Kwa masikitiko makubwa jamaa yangu leo kanipigia simu akaniambia kwasasa biashara yake ya Pub imekufa rasmi!
Kwa anavyosema biashara imekufa kutokana na utitiri wa Kodi, alinitajia Kodi nyingi sana ila ambayo sitaisahau na nilikua sijui eti Kuna Kodi Hadi ya basata, kwakua anapiga nyimbo za...
Binafsi napenda sana watanzania tufanikiwe na huwa najisikia vibaya watanzania tunavyosota , bongo ngumu sasa nashare experience yangu nA nyie, moja fahamu mimi ni dealer wa usifirishaji wa nafaka na soko langu kubwa ni nchi hizi 1. Congo drc 2. Zambia 3. Malawi ,
kuna fursa nyingi huko...
SIMULIZI YA LAURENT: KUTOKA KWA WELDER MDOGO HADI KUWA NA BIASHARA INAYOAMINIKA
“Nilianza na mashine moja ya welding, lakini nilikuwa na kitu kimoja ambacho nilijua hakipaswi kukosekana—MPANGO.”
Laurent alikuwa kijana aliyekuwa na ujuzi wa welding na fabrication, lakini kama wafanyabiashara...
Tanzania inatarajiwa kuingiza zaidi ya Sh bilioni 10 kutokana na mauzo ya biashara ya kaboni baada ya Serikali kuidhinisha miradi minne itakayouza tani milioni 4.2 za kaboni katika soko rasmi la kimataifa la biashara ya Kaboni.
Tani milioni 4.2 za kaboni zilizothibitishwa zina thamani ya zaidi...
Kilimo ndiyo uti wa mgongo wa uchumi kwa mamilioni ya Watanzania, lakini wakulima na wafanyabiashara wa mazao mara nyingi hukutana na hali ya kutotabirika. Leo bei ni nzuri, kesho imeshuka ghafla. Leo soko limefunguliwa, kesho limefungwa au masharti yamebadilika. Je, hii inatokana na nguvu za...
Wanasiasa wa Tanzania (hawa wa upinzani) wameshajijengea dhana ya kuwa watakula ofsini kwahyo hawana mubadala wa kupata Hela nje ya Siasa ndo maana ni vigumu sana kuachia madaraka licha ya kuwa wanakashifa za kula Hela za chama.
Heche hakutakiwa kuendelea kuwepo ofsn mpaka muda huu nadhani ni...
Washiriki wa Maonesho ya 98 ya kilimo na Biashara Zambia wameendelea kutembelea banda la Tanzania na kujifunza kuhusu huduma za kibingwa na kibobezi zinazotolewa na Taasisi ya MOI, MZRH pamoja na huduma za Uchukuzi na Usafiri za Mamlaka ya Bandari Tanzania na Shirika la ndege la Tanzania.
Watu wengi huamini kuwa ili ufanikiwe kwenye biashara lazima uwe na mtaji mkubwa. Lakini hadithi ya Sarah inaonyesha kuwa mafanikio huanza pale unapokuwa na maono, nidhamu na uamuzi wa kuanza na kile ulichonacho.
Sarah alikuwa akiishi katika mji uliokuwa karibu na eneo la uvuvi. Kila siku...
Biashara ya kukodisha ukumbi ni moja ya fursa zenye uwezo mkubwa wa kuleta faida endapo itaendeshwa kwa mipango sahihi. Mahitaji ya kumbi kwa ajili ya harusi, semina, mikutano, sherehe za kuzaliwa na matukio mbalimbali yanaendelea kuongezeka. Hata hivyo, mafanikio ya biashara hii yanategemea...
Maafisa wa upelelezi wamewaokoa wanawake 48 katika operesheni mbili zilizofanyika Ongata Rongai na Kiserian, Kaunti ya Kajiado, kufuatia taarifa kutoka kwa wananchi kuhusu madai ya unyanyasaji wa kingono na utengenezaji wa maudhui ya ngono kwa biashara.
Katika operesheni ya kwanza iliyofanyika...
Kuna siku Insta niliona Iphone 14 wanauza laki 6. Wanasema duka liko Zanzibar lakini kwenda kwenye comments nikakuta wamefunga
Nikasave post alafu nikawafollow nikasema mwisho wa mwezi nitanunua
Siku mbele naona mshikaji wangu ananitumia reel ananiuliza hawa jamaa unawajua maana nimeona...
Super Market huwa sehemu ya vyakula ndio Cash cow yao ya kuendeshea biashara, ndio sehemu wanayo patia pesa za kurun Duka zima. Bidhaa zingine zinazo bakia ni changamoto tu kama ilivyo mtaani.
Ndio Maana Super Market kubwa wanajitahidi sana wawe na fresh food muda wote na kwa wingi sana kwa...
Kila wiki inayopita kuna nyumba, jengo au fremu mpya inayopandisha antenna ya kusambaza internet. Wengi wameona fursa, wamenunua vifaa, wamevuta fibre na kuanza kuuza vifurushi vya Wi-Fi.
Lakini kinachonishtua si ongezeko la watoa huduma, bali kasi ambayo biashara hii inaanza kujiharibia...
Jamani aliye na uzoefu wa hii biashara anipe maarifa zaidi Nina mpango wa kuanza &
Inatakiwa niwe na mtaji wa sh ngapi ili nifanye kwa ubora zaidi ?
&
Profit yake uwa inakuaje kwa anaye hijua jamani please msaada?
Kuna tofauti kubwa kati ya kujiajiri na kumiliki biashara, lakini mara nyingi tunavitumia kana kwamba ni kitu kimoja.
Wabongo wengi hatuna biashara bali tumejitengenezea ajira (tumejiajiri).
Biashara ya kweli haimtegemei mmiliki kwa kila uamuzi. Ina mfumo wa uendeshaji, watu wenye majukumu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.