bila

The Battalions of Light Infantry of Africa (French: Bataillons d'Infanterie Légère d'Afrique or BILA), better known under the acronym Bat' d'Af', were French infantry and construction units, serving in Northern Africa, made up of men with prison records who still had to do their military service or soldiers with serious disciplinary records.

View More On Wikipedia.org
  1. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Haya mambo tuambizane Ukweli bila woga. CHADEMA mnanisikia? Toeni Tangazo tujue moja

    Corona, Covid 19? Imeisha? Imeishaje ishaje? Mbowe si alikuwa mpaka anavaa gloves zile za waendeshea pikipiki? It was stupid. Nliwahi sema aachane na hayo mambo ya kijinga mkanitukana sana. Mimi nitasema ukweli fitna kwangu mwiko. Tunaona kwenye kikao hakuna aliyevaa Barakoa, hakuna social...
  2. Sang'udi

    JamiiForums Tanzania Mwaka mmoja bila Magufuli: Wasiokuwa wazalendo waendelea kuweweseka

    • Legacy waliyopambana nayo kuifuta ndio kwanza inazidi kujidhihirisha. Hata mabeberu sasa wanaiga falsafa za Magufuli, angalia kwa mfano suala la Covid-19. • Watanzania wengi wazalendo na wanyonge wanazidi kuumia na hivyo wanammisi kwa kasi. • Kanisa Katoliki linaendelea kumuombea pumziko la...
  3. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Bila kutaja miaka yako, tuambie una umri gani

    Kama mimi naanza hivi...
  4. kavulata

    JamiiForums Tanzania Vyama vya upinzani mwacheni Rais Samia 2025 apite bila kupingwa ili awanyooshe mapito yenu 2030

    Kwa namna tume ya uchaguzi, Katiba na kanuni za uchaguzi zilivyo sasa hivi itakuwa kazi bure kama vyama vya upinzani vitashiriki chaguzi bila kufanyiwa mabadiliko muhimu ya kidemokrasia, ni kweli au uongo? Rais Samia ana exposure kubwa sana katika katika duru za kimataifa kuliko Rais yeyote...
  5. Forest Hill

    JamiiForums Tanzania Je, ni sawa kisheria kwa mwanamuziki kumtaja mtu au brand kwenye nyimbo yake bila ridhaa yake?

    Habari zenu ndugu zangu, hii thread sio kwaajili ya kejeli au kusutana, nauliza nataka kujua kwa wenye ujuzi wa Mambo haya, je ni sawa mwanamuziki kumtaja mtu au brand fulani kwenye nyimbo yake bila ridhaa ya mtu huyo au kampuni husika? Vipi kuhusu kuipa nyimbo jina la mtu au brand fulani...
  6. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Mwaka mmoja bila Dkt. Magufuli: Falsafa ya utimilifu wa nyakati

    MWAKA MMOJA BILA JPM;FALSAFA YA UTIMILIFU WA NYAKATI. Leo 23:15pm 13/03/2022 Hayati Rais wa Tanzania John Magufuli alitoa ujumbe wa shukrani kwa viongozi wa dini na watanzania wote kwa kuitika wito wa kumuomba Mungu ili aliepushe taifa na janga la ugonjwa wa homa ya mapafu unaosababishwa na...
  7. Natty Bongoman

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kusoma ukurasa wa mtandao bila matangazo ya biashara

    Habari wanaJF. Siku hizi matangazo ya biashara kwenye kurasa nyingi za mitandaoni yamezidi - hadi kufunika ulichofungua kurasa kusoma. Matangazo mengine yanafunguka katikati ya shughuli. Iko njia ya kusoma hizi kurasa bila bugudha kwa kutumia mfumo wa browser READER'S MODE. Browser ni...
  8. Equation x

    JamiiForums Tanzania Ni njia gani sahihi ya kuishi, na mwanamke uliyezaa naye; bila kuathiri ndoa iliyopo?

    Kuzaa nje ya ndoa kumekuwa na changamoto nyingi sana, baadhi ya changamoto ni kama zifuatazo:- Mzazi mwenzako kuhitaji huduma ya tendo la ndoa Mtoto kupata mahitaji yake ya lazima Mtoto kutaka kuwa karibu na baba yake Mzazi mwenzako kukuhitaji muda ambao sio rafiki kwako Mzazi mwenzako kuwa na...
  9. Sang'udi

    JamiiForums Tanzania Mwaka mmoja bila Magufuli: Jimbo Kuu Katoliki Mwanza kuongoza Misa ya maombezi yake

    Mhashamu Baba Askofu Mkuu Renatus Nkwande wa Jimbo Kuu Katoliki la Mwanza anawaalika waamini na watu wote wenye mapenzi mema katika adhimisho la Misa Takatifu ya kumuombea pumziko la milele mbinguni Hayati John Pombe Joseph Magufuli. Misa hii takatifu itafanyika Jumapili ya Machi 20 katika...
  10. mwilawi

    JamiiForums Tanzania Naomba kuelekezwa namna ya kuindoa virus kwenye pc bila kubadili windows

    Salama wakuu. Naomba kuelekezwa namna ya kuindoa virus kwenye pc bila kubadili windows. Asante nisaidieni. Nipo dodoma na mafundi wengi wananiambia ni lazima kupiga chini window then kuweka antivirus na kuscann
  11. HumbleBoy98

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kushikilia msimamo wangu bila kuwakwaza wazazi?!

