Biashara ya kuuza carpets rejareja ni moja ya biashara yenye fursa nzuri, hasa kwa sababu watu wanahitaji carpets kwa ajili ya nyumba, ofisi, hoteli, saluni, maduka na maeneo mbalimbali.
Lakini kama ilivyo kwa biashara nyingine, kuwa na bidhaa pekee haitoshi. Unahitaji kujua soko lako, kupata...
Natoa ushauri wa biashara na namna ya kukabiliana na changamoto kwenye biashara
Kujua kama nyota yako ni ya biashara, kiongozi au kuajiriwa kupitia biblia na kujua nyota yako hakuondoi uwajibikaji
Namna ya kupata utajiri kwenye biashara
Namna ya kupata wateja
Namna ya kulinda biashara kikawaida...
Nimekuwa nikifatilia matangazo ya magari kwenye platforms mbalimbali na kuna jambo ambalo linahitaji mabadiliko makubwa.
wauza magari hawatoi taarifa muhimu za magari, kwenye tangazo wanaongea maneno mengi ambayo hayana umuhimu, na kwenye muda wote wanaoongea vitu vya muhimu kuhusu hilo gari...
Habari za muda Huu wadau, Mwenye uzoefu au anayefanya biashara ya Dry cleaner anijuze.
Changamoto za biashara iyo
Faida za biashara
Soko linapatikana vipi (wateja)
nakadhalika...
Asante..
abdul hafidh
biashara
binafsi
entebbe
hafidh ameir
hizi
ikulu
kujadili
matairi
mbili
mtoto
mtoto wa
mtoto wa rais
mtoto wa rais samia
na rais
nchi
rais
rais samia
rais wa uganda
samia
sekta
sekta binafsi
uganda
ujumbe
wake
Kero yangu ni Ofisi ya Kata ya Gongo lamboto iliyopo Pugu Kona, Maafisa Biashara wa Halmashauri wamekuwa wakikamata Wafanyabiashara na wasiokuwa na leseni au wenye leseni lizizoisha na wengine kuhusu kodi ya Service Levy ambayo kwa asilimia 80 watu hawana uelewa kuhusu kodi hiyo.
Baada ya...
Anonymous
Thread
biashara
faini
gongolamboto
kulipa
maafisa
polisi
service
service levy
Habarini za asubuhi wana jukwaa,, niende moja kwa moja kwenye mada yangu:
Hivi ninyi watu au tuseme wateja mnao fika ofisini kwa mtu/dukani na kuanza kupepesa macho yako huku na kule kutafuta kitu flani na baadae kuondoka kwa kujisemea kwamba kitu hicho hakipo huwa mnajielewa kweli?, kwanini...
Mkuu wa Wilaya ya Chake Chake ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya hiyo, Zuhura Mgeni Othman, amefanya uvamizi katika nyumba inayodaiwa kutumika kama danguro katika eneo la Chanjamjawiri, Kisiwani Pemba.
Katika tukio hilo, DC Zuhura amebaini kuwepo kwa kondomu...
Orodhesha Biashara Yako
🚀 Je, biashara yako inaonekana mtandaoni?
Maelfu ya wateja hutafuta bidhaa na huduma mtandaoni kila siku nchini Tanzania.
✅ Sajili biashara yako kwenye Tanzapages
✅ Ongeza mwonekano wa biashara yako
✅ Fikia wateja wapya
✅ Onyesha bidhaa na huduma zako
Anza kukuza...
Hii biashara ni hatari yani ukikosea steps umekufa wewe.
Watu hawana huruma ukipoteza hata dollar 500 kupigwa chuma ni dakika Moja
Hii biashara ukijiingiza kutoka ni nguma sana once a mafia cartel always a mafia.
Ina risk sana vilevile ina pesa ya haraka sana huku impact yake kwa wale...
Butcher inaweza kuanza na mtaji mdogo, lakini bila eneo sahihi, usafi, nyama bora na huduma nzuri kwa wateja—unaweza kuuza kila siku lakini bado usipate faida unayoitarajia.
Biashara ya butcher ni miongoni mwa biashara zenye uhitaji wa kila siku kwa sababu nyama ni bidhaa inayotumiwa na...
Kabla hujasema ‘sina mtaji wa kuanza biashara’, soma kwanza story ya Najma👇
Hii ni story ya Najma, mwanamke aliyegundua kitu kimoja muhimu: kutokuwa na mtaji si sababu ya kuacha kuanza.
Mwanzoni, Najma hakuwa na mashine kubwa wala fremu nzuri ya biashara. Alianza biashara ya udobi kwa mtaji...
Katika mazungumzo yao, Tanzania na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) zimesisitiza umuhimu wa kuimarisha biashara na uwekezaji kwa kuondoa vikwazo visivyo vya lazima, kuboresha huduma na taratibu katika mipaka, pamoja na kuweka mazingira wezeshi kwa sekta binafsi kushiriki kikamilifu katika...
TANZANIA NA DRC ZAZIDI KUIMARISHA BIASHARA KUPITIA USHOROBA WA KATI
Takwimu zinaonesha kuwa Tanzania imefanya biashara yenye thamani ya Shilingi bilioni 794 na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC). Aidha, Bandari ya Dar es Salaam imeendelea kuwa lango muhimu la biashara kwa DRC, huku nchi...
Fikiria kijana anayemaliza shule, anapata kazi inayohitaji awe na driving licence, au mfanyabiashara anayehitaji dereva mwenye uwezo mzuri wa kuendesha gari.
Kitu cha kwanza anachotafuta ni Driving School yenye uaminifu, walimu wazuri, magari salama na inayoweza kumsaidia kujifunza kuendesha...
CCM na Serikali yake washakata pumzi. Wana CCM wanategemea kula kupitia kwenu.
Nawashawishi Wafanyabiashara wote Tanzania kuiunga Mkono CHADEMA.
Watanzania tushikamane tusaidiane CHADEMA ili tujikomboe.
Vinginevyo kila mtu atafikiwa kwa wakati wake.
Mambo ya pingu mlikuwa mkicheka mkiona...
Habari WanaJF
Kuna idea nimepata ya kuanzisha kilimo cha mbogamboga kwenye eneo la ekari moja na nusu.
Nataka kufanya kisasa kwa mtaji wa 2M. Nimwagilie kwa drip irrigation. Bamia,Chinese, mchicha na spinach ndio mboga nataka kulima.
Naomba ushauri kwenye hili kabla sijatupia pesa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.