biashara

  1. F

    JamiiForums Tanzania Kama wewe unajua kuuza. Biashara ya U MC wa Harusi ndie biashara nyepesi kukupa faida ya milioni 20 kwa mwezi. Kwa mtaji wa mdomo wako tu na suti

    Habari wadau. Kwenye jukwaa la biashara leo tuongelee kuhusu biashara ya ku sherehesha sherehe. Ni biashara ambayo watu wengi hawaiwazi. Ila inaingiza hela nyingi sana kama faida. Unapaswa kuwa mjanja kuelewa biashara yao wanavyoifanya na cost wanazotumia. Hiyo biashara imejigawa pande...
  2. JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa kuhusu Biashara ya uwakala wa bima

    Jf kwa kipindi chote imekuwa na wataalamu mbalimbali. Naomba kujua maokoto au makadilio ya maokoto ya wakala wa bima(gari) katika bima moja yapo vipi. Natanguliza Shukurani...
  3. JamiiForums Tanzania Mchanganuo wa biashara ya vitumbua

    Habarini wana jf. kam kichwa kinavyosem nahitaji kujua mchanganuo wa hii biashara ikiwemo mtaji na ushauri mwngne. Asanteni
  4. JamiiForums Tanzania Maana ya kiroho mtu akichota mchanga katika eneo lako la kazi, biashara au mahali ulipokanyaga

    Nitaeleza kwa uelewa wangu, Mtu akikuchota namaanisha akichota mchanga wa unyayo wako (ulipokanyaga) au eneo unalofanyia biashara, tegemea mtaji kushuka wateja kuisha kabisa au mambo yako kuyumba kila utakacho fanya utaangukia pua. UFANYE NINI UNAPOONA MTU KAKUCHOTA? Unachota mchanga wa hapo...
  5. JamiiForums Tanzania Hali ya Biashara ya usafirishaji haramu wa Binadamu nchini Tanzania na Duniani

    Tanzania ni chanzo, mkondo, na nchi kusudio la safari kwa wanaume, wanawake na watoto wanaokabiliwa na ajira za kulazimishwa pamoja na biashara ya ngono. Kasi ya matukio ya biashara haramu ya usafirishaji wa ndani inazidi ile ya matukio au kiwango cha biashara haramu ya usafirishaji wa binadamu...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Watanzania tususie biashara za Pauline Gekul mpaka aombe msamaha

    WanaJF, Nashauri kuanzia leo tususie biashara zote anazofanya huyu mbunge wa Babati kwa kitendo chake cha unyanyasaji. Naomba anayezifahamu aweke majina yake hapa. Tuanze na hiyo hoteli inaitwa Palii sijui nini. Hakuna kufanya biashara na muuaji au wanaomsapoti mpaka akili iwakae sawa...
  7. JamiiForums Tanzania Rais Samia aungwa mkono kuachana na vizuizi vya biashara mipakani

    Baadhi ya Mawaziri wa Baraza la Mawaziri la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), wameunga mkono na kujipanga kutekeleza ushauri wa Rais Samia Suluhu Hassan wa kuachana na mifumo ya kuzuia bidhaa na biashara mipakani. Wakati wa ufunguzi wa Mutano wa 23 wa Wakuu wa Nchi za EAC, Rais Samia alishauri...
  8. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kufaulu kwenye biashara ya matunda!

    Habari wana business! Leo nataka nitoa mwongozo kamili wa kuanzisha biashara ya matunda , ni biashara ambayo inadharaulika lakini ukikaa kitaalamu ni biashara nzuri yenye faida kubwa ingawa wengi hatuna mpango nayo. Kuanzisha biashara ya matunda inaweza kuwa fursa nzuri ya kibiashara kama...
  9. T

    JamiiForums Tanzania CNN Report: UAE yapewa ardhi Afrika kufanya uwekezaji chechefu, watachuma mabilioni ya dola kutunza misitu ya nchi tano ikiwemo Tanzania

    Chanzo Kuelekea mkutano wa mazingira wa dunia, COP28, utakaofanyika mwezi December 2023 huko Dubai, CNN imetoa ripoti maalum inayoilaumu UAE kwa kuendesha miradi chechefu ya kimazingira ikiwemo kukwapua ardhi ya Afrika ikijifanya kutunza mazingira wakati nia halisi ni kujikingia kifua wakati...
  10. JamiiForums Tanzania Nimekaa nikafikiria, nikaona biashara ya matunda itanifaa zaidi

    1st of all niwashukuru nyoote mliofunguka maoni yenu, truth of all yanatia hamasa na kidogo mtu unapata mwangaza wa kuthubutu Nimefikia hatua nimeafiki biashara ya kutembeza mchanganyiko wa matunda yaliyokatwa katwa. Hence, siku ya kesho naingia kulangua matunda yangu although nimeshauriwa...
  11. JamiiForums Tanzania Kumiliki Mashamba Ya Kukodisha Kwa Ajili Ya Kilimo Cha Mazao Ya Chakula, Mazao Ya Biashara Na Bustani