    Habari zenu Wana Jamiiforums. Mimi ni kijana ambaye umri wangu upo kwenye mid 20's. Nipo chuo kimoja hapa nchini ambapo nasomea kozi ya uuguzi. Nia na madhumuni ya kuleta Uzi huu ni kuomba ushauri kuhusu ni jinsi Gani ninaweza kushikilia msimamo wangu kuhusu Nini nataka kwenye maisha yangu...
  12. TECNO Tanzania

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu wengi wanapendelea RAM kubwa kwenye simu bila kufahamu matumizi halisi ya RAM

    Mara kadhaa kabla ya ununuzi wa simu imesababisha watu wengi kuamini kuwa RAM kubwa zaidi kama 3GB, 4GB, 8GB na 12GB ndio suluhisho kuu la kuboresha utendaji wa simu. Ingawa bila shaka ni muhimu, sio suluhisho pekee la utenda kazi bora, au hata lazima liwe sahihi, kulingana na mahitaji yako...
  13. kavulata

    JamiiForums Tanzania Baada ya Yanga kupata matokeo bila Kibwana Shomali wakala kichwa kinapata moto

    Kijana wetu Kibwana kapata injury, hachezi lakini Yanga haijakata moto wa wimbi lake la ushindi kila moto. Hii sio hali nzuri kwa mchezaji yeyote duniani. Kibwana amepata nafuu karudi kundini lakini mkataba wake unaenda mwisho na hajapewa mkataba mwingine bado. Wakala wa mchezaji kupitia...
  14. TheForgotten Genious

    JamiiForums Tanzania SoC01 Pendekezo: Mfumo mbadala wa Manunuzi ya Umeme

    Umeme ni hitaji muhimu katika maendeleo ya kila taifa na mtu binafsi,kwa kuwa umeme huzalishwa kwa gharama kubwa na serikali hivyo serikali haina budi kuuza umeme kwa watumiaji kupitia shirika lake la umeme TANESCO.Kwa sasa Tanesco kwa asilimia kubwa ya wateja wake wananunua umeme kupitia...
  15. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Tanzania kuna familia ambazo zinaishi kifalme bila Watanzania kuzifahamu au wamepiga kimya tu

    Unakuta kwenye familia moja baba ni Rais mstaafu, mama ni mbunge na mtoto ni mbunge na ni naibu waziri, hii familia inahitaji shamba kwa ajili ya kulima chochote au ni kuitegemea serikali tu? Familia nyingine unakuta baba ni Rais mstaafu, Mtoto ni Rais na Watoto wengine wawili ni wabunge hii...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Tatu Bila za Tundu Lissu. Terms and condition

    Sote tunakumbuka Juzi juzi baada ya tundu Lisu kumaliza mazungumzo na Rais akiwa Ubelgiji Tundu Kama kawaida yake akili mingi mingi alimuwahi Mama na kuweka hadharani mada walizozungumzia. Kwa Mujibu wa Makamu mwenyekiti alidai kuwa Mh Rais alikubali kuwa atayashughulikia yale yote yanayoikwaza...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Bila Rais Samia Suluhu, Freeman Mbowe angeozea jela. Upinzani fuateni sheria

    Kaka yangu Freeman Mbowe Pole na hongera kwa kuachiwa huru kwa amri ya amiri jeshi mkuu wa majeshi yote Mhe Rais Samia Suluhu Hassan, Karibu tena uraiani,Sisi Watanzania kwa sasa ni wamoja pengine kuliko wakati wowote wa historia ya Taifa hili. Pole pia tumetaarifiwa unatatizo la...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Abnormal menstrual bleeding: Je nini chanzo na ni kwa namna gani tunaweza kutibu tatizo la kutokwa damu ukeni (kipindi cha hedhi) bila kukata?

    Habari za wakati huu wana JF! Ni matumaini yangu kuwa mko wazima na bukheri wa afya. Naomba kuuliza , ni nini chanzo cha kutokwa na damu ukeni (menstrual bleeding) kwa muda mrefu bila kukoma tukiangalia sanasana kwenye mazingira yetu ya kitanzania, na je tiba yake ni ipi? Mwenye kufahamu...
  19. Program Manager

    JamiiForums Tanzania Hatimaye chanel za ndani zaanza kuonekana kwenye kisimbuzi cha DSTV bila kifurushi chochote

    Wapenda bure kilio chetu kimesikika na hatimaye chanel za ndani zimeanza kupatikana/kuonekana bila kujali una kifurushi au la. Mimi kwangu nabadili tu chanel mara clouds sijakaa sawa chanel ten kidogo eatv nk Nipeni mrejesho Wapenda bure wenzangu Uzi tayari
  20. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Lini mtakomaa kisiasa na kuwa na uwezo wa kudadavua mambo? Kila mara mnadandia matukio bila faida

    Kila tukio la kisiasa likitokea hapa nchini kwetu lazima mtalidandia na kulishupalia kana kwamba nyie mtanufaika nalo. Mbaya zaidi mkidandia tukio mnasahau kabisa matatizo yenu na madhira yenu. Sasa mnashindwa kuwa na uwezo wa kudadavua mambo ili mjue ni tukio gani linaweza kuwa na mashiko...
Back
Top Bottom