bila

The Battalions of Light Infantry of Africa (French: Bataillons d'Infanterie Légère d'Afrique or BILA), better known under the acronym Bat' d'Af', were French infantry and construction units, serving in Northern Africa, made up of men with prison records who still had to do their military service or soldiers with serious disciplinary records.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Utawala wa Awamu ya 5, Paulo Makonda alisingizia Watu kuuza Madawa ya kulevya bila Ushahidi wowote. Alilenga kuwadhalilisha tu

    Tunahitimisha zile nyuzi zetu za mwezi wa Mungu , Kwenye utawala wa awamu ya 5 , Bwana Paulo Makonda aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam , alijipa cheo cha Kitengo cha kudhibiti Madawa ya kulevya kabla ya kudhibitiwa, huku akiutangazia umma kwamba ataweka hadharani Majina ya Waingizaji na...
  2. G

    JamiiForums Tanzania Just Imagine Yanga imecheza bila key players na imetoa Draw kwa Mamemlodi, Ndio maana halisi ya kikosi kipana

    Nilipokiona kikosi hakina key platers kina Aucho, Yao na Pacome niliwacheka sana Yanga kwamba wamevamia mtumbwi wa vibwengo, Nilikdiria hazipungui nne 4G ila mambo yamekuwa tofauti. Japo mmecheza kwa kupaki basi na kuzidiwa possesion tena nyumbani 😂 ila mmeweza kuzuia aibu ya kufungwa, salute...
  3. JamiiForums Tanzania TBC: Mfanyakazi aliyesoma habari kuhusu Meli ya MV Mwanza amechukuliwa hatua

    Vongozi wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) unapenda kutoa fafanuzi kuhusu sehemu ya maudhui ya matangazo mbashara ya hafla ya ushushaji wa Meli ya MV Mwanza, Ziwa Victoria iliyofanyika tarehe 12 Februari, 2023 kwamba mtangazaji alichokusudia kukisema ni kuwa MV Mwanza itasafirisha mizigo...
  4. JamiiForums Tanzania Ni lini Mashirika ya serikali yatajiendesha bila ya kupata hasara?

    Salaam! Mashirika ya kiserikali ni taasisi zinazofanya kazi kwa uhuru kwenye baadhi ya mambo na pasipokuingiliwa kwa majukumu lakini kwa asilimia kubwa hizi taasisi zinakuwa monitored by Government Ministries (Single Tier),imekuwa ni kawaida kwa serikali kutenga kiasi cha fedha ili kuzipa...
  5. JamiiForums Tanzania Kwani Mahubiri bila shuhuda kwani hayawezikani?

    Natumaini wote tuko pao kabisa kwa uwezo wa Mungu Hivi kuna ulazima gani kwa hawa ndugu zetu wanao jiita Wachungaji sijui waubili sijui mitume maana naona kama ushuhuda mwingi umejaa uwongo sana na watu kuingizana mkenge. Maana naongea haya nimeyashuhudia hapa ninapo kaa kuna mzee mmoja...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Nasema na narudia tena hapa Tanzania timu yenye uwezo, kiwango na ubora wa kuikabili Mamelodi Sundowns bila ushirikina ni Azam FC tu

    Yaani kwa namna unavosikia mbwembwe na majigambo kuwa Mamelodi atakufa cjui Mudathiri ndio siku yake hiyo wala sio uwezo wa kocha, kocha kesho ana mchango wa asilimia 30 tu, 70% ameachiwa mganga. Ni azam pekee ndio yenye wachezaji wenye quality, kiwango na uwezo wa kuikabili timu yoyote hapa...
  7. JamiiForums Tanzania Mtazamo wa jamii kuhusu ushoga kunaupigia chapuo pengine bila kujua

    Mabibi na Mabwana! Siku za nyuma kidogo, kulikuwa na wimbi la kuona kila mtu mwenye mafanikio ni Freemason. Hii ilienda kisha ikapotea, sina uhakika ilipotelea wapi ila siku hizi sio habari tena. Sijui ndo agenda ilishatimilika au ilishakufa! Kwa sasa upepo umegeuka kwa kasi ya kimbunga, kila...
  8. JamiiForums Tanzania Israel maji ya shingo yakiri bila msaada wa Marekani haiwezi kushinda vita dhidi ya Hamas

    Israel may not be able to destroy Hamas despite five months of intense fighting in Gaza, intelligence officials have admitted. The main objective of the Gaza invasion faces failure as international support turns against Israel, sources warned. Israel believes it has dismantled Hamas’s main...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia katuwezeshea Watanzania ujasiri wa kuhoji na kukosoa bila kuogopa kiasi kwamba ni rahisi kumkosoa Rais kuliko Mbowe

    Leo Watanzania ni wajasiri sana wa kuhoji na kukosoa kijasiri Kila kinachofanyika bila hofu wala uoga ,sio mitandaoni wala mitaani nguvu ya kuhoji na kukosoa inaongezeka. Nitakuwa mchoyo wa shukrani kama nisipompongeza kiongozi wetu shupavu Rais Samia kwa kutufikisha kwenye ujasiri huu. Rais...
  10. JamiiForums Tanzania Kwenye msitu wangu kuna black mamba/ koboko natafuta njia za kumwangamiza bila kuleta madhara kwenye jamii