    Shamba linauzwa Tshs.350,000 kwa ekari moja. Ekari hiyo hiyo inakodishwa kwa Tshs.100,000 hadi Tshs.130,000 kwa kilimo cha alizeti, mtama au mahindi. Hapa ni momba mkoani Songwe. Inawezekana kutengeneza kipato kizuri sana kwa kumiliki mashamba ya kukodisha ambayo yana tija kwa wakulima wa mazao...
  12. JamiiForums Tanzania Msaada: Wapi nitapata zile mbao za kujengea kibanda Cha biashara ( Nipo Tabata DSM )

    Husika na kichwa cha habari hapo juu. Nitashukuru zaidi kama nitapewa na bei zake. Natanguliza shukrani. Ubarikiwe
  13. JamiiForums Tanzania Hakikisha umesoma hivi vitabu 5 kabla hujaanza biashara yoyote

    vitabu vitano vitakavyobadilisha maisha yako totally! How you think, act and behave towards undertaking any business venture. Hellow Ladies and Gentlemen. Hope you are excited as I am!!.. what a great day in a positive mindset!! My pleasure, this thread finds you well. Kama ulifanikiwa kusoma...
  14. JamiiForums Tanzania Wanaofanya mazoezi ya mbio (jogging) hayana faida kiafya, ni matokeo ya matangazo ya biashara ya Nike

    Siku hizi limeibuka vuguvugu la watu kukimbiakimbia mbio mabarabarani. Unaweza kukuta mmoja mmoja au kikundi. Miaka ya zamani hii kitu ilikuwa haipo maana maisha ya mtanzania wa kawaida ni jogging na nyongeza. Leo katika pitapita zangu online nimekutana na mzungu anaponda hiyo kitu. Anasema ni...
  15. JamiiForums Tanzania Mtaji wa biashara yangu umeanza kukua, sasa naomba mnisaidie jambo hili

    Heshima kwenu wakuu. Mimi ni mfanyabiashara mdogo wa duka, Ukerewe . Kuanzia mwezi wa 6 kurudi nyuma, nilikuwa mtu wa kuhemea mzigo kwenye maduka ya jumla hapa hapa Nansio kwa pesa taslim laki 4 na kushuka. Yaani uwezo wangu ulikuwa wa kununua mzigo wa bidhaa kwa laki 2, laki 2.5, laki 3-4...
  16. JamiiForums Tanzania Mtaji wa biashara zangu umeanza kukua, sasa naombeni mnisaidie jambo hili

    Heshima kwenu wakuu. Mimi ni mfanyabiashara mdogo wa duka, Ukerewe . Kuanzia mwezi wa 6 kurudi nyuma, nilikuwa mtu wa kuhemea mzigo kwenye maduka ya jumla hapa hapa Nansio kwa pesa taslim laki 4 na kushuka. Yaani uwezo wangu ulikuwa wa kununua mzigo wa bidhaa kwa laki 2, laki 2.5, laki 3-4...
  17. JamiiForums Tanzania Tanzania yaihakikishia UAE mazingira salama ya Biashara, Uwekezaji

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeuhakikishia Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) mazingira salama ya biashara na uwekezaji nchini. Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk (Mb.) amebainisha hayo aliposhiriki katika kumbukizi ya...
  18. JamiiForums Tanzania Msaada katika biashara ya pembejeo za kilimo

    Habari wandugu . Naomba kuelimishwa vibali na leseni zinazoitajika katika ku run biashara ya pembejo .... Na usharu kwa ujumla wa biashara tajwa .. lengo kuifanya kwa ujumla na rejareja
  19. JamiiForums Tanzania Uteuzi wa Mkuu wa Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE)

    TEUZI WA MKUU WA CHUO CHA ELIMU YA BIASHARA - CВЕ 21 Novemba, 2023, DODOMA Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb.), kwa Mamlaka aliyo nayo kwa mujibu wa Sheria ya Chuo cha Elimu ya Biashara Sura 315 na marekebisho yake ya mwaka 2020 kifungu 14(6B) (1) amemteua Prof. Edda...
  20. JamiiForums Tanzania Msaada: Nina 30,000 hapa, nahitaji kuanza biashara yoyote ile sasa hivi. Niko DSM

    Hello JF Members, I'm madam Agnes, leo tena humu Jukwaani. Nisiwachoshe, niko na 30k kwenye kipochi, nahitaji kuanza biashara yoyote ile itakayowezekana sasa hivi. Mazingira ni Dar es salaam. Siko na aibu, naeza fanya yoyote ile. Ilimradi tu itoshe kunipatia mlo pamoja na saving kidogo kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…