biashara

  1. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Kongamano la Biashara Tanzania-Urusi St. Petersburg

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza katika Kongamano la Biashara na Uwekezaji kati ya Tanzania na Urusi lililofanyika Jijini St. Petersburg nchini Urusi tarehe 05 Juni, 2026. Kongamano hilo limewakutanisha Wafanyabiashara, Wawekezaji pamoja na...
  2. Denis Gregory

    JamiiForums Tanzania Ushauri wako ni hatua kwangu Biashara gani ya kimkakati kwa mtaji wa Milioni 30

    Habari za muda huu waheshimiwa, Salam. Kabla ya yote, nipende kutanguliza shukrani zangu za dhati kwa maoni mtakayokwenda kuandika hapa, nami nitayachakata kwa uhalisia. Asante sana. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nina kiasi cha Tsh Milioni 30,000,000 ambacho kiko tayari kwa ajili ya...
  3. O

    JamiiForums Tanzania Ulifanikiwaje kuiendesha Ile biashara ya pembeni bila duka Kwa online na ukapata pesa kuingia rasmi mtaani Kwa vibali

    Ndio wengi hujaribu kabla ya kuingia rasmi je ulitumia mbinu gani Kwa wateja wa mbali na karibu usiseme tu mtandao SEMA SIRI YAKO YA MAFANIKIO. Itasaidia wengine kuepuka kukurupuka na mitaji yao ya kubahatisha
  4. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Biashara ya ku-topup simu ni Biashara kichaa

    Wateja wanaotaka simu latest mfano iPhone 17 kwakua hawana cash wanapeleka simu yao za zamani mfano iPhone 16 kisha wanaongezea hela naona kabisa hawako sawa kichwani Yaani nikupe simu na nikuongezee Mil 1.6 kwahiyo simu yangu (mfano iPhone 16 Pro) inathamani gani? Laki 5 au? Maana huwezi...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Umewahi kufanya biashara ikakushinda? Kwa nini? Tupe story tujifunze

    Kwenye suala la biashara ni kugumu sana jamani, kuna watu wanaanza biashara zinashindikana licha ya jitihada ila ngoma inagoma kwenda mpaka mtu anasema isiwe tabu anaamua kufunga. Wengine ni kupata hasara kwa kukosa wateja, wengine ni kushindwa kusimamia biashara nk Wewe nini kilikukwamisha...
  6. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Acha kuandika Business Plan (Mpango wa Biashara) kwa kukisia! Jipatie Templates za Kitaalamu za Biashara Yoyote.

    Je, una wazo la biashara au tayari una biashara inayofanya kazi lakini huna nyaraka rasmi za kuwasilisha benki kwa ajili ya mkopo au kwa wawekezaji? Tumezindua Templates za Kitaalamu zitakazokuokoa muda na kukupa muonekano wa kisasa mbele ya wakopeshaji au watoa fedha. 1. Business Plan...
  7. University of Dodoma (UDOM)

    JamiiForums Tanzania BRELA NA UTT AMIS WAWANOA WANAFUNZI WA UDOM KATIKA BIASHARA NA UWEKEZAJI

    Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), kwa kushirikiana na TISEZA @invest_in_tanzania na @sydf_tz , kimeendelea kuwajengea wanafunzi uwezo wa ujasiriamali na uwekezaji kupitia programu ya Public Lecture – Student Investor iliyofanyika kwa siku mbili, tarehe 30 na 31 Mei 2026 katika Ukumbi wa CIVE...
  8. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Broo/sister uchawi upo, hata DSM watu wanaroga,Mkurugenzi wa fish point Martin KOMBA alilogwa na anae Jenga biashara kama yake hapo hapo.

    Nina Imani wazee wa vijiwe mpooo! JE uliwai fika pale Mbezi beach kijiwe kizuri kabisa kilichojilikana kama FISH POINT? Ni kijiwe Fulani kizuri kilichohasisiwa na kijana mdogo sana aliyejulikana kwa JINA la Martin KOMBA,sijui kama hapo kijiweni alijukana kwa JINA ilo ILA naisi atakuwa...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Vibanda vya biashara vya kisasa

    Vibanda biashara vya kisasa 🔥 Tunatengeneza vibanda vya biashara kwa mbao na bodi. Vibanda ni imara na haviharibiki kwa maji( finishing tunatumia stika hivyo huzuia maji kuingia kwny bodi au mbao pia stika hufanya muonekano wa kibanda kuwa 🔥🔥🔥.. Tupo dar mbagala mikoani tunafika kufanya kaz...
  10. mchonde1212

    JamiiForums Tanzania Kati ya biashara ya vyakula na vinywaji baridi na vikali ipi inalipa?

    Wana JF naomba kuuliza kati ya biashara ya vyakula/nafaka na biashara ya vivywaji ipi inafaida zaidi
  11. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Wanatuonesha maziwa na matako mtandaoni kwa kigezo cha kunadi biashara ya nguo za ndani; Serikali haiwaoni?

