Kumiliki Mashamba Ya Kukodisha Kwa Ajili Ya Kilimo Cha Mazao Ya Chakula, Mazao Ya Biashara Na Bustani

Aliko Musa

Senior Member
Aug 25, 2018
156
240
Shamba linauzwa Tshs.350,000 kwa ekari moja. Ekari hiyo hiyo inakodishwa kwa Tshs.100,000 hadi Tshs.130,000 kwa kilimo cha alizeti, mtama au mahindi.

Hapa ni momba mkoani Songwe. Inawezekana kutengeneza kipato kizuri sana kwa kumiliki mashamba ya kukodisha ambayo yana tija kwa wakulima wa mazao husika.

Jiunge na programu ya MARAFIKI 10 ili uweze kutengeneza fedha kwa kumiliki mashamba kutoka mkoa wowote hapa Tanzania bara.

Kwenye programu iitwayo MARAFIKI 10 tumechagua njia saba (7) tu za kutengeneza fedha kwa kutumia mtaji wa shilingi laki tano na kuendelea. Karibuni sana rafiki zangu.

Rafiki yako,

Aliko Musa.

Whatsapp; +255 752 413 711
 
Back
Top Bottom