    Jf salaam🙏 Ni muda sasa tangu aanze kuonekana huyu nyoka hatari koboko na inasemekana wapo wawili. Taarifa zilianza kunifikia kutoka Kwa wazee wangu maana huo msitu ukweli sio wangu ni wa mzee ila kaniruhusu kufanya shughuli zozote za kujiingizia kipato. Mara kadhaa amekuwa akionekana na...
  11. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dkt. Ndugulile: Uchaguzi wa 2020 ulikuwa na dosari ambayo hatuwezi kuificha, siungi Mkono kupita bila kupingwa

    "Uchaguzi wa 2020 ulikuwa na dosari ambayo hatuwezi kuificha, haiwezekani wagombea wa upinzani tu ndio hawakujua kujaza fomu ipasavyo halafu wagombea wa CCM wakaweza kujaza fomu ipasavyo kila mahali” Dkt. Faustine Ndugulile. Ndugulile amesema haungi mkono suala la wagombea kupita bila kupingwa...
  12. JamiiForums Tanzania Kujitegemea maisha kipindi nipo chuo cha afya bila msaada wa wazazi

    Kama mpo mlio weza naomba mnipe codes hususani kipindi cha rikizo
  13. W

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa Manispaa ya Ilala atoe ufafanuzi hii kodi ya taka inayodaiwa mtaani bila risiti

    Mwenyekiti anakwambia uwe na shimo la kuchomea taka nyumbani unafanya, hujaakaa vizuri wanapita watu wanataka utoe elfu tano ya taka kwa mwezi na wanasema ni maagizo ya Mkurugenzi, tunataka ufafanuzi
  14. JamiiForums Tanzania Maji kuisha kwenye tank bila kutumiwa

    Habari zenu wakuu, Kuna changamoto imekuwa inajitokeza nyumbani naomba mawazo yenu! Home kuna tank la litre 5000 ila limekuwa likiisha maji hata kama maji hayajatumiwa! Unakuta tank tunajaza mpaka juu lakini linaisha fasta bila hata matumizi! Mvua zilinyesha kama siku 3 zimepita tank likajaa...
  15. C

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa Manispaa Hadi Kulipishwa Faini ya Kujenga Bila Kibali

    Wakuu heshima kwenu Nahitaji msaada kuhusu utaratibu wa Manispaa pale ambapo mhusika amegundulika kuwa ameanza ujenzi wa nyumba ya makazi ya kawaida isiyo ghorofa kwenye kiwanja chake halali kisicho na mgogoro wowote lakini bila ya kuwa na kibali cha ujenzi kuoka manispaa. Jee, ni sawa kama...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Wanasheria nisaidieni: Nina eneo langu lakini nimekuta limepangiwa matumizi bila kunihusisha

    Wameligawa kuwa la open space, PB, shule , kanisa, msikiti, makazi etc etc. Sheria iansemaje na kama una case law kuhusu scenario hiyo naomba
  17. JamiiForums Tanzania Houthi wailalamikia US kwamba inapiga bila kuchagua pakupiga

    Walalamika na kusema USA wameanza mashambulizi ya kupiga popote na hii inaleta hatari kwa wasiohusika..... Muhammad Ali Al-Houthi condemns American-British strikes in Yemen, alleging aid to Gaza blockade; Red Sea shipping attacks persist. By REUTERSMARCH 23, 2024 03:27Updated: MARCH 23, 2024...
  18. JamiiForums Tanzania Marekani yaacha kuiendekeza Israel. Yapeleka azimio UN kutaka vita vya Gaza visitishwe bila masharti yoyote

    Mfadhili mkubwa wa Israel,Marekani baada ya kuona madhara kwa pande zote ya vita vya Gaza,ghafla imebadili mwelekeo na kupeleka azimio baraza la usalama la Umoja wa mataifa linalotaka vita hivyo visitishwe haraka. Katika azimio lililopelekwa baraza hilo mwezi Februari kikwazo ilikuwa ni Marekani...
  19. JamiiForums Tanzania Mashabiki wa Yanga bila dezo hawaendi uwanjani

    Ni aibu mashabiki mechi kubwa kuingia dezo,uongozi wa Yanga umekuwa ukiamini mashabiki wao bila kiingilio kuwa bure hawezi kuingia uwanjani, kwanini wanapenda bure? Mechi kubwa kama hii kama ni bure je kwenye mechi ndogo ndogo hawa mashabiki wataenda uwanjani? Kitu ukitolea jasho na gharama...
  20. JamiiForums Tanzania Siku ya Furaha duniani: Je unatambua kuwa bila ya kuwajibika(responsibility) haiwezekaniki kabisa kuwa na FURAHA ya kweli? Siongelei RAHA

    Je? mtu anaweza kuwa na furaha bila ya kuwajibika. Hapana. Hiyo haipo kabisa. Kwa nini ninasema hivyo? Kabla sijaanza naomba kuanza na ufafanuzi kiasi; Furaha inahusianishwa na hisia za utulivu na kutosheka na kile kilichopo (what IS). Utulivu wa moyo unakuja pale ambapo mtu anahisi anao uwezo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…