    Kwanza nikiri huyu dada ni chuma haswa yani ni mzuri mpaka mzuri tena Ana rangi ya chocolate, macho mazuri na shape pia mashaallah anayo. Ana biashara yake ya kusimamisha maziwa na yeye mwenyewe ndiye anayefanya kama sampuli kuvutia wateja ila sasa kukaa kifua wazi kabisa bila chochote...
  12. P

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Madawa ya kulevya.

    Hivi Ina maana vyombo havioni Biashara ya Madawa hasa ya cocaine inavyoenea majiji?! Network ya watu wanokwenda Mombasa, Dar , Arusha na Dodoma. Wanazuga kama wanafanya Biashara za Magari na spare!? Nani anawapa Baraka? Heroin ipo miaka kibao lakini cocaine Sasa hivi imeenea sana. Na inatumiwa...
  13. Tutu kalundji

    JamiiForums Tanzania Biashara ya uuzaji dhahabu feki inavyochangia wanafunzi wengi kuacha masomo na kupoteza maisha katika umri mdogo hapa Bunda na hasa eneo la uswahilin

    Nakumbushia tu siyo kwa ubaya.Niliwahi kutoa maandiko zaidi ya manne nikionyesha jinsi biashara ya uuzaji dhahabu feki ilivyoathiri maendeleo ya wanafunzi mashuleni na kujikuta wamelowea kwenye biashara hiyo na kuacha masomo.Matokeo yake wengi wamepata vilema kwa vipigo,na baadhi kupoteza...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Vibanda vya kisasa vya biashara

    Vibanda vya biashara. Tunatengeneza vibanda vya biashara kwa mbao na bodi. Vibanda ni imara na haviharibiki kwa maji( finishing tunatumia stika hivyo huzuia maji kuingia kwny bodi au mbao pia stika hufanya muonekano wa kibanda kuwa 🔥🔥🔥.. Tupo dar mbagala mikoani tunafika kufanya kaz. 0692477610
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Sospeter Mtwale: Serikali imejipanga kuhakikisha biashara ya kaboni nchini inatekelezwa kwa uwazi, uwajibikaji na ushirikishwaji wa jamii

    Naibu Katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM – TAMISEMI), Sospeter Mtwale, amesema Serikali imejipanga kuhakikisha biashara ya kaboni nchini inatekelezwa kwa uwazi, uwajibikaji na ushirikishwaji wa jamii ili kuwanufaisha wananchi na Taifa kwa ujumla. Bw...
  16. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania Dr. Mwangi: Zanzibar ina nafasi ya kipekee kuwa lango la biashara na uwekezaji kuunganisha Afrika na Asia siku zijazo

    Mkurugenzi Mtendaji na CEO wa Equity Group Holdings, Dr. James Mwangi, tarehe 23 Mei, 2026 aliwasilisha mada katika Jukwaa la Wenyeviti wa Bodi na Wakuu wa Taasisi, akisisitiza umuhimu wa viongozi wa Taasisi barani Afrika kukumbatia uongozi wenye mabadiliko, ubunifu, ujumuishaji wa kifedha, na...
  17. kimara Kimara

    JamiiForums Tanzania Inachukua muda gani kupata mkopo wa biashara kwenye benki kubwa NMB, CRDB & NBC

    Habari wananzengo, Naomba kuuliza Je ni Muda gani Mtu anapewa mkopo kama amekidhi vigezo vyote vya kukopesheka, ie ana dhamana, ana biashara iliosajiliwa, Bank statement zake ziko vizuri ?? Naomba kujua
  18. Prakatatumba abaabaabaa

    JamiiForums Tanzania Kama una mtaji usiweke kwenye biashara ya Frame/maduka, fanya hivi

    Biashara ya kuweka kwenye maduka imekaa kitapeli sana, unakuta umebahatika kupata mtaji wa million tano ukisema utafute Frame, unapita zaidi ya laki mbili, Frame yenyewe ukishaifungua utakutana na maafisa njaa kali wa halmashauri na TRA na wengine kibao ili ufunge ufurisike, Jikite kwenye ujuzi...
  19. ufalmedigital

    JamiiForums Tanzania Je, real estate ni biashara ya matajiri pekee au mtu wa kawaida anaweza kufanikiwa?

    Watu wengi huona majengo makubwa, viwanja, apartments, na nyumba za kisasa kisha kufikiri real estate ni biashara inayohitaji mabilioni ya pesa kuanza. Lakini ukweli ni kwamba real estate sio kujenga nyumba pekee — ni mfumo mkubwa wa uwekezaji, usimamizi wa mali, biashara, na financial growth...
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Shigongo: Biashara za Wazawa Kariakoo zinafungwa, tutunge sheria Biashara chini ya Bilioni 50 isifanywe na Wageni

    Katika kikao cha Bunge kilichofanyika leo Mei 22, 2026, Mbunge wa Jimbo la Buchosa, Eric Shigongo, ametoa mchango wake kwenye Hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Viwanda na Biashara kwa mwaka wa fedha 2025/2026 akiibua kilio cha wafanyabiashara wazawa wa soko kuu la Kariakoo jijini Dar es Salaam...
Back
Top Bottom