIA NA MAISHA YA BINADAMU KATIKA NYANJA ZOTE. Kwa nini ni muhimu kuzifahamu familia 13 za illuminati? Katika kitabu kinachoitwa"Holy blood Holy Grail" unaweza kuona umuhimu wa kuzifahamu familia hizi 13 zinazoutikisa ulimwengu bila ya...
  10. JamiiForums Tanzania Road map 2024 Kwa Vijana: Kuwa Mtu katikati ya Binadamu

    ROADMAP2024 Kwa Vijana: Kuwa Mtu katikati ya Binadamu. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Unaweza ukajiuliza kwa nini katika sensa za zamani Wanawake hawakuchukuliwa kama Watu. Hata katika Biblia tunaona Yesu akilisha Watu(wanaume) elfu tano huku wanawake na watoto wakiwekwa kando. Jambo hilo...
  11. JamiiForums Tanzania Nimechinja mbuzi nimekutana na hiki kwenye ubongo, je binadamu tunayo?

    This dude!
  12. JamiiForums Tanzania Mlisema January Makamba anahujumu TANESCO ameondoka basi muacheni yeye ni binadamu kama nyie

    Wakati January na Maharage wakipambana kuleta suluhisho la kudumu TANESCO maneno yalikua mengi, tunajua waliokosa tenda na waliokuwa wanufaika wa TANESCO walilipa machawa kuendesha vita na January kupitia mitandao ya kijamii ilikua kila siku hukosi makala tano za kumsema makamba. Rais Samia...
  13. JamiiForums Tanzania Hakuna binadamu wa udogo, dunia itambue maumivu ya Wapelestine

    Hasira walizonazo watanzania, wapalestina wanaishi nazo miaka miaka yote. Let’s be realistic. Kilochofanyika na Hamas sio sahihi lakini kinaelezeka. Tatizo watu wanaendeshwa na chuki ya dini. Kuna mtu humu amekua na hasira mpaka kusema atamtafuta member ambae yuko upande wa palestine. Hasira...
  14. JamiiForums Tanzania Binadamu hanaga shukrani hivyo kama unampenda we mpende tu

    Binadamu siku zote hanaga shukran hivyo kama unampenda wee mpende tu tena mpe kila kitu ila hatutaki kelele baadae. Wengi wamelizwa kwa kusubiri kutegemea SHUKRANI kutoka kwa wapenzi wao kutoka kwa WATOTO wao kutoka kwa MARAFIKI zao. Hivyo basi kama unampenda wee mpende tu tena mpe kila...
  15. JamiiForums Tanzania Binadamu wote hatuna akili timamu

    Tunazidiana tu ukubwa wa changamoto hiyo. Uthibitisho tunaupata hapahapa.
  16. JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa Uchimbaji Visima aondolewa kwa kutofika Hanang baada ya Mafuriko

    Waziri wa Maji Jumaa Aweso amemuondoa kwenye nafasi yake Mkurugenzi wa Sehemu ya Uchimbaji wa Visima na Ujenzi wa Mabwawa, Mhandisi Mashaka Sitta baada ya Mhandisi Sitta kutotimiza vema majukumu yake katika eneo hili muhimu la uchimbaji wa visima na ujenzi wa mabwawa na usimamizi wa mitambo na...
  17. JamiiForums Tanzania Kiasili Binadamu hapendi Uhuru lakini anauogopa Uhuru

    Habari ya leo wanajamvi. Ninatoa Pole na hongera mnapofanya kazi zenu kwa jitihada kubwa. Mola awajaalie mema yazidi kuongezeka. Moja kwa moja ninawakaribisha kwenye Mada: Katika mtazamo wa kwanza jambo hili huonekana kuwa si kweli. Tangu wakati wa Plato kumekuwepo na mawazo kuwa Binadamu siku...
  18. JamiiForums Tanzania Video: je wanyama Wana hisia kama binadamu?

    Nimeona video Moja nyati wawili wakiwa wanapigana, then akaja nyati Mwingine akamshambulia Mmoja Kati ya wale nyati waliokua wanapigana. Nikawa najiuliza je nyati Wana hisia kama binadamu? Kwamba labda na wenyewe wanaweza kua na rafiki damudamu mpaka akamsaidie? Mfano kama jinsi kundi la nyumbu...
  19. JamiiForums Tanzania Binadamu Mwenye Umri Mkubwa Kuliko Binadamu Wote Duniani ni Kane Tanaka, Mjapani Ana Umri wa Miaka 121, Atoa Siri ya Kuishi Umri Mkubwa

    Wanabodi This is C&P kutoka mtandao wa Quora. Story Time The Oldest Woman in the World Breaks Her Silence Before Her Death and Reveals Her Secret 2 years ago A video of a monk who was rumored to be 163 years old went viral a few days ago leaving people startled as a result some internet users...
  20. JamiiForums Tanzania Hivi Watu huwaga ni kina nani haswa? Je, katika maisha haya ili ushinde lazima uungane na watu? Nini tofauti kati ya binadamu na watu?

    Uzoefu unaonyesha kwamba kundi la " watu" ndio lenye nguvu zaidi hapa duniani.. Je " watu" ni kina nani haswa? A. MTAZAMO WA KIROHO: Ukimuuliza mwanasayansi kwanini Mungu alimuumba kwanza Adam then akamuumba Hawa? unaweza kupata jibu kwamba lengo la Mungu lilikuwa ni kumuumba Hawa. Why...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…