BANDOKITITA
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 1,623
- 3,007
Kwa wale tunaofanya biashara ya printing hasa T shirt, mug, nk tupeane machimbo ya plain t shirt na material mengine kwa bei za jumla
Ungweka tu ili kila anaepita akute mzigoNingeweka machimbo mkuu hapa bure kqbisa lakin mpaka mjae kwenye huu uzi